LOWASSA APATA UDHAMINI WA KISHINDO JIJINI ARUSHA LEO, WANACCM 120,335 WAMDHAMINI

Waziri Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward Lowassa akiwasalimia wanaCCM na Wananchi wa Jiji la Arusha waliofurika kwa wingi kwenye Uwanja wa Msikiti Mkubwa uliopo mbele ya Ofisi za CCM Mkoa wa Arusha, leo Juni 24, 2015. Jumla ya WanaCCM 120, 335 wa jiji la Arusha wamemdhamini Mh. Lowassa.
Waziri Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward Lowassa akipokea fomu za WanaCCM wa Mkoa wa Arusha waliomdhamini ili aweze kupata ridhaa ya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi
LOWASSA APATA UDHAMINI WA KISHINDO MKOANI TANGA, WANACCM 24,125 WAMDHAMINI



10 years ago
GPL
LOWASSA APATA UDHAMINI WA KISHINDO KATIKA MKOA WA TANGA, WANACCM 24,124 WAMDHAMINI
10 years ago
Michuzi
WANACCM 53,156 WAMDHAMINI MH. LOWASSA JIJINI MBEYA LEO, APATA MAPOKEZI MAKUBWA

10 years ago
Vijimambo
KILIMANJARO YAVUNJA REKODI YA UDHAMINI KWA MH. LOWASSA, WANACCM 33,780 WAMDHAMINI






Waziri Mkuu Mstaafu, Mh. Edward Lowassa akizungumza na Umati wa WanaCCM pamoja na Wananchi wa Mkoa wa Kilimanjaro leo Juni 18, 2015, wakati...
10 years ago
Michuzi
LOWASSA APATA UDHAMINI WA KISHINDO KATIKA MIKOA YA KATAVI LA RUKWA LEO


Waziri Mkuu Mstaafu, Mh. Edward Lowassa akipokea fomu zenye majina ya wanaCCM wa Mkoa wa Katavi leo Juni 14, 2015, waliomdhani ili apate ridhaa ya Chama cha Mapinduzi (CCM)...
10 years ago
Michuzi
MCHAKA MCHAKA WA LOWASSA WATINGA MANYARA LEO, APATA UDHAMINI WA WANACCM 42, 405



10 years ago
Dewji Blog25 Jun
MCHEZA KWAO HUTUNZWA; Lowassa atua Arusha na kupata wadhamini 120,335
Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Mh. Edward Lowassa, akikimbia kuelekea jukwaani kuwashjukuru wananchin na wana CCM wa mkoa wa Arusha walioijitokeza wakati akiomba wadhamini Juni 24, 2015. Mh. Lowassa, alipata jumla ya wadhamini 120,335.(Picha na K-VIS MEDIA).
10 years ago
Vijimambo
WANACCM 78, 500 WA MKOWA WA PWANI WAMDHAMINI MH. LOWASSA, APATA BARAKA ZA VIONGOZI WA DINI

10 years ago
Michuzi
LOWASSA ATINGA KATIKA MIKOA YA IRINGA NA NJOMBE, APATA UDHAMINI WA WANACCM 69,462
