Magufuli kuboresha sekta ya mifugo Karatu
Mgombea urais kupitia chama cha mapinduzi John Pomba Magufuli ameweka bayana nia yake ya kuboresha bidhaa zitokanazo na mifugo kwa kuweka mazingira safi na yakisasa kwa wafugaji kote nchini.
Katika mkutano wake wa hadhara mjini Karatu mkoani Manyara Magufuli amesema bidhaa nyingi zitokanazo na mifugo kutoka nchini Tanzania zimekuwa zikikutana na vikwazo katika masoko ya kimataifa kutoka na mazingira magumu wanayokumbana nayo wafugaji.
Kwa kauli hiyo Magufuli anajidhatiti kuleta...
StarTV
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziFEDHA ZA RAIS MAGUFULI ZALETA MABADILIKO SEKTA YA MIFUGO MKOANI LINDI
Mara baada ya baada ya Serikali ya Mkoa huo kukubali kupokea mifugo toka Mikoa mingine yenye idadi kubwa ya ng’ombe, sekta ya mifugo imeendelea kukua na kuongeza mwamko kwa wananchi katika kujiletea maendeleo yao.
Mkoa wa Lindi hadi kufikia mwezi Machi,...
5 years ago
MichuziSEKTA BINAFSI YACHANGIA SERIKALI BILIONI 2.1 KWA AJILI YA KUBORESHA SEKTA YA AFYA
Na. WAMJW-DSM
Serikali kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imepokea kiasi cha shilingi bilioni 2.1 kwa ajili ya kuboresha huduma za afya kwenye vituo vya kutolea huduma za afya nchini kutoka kwa wadau wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF).
Akiongea wakati wa makabidhiano hayo Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Abel Makubi ameishukuru TPSF kwa uratibu wao kwa sekta binafsi kuchangia vifaa tiba hivyo ili vituo vya afya kuwa na vifaa muhimu vya kutolea...
10 years ago
Mwananchi26 Nov
Migogoro yakwamisha sekta ya mifugo nchini
10 years ago
VijimamboRAIS KIKWETE AZINDUA MPANGO WA MODENAIZESHENI YA SEKTA YA MIFUGO
11 years ago
Mwananchi19 Apr
Wizara kuboresha sekta ya umwagiliaji
9 years ago
Dewji Blog09 Sep
Forum CC wakutana na wadau kujadili fedha za utafiti zinazopelekwa sekta ya Kilimo na mifugo nchini
Mwenyekiti wa bodi ya ForumCC, Euster Kibona akifungua semina ya kujadili ripoti ya matumizi ya fedha za misaada hasa kwenye mabadiliko ya tabianchi iliyofanyika jana jijini Dar.
Mratibu wa Forum CC, Rebecca Muna akitoa maelezo kuhusu ForumCC kwenye semina na wadau wa mazingira waliofika kujadili changamoto za bajeti ya mabadiliko ya tabianchi ambayo imewashirikisha baadhi ya wadau wa mazingira hapa nchini na nje ya nchi.
Judy Ndichu ambaye ni mjumbe wa mazingira kutoka nchini Kenya...
11 years ago
Tanzania Daima26 Jun
Serikali kuboresha uwekezaji sekta ya nishati
SERIKALI imekusudia kuweka mazingira mazuri ya kuvutia wawekezaji katika sekta ya nishati zikiwamo kampuni zake. Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Dk. Charles Kitwanga, alitoa kauli hiyo bungeni jana alipokuwa...
11 years ago
Habarileo26 May
Nalopa wazungumzia sekta binafsi kuboresha elimu
SERIKALI imeombwa kushirikisha sekta binafsi katika uandaaji wa mitaala ya kitaaluma na usahihishaji wa mitihani kwa shule za msingi, sekondari na vyuo kuboresha mitaala hiyo na kuinua kiwango cha elimu.
11 years ago
Habarileo20 Jul
Mhadhiri ataka umakini sekta binafsi kuboresha elimu
IMEELEZWA kuwa ni hatari uwekezaji kwenye elimu nchini kufanywa na watu wasio na elimu ili mradi awe na pesa za majengo na vifaa mbalimbali.