LOWASSA ATINGA KATIKA MIKOA YA IRINGA NA NJOMBE, APATA UDHAMINI WA WANACCM 69,462

Umati wa WanaCCM pamoja na Wananchi wa Mkoa wa Iringa, ukiwa umefurika kwa wingi kwenye Uwanja wa Samora Mkoani humo, kumpokea Waziri Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward Lowassa, wakati akiwasili kwenye Uwanja huo tayari kwa kukabidhiwa fomu za WanaCCM waliomdhamini ili kumuwezesha kupata ridhaa ya Chama chake kuwania Urais kwenye Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, 2015. Iringa wamevunja rekodi ya Mbeya kwa uwingi wa wanachama waliomdhamini...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL
LOWASSA APATA UDHAMINI WA KISHINDO KATIKA MKOA WA TANGA, WANACCM 24,124 WAMDHAMINI
10 years ago
Michuzi
LOWASSA APATA UDHAMINI WA KISHINDO KATIKA MIKOA YA KATAVI LA RUKWA


10 years ago
GPL
LOWASSA APATA UDHAMINI WA KISHINDO KATIKA MIKOA YA KATAVI, RUKWA
10 years ago
Michuzi
LOWASSA APATA UDHAMINI WA KISHINDO KATIKA MIKOA YA KATAVI LA RUKWA LEO


Waziri Mkuu Mstaafu, Mh. Edward Lowassa akipokea fomu zenye majina ya wanaCCM wa Mkoa wa Katavi leo Juni 14, 2015, waliomdhani ili apate ridhaa ya Chama cha Mapinduzi (CCM)...
10 years ago
Michuzi
LOWASSA APATA UDHAMINI WA KISHINDO MKOANI TANGA, WANACCM 24,125 WAMDHAMINI



10 years ago
Michuzi
LOWASSA APATA UDHAMINI WA KISHINDO JIJINI ARUSHA LEO, WANACCM 120,335 WAMDHAMINI


10 years ago
Michuzi
MCHAKA MCHAKA WA LOWASSA WATINGA MANYARA LEO, APATA UDHAMINI WA WANACCM 42, 405



10 years ago
Vijimambo
KILIMANJARO YAVUNJA REKODI YA UDHAMINI KWA MH. LOWASSA, WANACCM 33,780 WAMDHAMINI






Waziri Mkuu Mstaafu, Mh. Edward Lowassa akizungumza na Umati wa WanaCCM pamoja na Wananchi wa Mkoa wa Kilimanjaro leo Juni 18, 2015, wakati...
10 years ago
Vijimambo
MAFURIKO YA LOWASSA YAHAMIA JIJINI DAR, AKOMBA UDHAMINI WA WANACCM 212, 150

