Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MCHAKA MCHAKA WA LOWASSA WATINGA MANYARA LEO, APATA UDHAMINI WA WANACCM 42, 405

Waziri Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Edward Lowassa akizungumza wakati akiwashukuru wanaCCM wa Mkoa wa Manyara, waliomdhani ili apate ridhaa ya chama chake kuwania Urais wa Tanzania kwenye Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, 2015. Lowassa amepata wadhamini 42, 405 , Mjini Babati Mkoani Manyara leo, Juni 25, 2015.PICHA ZOTE NA OTHMAN MICHUZI.Waziri Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Edward Lowassa akipokea fomu ya udhamini...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

LOWASSA AZIDI KUJIPATIA WADHAMINI LUKUKI, WANACCM 42, 405 WAMDHAMINI MKOANI MANYARA LEO

Msafara wa Waziri Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward Lowassa ukipokelewa kwa shangwe na wanaCCM na Wananchi wa Mji wa Babati, Mkoani Manyara, wakati alipowasili kwenye mji huo kusaka wadhamini  watakaomuwezesha kutapa ridhaa ya chama chake kuwania Urais wa Tanzania kwenye Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, 2015.PICHA ZOTE NA OTHMAN MICHUZI.Sehemu ya Wakazi wa Mji wa Babati wakimshangilia Mh. Lowassa pale walipomuona.Waziri Mkuu Mstaafu na...

 

10 years ago

Vijimambo

KINANA APOKELEWA KWA MCHAKA MCHAKA JIMBO LA DONGE ZANZIBAR


 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipokelewa kwa mchakamchaka na vijana wa Jimbo la Donge wakiongozwa na Mbunge wa jimbo lao Sadifa Hamis Juma ambaye pia ni Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana Taifa.(picha na Adam Mzee)
  Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiongozana na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye wakiwasili Jimbo la Donge wakiongozwa na Mbunge wa jimbo lao Sadifa Hamis Juma ambaye pia ni Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana Taifa na vijana wa jimbo hilo ambapo...

 

11 years ago

Michuzi

MCHAKA MCHAKA WA WINDA SAFARI YA BRAZILI NA SERENGETI WAENDELEA

 Meneja wa Bia ya Serengeti Rodney Rugambo akiongea kwa njia na mmoja wa washindi wa droo ya sita ya promosheni ya Winda Safari ya Brazili na Serengeti inayoendeshwa na Kampuni ya Bia ya Serengeti huku akishuhudiwa na Afisa Mkaguzi kutoka Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Bakari Maggid wakati wa  kuchezesha droo hiyo mapema leo katika ofisi za Kiwanda cha Bia cha Serengeti jijini Dar es Salaam.  Meneja wa Bia ya Serengeti Rodney Rugambo aeleza jambo kwa wana habari(hawapo pichani)  wakati wa...

 

11 years ago

CloudsFM

Brand New Song: Country Boy Ft. Blue Mchaka Mchaka

Hii ni ngoma nyingine mpya kutoka kwa Country Boy inaitwa Mchaka Mchaka, ngoma imefanyika chini ya producer Messen Selekta, Blue ameisimamia vya kutosha chorus ya ngoma hii…
unaweza kuiskiliza kwakubonyeza play

 

11 years ago

Mwananchi

Tido Mhando :Mchaka mchaka wa kazi

Baada ya kukaa Kenya kwa zaidi ya miaka mitano, nikiwa nimewasili huko mwaka 1980, nilianza kwa mara nyingine tena kupata fikara za kubadilisha kazi ili angalau niweze kupata upeo wa juu zaidi katika fani ya utangazaji.

 

10 years ago

Michuzi

LOWASSA APATA UDHAMINI WA KISHINDO JIJINI ARUSHA LEO, WANACCM 120,335 WAMDHAMINI

Waziri Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward Lowassa akiwasalimia wanaCCM na Wananchi wa Jiji la Arusha waliofurika kwa wingi kwenye Uwanja wa Msikiti Mkubwa uliopo mbele ya Ofisi za CCM Mkoa wa Arusha, leo Juni 24, 2015. Jumla ya WanaCCM 120, 335 wa jiji la Arusha wamemdhamini Mh. Lowassa.Waziri Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward Lowassa akipokea fomu za WanaCCM wa Mkoa wa Arusha waliomdhamini ili aweze kupata ridhaa ya...

 

11 years ago

Mwananchi

Tido Mhando:mchaka mchaka

Miaka mingi sana imepita tangu Tido Mhando atimize ndoto yake ya kufanya kazi aliyoihusudu, kazi ya utangazaji redioni. Kwa miaka zaidi ya 45, akiwa kwenye kazi hii iliyompatia umaarufu mkubwa, aliweza kuona na kufanya mengi.

 

10 years ago

Michuzi

LOWASSA APATA UDHAMINI WA KISHINDO MKOANI TANGA, WANACCM 24,125 WAMDHAMINI

Waziri Mkuu Mstaafu, Mh. Edward Lowassa akiwapungia mkomo maelfu ya wanaCCM na wananchi wa Mkoa wa Tanga, waliojitokeza kwa wingi kwenye Ofisi za Chama Cha Mapinduzi, Mkoa wa Tanga leo Juni 17, 2015. zaidi ya WanaCCM 204,125 wamemdhamini Mh. Lowassa, ili aweze kuteuliwa na CCM kuwania Urais wa Tanzania, kwenye Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, 2015.
Waziri Mkuu Mstaafu, Mh. Edward Lowassa akitoa shukrani kwa WanaCCM na Wananchi wa Mkoa wa Tanga, walijitokeza kwa wingi kwenye...

 

10 years ago

Michuzi

LOWASSA ATINGA KATIKA MIKOA YA IRINGA NA NJOMBE, APATA UDHAMINI WA WANACCM 69,462

 Umati wa WanaCCM pamoja na Wananchi wa Mkoa wa Iringa, ukiwa umefurika kwa wingi kwenye Uwanja wa Samora Mkoani humo, kumpokea Waziri Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward Lowassa, wakati akiwasili kwenye Uwanja huo tayari kwa kukabidhiwa fomu za WanaCCM waliomdhamini ili  kumuwezesha kupata ridhaa ya Chama chake kuwania Urais kwenye Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, 2015. Iringa wamevunja rekodi ya Mbeya kwa uwingi wa wanachama waliomdhamini...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani