Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


LOWASSA ALITIKISA JIJI LA ARUSHA LEO

 Mtangaza nia ya kuwania Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Monduli, Mh. Edward Lowassa akiwapungia mkono maelfu ya wananchi waliofurika kwa wingi kwenye Uwanja wa michezo wa Sheikh Amri Abeid,jijini Arusha jioni ya leo, wakati wa kutangaza nia yake hiyo ya kuwania Urais wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mbunge wa Jimbo la Mwibara, Mh. Kangi Lugola akisalima umati wa watanzania uliofurika kwa wingi kwenye Uwanja wa michezo wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

LOWASSA ALITIKISA JIJI LA TANGA KWA MARA NYINGINE TENA

Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, akiwapungia wananchi wakati akiwasili kwenye viwanja wa Indian Ocean, kulikofanyika Mkutano wa Kampeni,  Oktoba 21, 2015. Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa akiwahutubia wananchi wa jiji la Tanga waliofurika katika viwanja wa Indian Ocean, katika Mkutano wa Kampeni, ...

 

9 years ago

Michuzi

MGOMBEA URAIS MWENZA WA CCM BI. SAMIA SULUHU HASSAN ALITIKISA JIJI LA ARUSHA

Mgombea mwenza wa nafasi ya urais  kwa tiketi ya CCM Bi. Samia Suluhu Hassan akihutubia wananchi wa mkoa wa Arusha katika viwanja vya Samunge jijini humo. Sehemu ya wananchi waliohudhuria  katika mkutano huo hii leo Mgombea mwenza wa nafasi ya urais Mhe Samia Suluhu Hassan akiwa anacheza ngoma  iliyokuwa inapigwa na wakina mama waliohudhuria mkutano huoMgombea mwenza wa nafasi ya urais Mhe Samia Suluhu Hassan akisaini vitabu vya wageni kabla ya kuanza mkutano huo viwanja vya Samunge jijini...

 

9 years ago

GPL

MAGUFULI ALITIKISA JIJI LA TANGA, WANANCHI WAFURIKA VIWANJA VYA TANGAMANO KUMSIKILIZA‏

Mgombea Urais wa jamhuri ya Muungano ya Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM Dr. John Pombe Magufuli akihutubia kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye viwanja vya Tangamano mjini Tanga leo, Dr. Magufuli amewaomba wananchi wa Tanga kumpigia kura za ndiyo ili aweze kufanya kazi na kulitumikia taifa yeye kwake ni Kazi tu kwani hata biblia inasema asiyefanya kazi na asile, Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani...

 

9 years ago

Mwananchi

Lowassa hadharani Arusha leo

Aliyekuwa mgombea wa urais wa Chadema, Edward Lowassa anatarajia kuhutubia mkutano wa kumnadi mgombea wa ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Godbless Lema na kuwashukuru Watanzania kwa kura walizompa katika Uchaguzi Mkuu uliopita.

 

10 years ago

Vijimambo

LOWASSA KUTANGAZA NIA LEO ARUSHA

Wananchi wakigombea lango la kuingia Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, jijini Arusha kumsikia Edward Lowassa akitangaza nia ya kugombea urais mwaka huu.Muonekano wa jukwaa lililoandaliwa kutumika kwenye shughuli hiyo.Wananchi wakichukua nafasi na kuketi wakisubiri kuanza kwa mkutano huo.Wafuasi wa Lowassa wakionekana wenye furaha na 'amshaamsha.'Muonekano wa Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, jijini Arusha ulivyong'arishwa kuelekea mkutano huo....wakiendelea kuingia uwanjani hapo.Uwanja umependeza.

 

9 years ago

Vijimambo

LOWASSA AFUNGA KAZI JIJINI ARUSHA LEO

Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa akiwa ameambatana na Mgombea Ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini kwa tiketi ya CHADEMA, Mh. Godbress Lema, wakiwasili kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Sinoni, Unga LTD, kulikofanyika Mkutano wa Kampeni, leo Oktoba 8, 2015. PICHA ZOTE NA OTHMAN MICHUZI, ARUSHA
Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, akihutubiwa wananchi,...

 

10 years ago

Michuzi

LOWASSA APATA UDHAMINI WA KISHINDO JIJINI ARUSHA LEO, WANACCM 120,335 WAMDHAMINI

Waziri Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward Lowassa akiwasalimia wanaCCM na Wananchi wa Jiji la Arusha waliofurika kwa wingi kwenye Uwanja wa Msikiti Mkubwa uliopo mbele ya Ofisi za CCM Mkoa wa Arusha, leo Juni 24, 2015. Jumla ya WanaCCM 120, 335 wa jiji la Arusha wamemdhamini Mh. Lowassa.Waziri Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward Lowassa akipokea fomu za WanaCCM wa Mkoa wa Arusha waliomdhamini ili aweze kupata ridhaa ya...

 

9 years ago

Mtanzania

Lowassa aliteka jiji la Mbeya

OTH_6174FREDY AZZAH, MBEYA

MGOMBEA Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), anayeungwa mkono na Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Edward Lowassa, amelifunga jiji la Mbeya kwa mapokezi na kuomba kura akisema hana mchezo na kazi.

Pia, ameendelea kuwasisitizia wananchi, umuhimu wa kulinda kura zao baada ya kupiga hadi kitakapoeleweka.

Lowassa aliyasema hayo jana kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika katika Viwanja vya Ruanda Nzovwe vilivyopo jijini hapa.

“Wana Mbeya, kuna rafiki yangu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani