Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KINANA APOKELEWA KWA MCHAKA MCHAKA JIMBO LA DONGE ZANZIBAR


 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipokelewa kwa mchakamchaka na vijana wa Jimbo la Donge wakiongozwa na Mbunge wa jimbo lao Sadifa Hamis Juma ambaye pia ni Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana Taifa.(picha na Adam Mzee)
  Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiongozana na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye wakiwasili Jimbo la Donge wakiongozwa na Mbunge wa jimbo lao Sadifa Hamis Juma ambaye pia ni Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana Taifa na vijana wa jimbo hilo ambapo...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MCHAKA MCHAKA WA LOWASSA WATINGA MANYARA LEO, APATA UDHAMINI WA WANACCM 42, 405

Waziri Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Edward Lowassa akizungumza wakati akiwashukuru wanaCCM wa Mkoa wa Manyara, waliomdhani ili apate ridhaa ya chama chake kuwania Urais wa Tanzania kwenye Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, 2015. Lowassa amepata wadhamini 42, 405 , Mjini Babati Mkoani Manyara leo, Juni 25, 2015.PICHA ZOTE NA OTHMAN MICHUZI.Waziri Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Edward Lowassa akipokea fomu ya udhamini...

 

11 years ago

Michuzi

MCHAKA MCHAKA WA WINDA SAFARI YA BRAZILI NA SERENGETI WAENDELEA

 Meneja wa Bia ya Serengeti Rodney Rugambo akiongea kwa njia na mmoja wa washindi wa droo ya sita ya promosheni ya Winda Safari ya Brazili na Serengeti inayoendeshwa na Kampuni ya Bia ya Serengeti huku akishuhudiwa na Afisa Mkaguzi kutoka Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Bakari Maggid wakati wa  kuchezesha droo hiyo mapema leo katika ofisi za Kiwanda cha Bia cha Serengeti jijini Dar es Salaam.  Meneja wa Bia ya Serengeti Rodney Rugambo aeleza jambo kwa wana habari(hawapo pichani)  wakati wa...

 

11 years ago

CloudsFM

Brand New Song: Country Boy Ft. Blue Mchaka Mchaka

Hii ni ngoma nyingine mpya kutoka kwa Country Boy inaitwa Mchaka Mchaka, ngoma imefanyika chini ya producer Messen Selekta, Blue ameisimamia vya kutosha chorus ya ngoma hii…
unaweza kuiskiliza kwakubonyeza play

 

11 years ago

Mwananchi

Tido Mhando :Mchaka mchaka wa kazi

Baada ya kukaa Kenya kwa zaidi ya miaka mitano, nikiwa nimewasili huko mwaka 1980, nilianza kwa mara nyingine tena kupata fikara za kubadilisha kazi ili angalau niweze kupata upeo wa juu zaidi katika fani ya utangazaji.

 

10 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA APOKELEWA KWA MAANDAMANO MAKUBWA JIMBO LA DONGE-MKOA WA KASKAZINI B.

 Katibu Mkuu Ndugu Kinana sambamba na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye na Ujumbe wake ukipokelewa na vijana wa CCM jimbo la Donge wakiongozwa na Mbunge wao Mh.Sadifa Juma Khamis,mapema leo alipokuwa akiwasili kwenye ofisi za CCM-Donge Mtambalike wilaya ya Kaskazini B.Katibu Mkuu Ndugu Kinana yupo katika ziara ya Visiwa vya Unguja na Pemba-Zanzibar akihimiza Uhai wa chama cha CCM na kukagua Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM 2010
 Pichani kulia ni Mbunge wa jimbo la Donge...

 

11 years ago

Mwananchi

Tido Mhando:mchaka mchaka

Miaka mingi sana imepita tangu Tido Mhando atimize ndoto yake ya kufanya kazi aliyoihusudu, kazi ya utangazaji redioni. Kwa miaka zaidi ya 45, akiwa kwenye kazi hii iliyompatia umaarufu mkubwa, aliweza kuona na kufanya mengi.

 

10 years ago

Vijimambo

KINANA APOKELEWA KWA SHANGWE MTWARA MJINI


Apokelewa kwa ShangweAkagua miradi ya maendeleoAtaka wana CCM kushikamanaKuhutubia wakazi wa Mtwara kesho kwenye uwanja wa Mashujaa Vijana wa Bodaboda wakiongoza msafara wa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana wakati akiwasili Mtwara mjini ambapo alishiriki shughuli mbali mbali za kujenga na kuimarisha chama pamoja na kukagua utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM 2010. Msafara wa Katibu Mkuu ukielekea Mtwara mjini. Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa...

 

10 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA APOKELEWA KWA SHANGWE JIMBONI KWA NGELEJA LEO,AKAGUA MRADI MKUBWA WA MAJI

   Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akifafanua jambo alipokuwa akihutubia umati wa watu waliofurika kumsikiliza  katika uwanja wa CCM Wilaya ya Sengerema ambapo aliwaambia wakazi hao Chama Cha Mapinduzi kitasimamia haki na misingi kwani ndio chama pekee kinachojali watu.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Kinana akiwa ameambatana na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye wapo kwenye ziara ya Kukagua na kuimarisha uhai wa chama,Kukagua na kuhimiza utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM...

 

11 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA APOKELEWA KWA KISHINDO WILAYANI LUSHOTO.

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwahutubia wakazi wa kijiji cha Lwandai kata ya Mlola ambapo aliwasisitiza wananchi hao kushiriki kazi za maendeleo na kujiunga kwa wingi kwenye mfuko wa Afya ya jamii.Umati wa wakazi wa kata ya Mlola wakimsikiliza Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana alipokuwa akihutubia wananchi hao. Wazee Maarufu wa kijiji cha Lwandai wakifuatilia kwa makini mkutano wa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana ambaye anafanya ziara za kujenga na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani