LOWASSA AZIDI KUJIPATIA WADHAMINI LUKUKI, WANACCM 42, 405 WAMDHAMINI MKOANI MANYARA LEO
Msafara wa Waziri Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward Lowassa ukipokelewa kwa shangwe na wanaCCM na Wananchi wa Mji wa Babati, Mkoani Manyara, wakati alipowasili kwenye mji huo kusaka wadhamini watakaomuwezesha kutapa ridhaa ya chama chake kuwania Urais wa Tanzania kwenye Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, 2015.PICHA ZOTE NA OTHMAN MICHUZI.Sehemu ya Wakazi wa Mji wa Babati wakimshangilia Mh. Lowassa pale walipomuona.Waziri Mkuu Mstaafu na...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziMCHAKA MCHAKA WA LOWASSA WATINGA MANYARA LEO, APATA UDHAMINI WA WANACCM 42, 405
10 years ago
VijimamboLOWASSA AZIDI KUVUNJA REKODI YA WADHAMINI, APATA 9516 MKOANI TABORA LEO
Waziri Mkuu wa Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli, Mh. Edward Lowassa akiwapungia mkono maelfu ya wana CCM waliofika kumdhamini pamoja na wananchi wengine, kwenye viwanja vya ofisi za CCM Tabora Mjini, leo Juni 12, 2015. Mh. Lowassa amepata udhamini wa wana CCM 9516 kwa mkoani Tabora, ikiwa ni muendelezo safari yake ya kutafuta wana CCM wa kumdhamini baada ya kuchukua fomu za kuomba ridhaa ya Chama Cha Mapinduzi kimteue kuwania nafasi ya urais wa Tanzania kwenye uchaguzi mkuu unaotarajiwa...
10 years ago
MichuziMH. LOWASSA AZIDI KUVUNJA REKODI YA WADHAMINI, APATA 9516 MKOANI TABORA LEO
Waziri Mkuu wa Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli, Mh. Edward Lowassa akiwapungia mkono maelfu ya wana CCM waliofika kumdhamini pamoja na wananchi wengine, kwenye viwanja vya ofisi za CCM Tabora Mjini, leo Juni 12, 2015. Mh. Lowassa amepata udhamini wa wana CCM 9516 kwa mkoani Tabora, ikiwa ni muendelezo safari yake ya kutafuta wana CCM wa kumdhamini baada ya kuchukua fomu za kuomba ridhaa ya Chama Cha Mapinduzi kimteue kuwania nafasi ya urais wa Tanzania kwenye uchaguzi mkuu unaotarajiwa...
10 years ago
MichuziLOWASSA APATA UDHAMINI WA KISHINDO MKOANI TANGA, WANACCM 24,125 WAMDHAMINI
Waziri Mkuu Mstaafu, Mh. Edward Lowassa akitoa shukrani kwa WanaCCM na Wananchi wa Mkoa wa Tanga, walijitokeza kwa wingi kwenye...
10 years ago
MichuziWANACCM 53,156 WAMDHAMINI MH. LOWASSA JIJINI MBEYA LEO, APATA MAPOKEZI MAKUBWA
10 years ago
MichuziLOWASSA APATA UDHAMINI WA KISHINDO JIJINI ARUSHA LEO, WANACCM 120,335 WAMDHAMINI
10 years ago
MichuziLOWASSA AHITIMISHA ZIARA YA KUTAFUTA WANACCM WA KUMDHAMINI MKOANI MOROGORO LEO, ADHAMINIWA NA WANACCM 104,038
10 years ago
MichuziWanaCCM 78, 500 wa Mkowa wa Pwani wamdhamini Mh. Lowassa
Katibu wa CCM Wilaya ya Temeke, Abdallah Mdimu akikabidhi fomu...
10 years ago
VijimamboKILIMANJARO YAVUNJA REKODI YA UDHAMINI KWA MH. LOWASSA, WANACCM 33,780 WAMDHAMINI
Waziri Mkuu Mstaafu, Mh. Edward Lowassa akizungumza na Umati wa WanaCCM pamoja na Wananchi wa Mkoa wa Kilimanjaro leo Juni 18, 2015, wakati...