Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kashfa yanyemelea Jiji la Arusha

KASHFA ya matumizi mabaya ya madaraka, inainyemelea Halmashauri ya Jiji la Arusha, baada ya kuibuka madai ya kutumika kwa nyaraka za kughushi, kuipa zabuni kampuni iliyokosa sifa ya uwakala wa ukusanyaji ushuru wa maegesho ya magari.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Njaa yanyemelea Manyoni

WAKAZI 1,904 wa Kata ya Saranda, Tarafa ya Kilimatinde, wilayani Manyoni wanakabiliwa na upungufu wa chakula. Diwani wa Kata ya Saranda, Juma Ramadhani aliyasema hayo alipokuwa akielezea hali ya chakula...

 

10 years ago

Mwananchi

Wasaa wa mazingira unufaishe jiji la Arusha

Jiji la Arusha limeteuliwa kuwa ni kati ya majiji 7,000 duniani kushiriki shindano la wasaa wa mazingira linalolenga kupunguza athari za mabadiliko ya tabia nchini.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Safisha jiji yawakera madiwani Arusha

BAADHI ya madiwani wa Jiji la Arusha, wameeleza kukerwa na zoezi la safisha safisha jiji hilo zilivyoendeshwa kwa misingi ya kukiuka haki za binadamu. Madiwani hao wametaka zoezi hilo lifanyike...

 

11 years ago

Habarileo

Fedha zakwamisha miradi Jiji la Arusha

HALMASHAURI ya Jiji la Arusha, inakabiliwa na changamoto kubwa ya ufinyu wa fedha za kukamilisha miradi mbalimbali ya barabara kwa wakati na hivyo kusababisha mtandao wa mawasiliano kuwa mgumu.

 

10 years ago

Habarileo

Jiji la Arusha laongezewa kata sita

MSTAHIKI Meya wa Halmashauri ya Jiji la Arusha, Gaudence Lyimo amesema kuwa jiji hilo sasa litakuwa na kata 25.

 

9 years ago

Habarileo

Jiji Arusha wazindua baraza la madiwani

 BARAZA la kwanza la Madiwani waliochaguliwa katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25, mwaka huu katika Halmashauri ya Jiji la Arusha linatarajiwa kufanyika leo.

 

10 years ago

Michuzi

LOWASSA ALITIKISA JIJI LA ARUSHA LEO

 Mtangaza nia ya kuwania Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Monduli, Mh. Edward Lowassa akiwapungia mkono maelfu ya wananchi waliofurika kwa wingi kwenye Uwanja wa michezo wa Sheikh Amri Abeid,jijini Arusha jioni ya leo, wakati wa kutangaza nia yake hiyo ya kuwania Urais wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mbunge wa Jimbo la Mwibara, Mh. Kangi Lugola akisalima umati wa watanzania uliofurika kwa wingi kwenye Uwanja wa michezo wa...

 

10 years ago

Michuzi

JIJI LA ARUSHA LAKABILIWA NA CHANGAMOTO YA UGONJWA WA U.T.I

 

 Na Woinde Shizza wa Libeneke la kaskazini blog.
Jiji la Arusha bado linakabiliwa na changamoto ua ugonjwa ambao unaambukizwa kwa njia ya mkojo(U.T.I) ambao unakuwa siku hadi siku ambapo takwimu za mwaka 2014 zinaonyesha kuwa takribani wagonjwa 32085 walikutwa na ugonjwa huo hali ambayo inakwamisha jitihada za kujiletea maendeleo kutokana na ugonjwa huo.
Ambapo alisema kuwa hadi hivi sasa hawajagundua tatizo na chanzo halisi cha ugonjwa huo ambao unakuwa kwa kasi sana katika jiji hili la...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani