SITAKI WAKANDARASI WABABAISHAJI MIRADI YA UMWAGILIAJI -KM KUSAYA
Picha Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Bw.Gerald Kusaya akionesha kusikitishwa kwake na hali ya ujenzi ghala la kuhifadhia mpunga kijiji cha Mbogo Komtonga kutokamilika ndani ya muda wa mkataba.Wa kwanza kushoto ni Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara Prof.Riziki Shemdoe kulia wa kwanza ni Mratibu wa ERPP Eng.January Kayumbe.
Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Bw.Gerald Kusaya (aliyeshika kofia) akiwa na Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais-Mazingira Balozi Joseph Sokoine wakikagua...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-TZonyqORavo/XsPRLL2DV9I/AAAAAAAAZQI/D2Z-v6WSWwIns6Yr8wNabAMB-DbKHmd5wCLcBGAsYHQ/s72-c/KM%2BKusaya________.jpg)
KATIBU MKUU KILIMO AWAAGIZA WAKANDARASI WA SKIMU ZA UMWAGILIAJI KUMALIZA MIRADI HARAKA
![](https://1.bp.blogspot.com/-TZonyqORavo/XsPRLL2DV9I/AAAAAAAAZQI/D2Z-v6WSWwIns6Yr8wNabAMB-DbKHmd5wCLcBGAsYHQ/s640/KM%2BKusaya________.jpg)
Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo-Dodoma
Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Bwana...
10 years ago
Tanzania Daima11 Nov
Ahoji sababu za miradi ya umwagiliaji kufa
MBUNGE wa Viti Maalum, Kuruthum Mchuchuli (CUF) ameitaka serikali ilieleze Bunge kwanini fedha nyingi za miradi ya kilimo cha umwagiliaji zinatafumwa na wajanja wachache. Alitaka kujua pia watu wanaotafuna fedha...
10 years ago
Tanzania Daima20 Nov
Miradi mingi yakwamisha kilimo cha umwagiliaji
SERIKALI imesema kuanzishwa kwa miradi mingi na Halmashauri kumesababisha kutokamilika kwa miradi ya kilimo cha umwagiliaji. Kauli hiyo ilitolewa bungeni jana Naibu Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Godfery Zambi,...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-KjcpXukwJBA/VKJ0IRLrS9I/AAAAAAAG6ks/PZdefrrFwkc/s72-c/unnamed%2B(24).jpg)
Waziri Mwandosya akagua Miradi ya Umwagiliaji ,Busokelo, Rungwe
![](http://2.bp.blogspot.com/-KjcpXukwJBA/VKJ0IRLrS9I/AAAAAAAG6ks/PZdefrrFwkc/s1600/unnamed%2B(24).jpg)
10 years ago
MichuziMwijage afanya kikao na wakandarasi wa miradi ya REA
9 years ago
MichuziDkt. Kalemani awaagiza Wakandarasi wa Umeme Vijijini kukamilisha miradi Machi 30
5 years ago
MichuziWAKANDARASI WANAOSHINDWA KUTEKELEZA MIRADI YA REA KWA WAKATI KUKATWA FEDHA
5 years ago
MichuziWAZIRI HASUNGA AIAGIZA TUME YA TAIFA YA UMWAGILIAJI KUANISIHA NA KUTOA TAKWIMU SAHIHI ZA ENEO LA UMWAGILIAJI NCHINI
11 years ago
Mwananchi17 Jun
Viongozi wababaishaji watakiwa kujipima