Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KINANA APOKELEWA KWA SHANGWE MTWARA MJINI


Apokelewa kwa ShangweAkagua miradi ya maendeleoAtaka wana CCM kushikamanaKuhutubia wakazi wa Mtwara kesho kwenye uwanja wa Mashujaa Vijana wa Bodaboda wakiongoza msafara wa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana wakati akiwasili Mtwara mjini ambapo alishiriki shughuli mbali mbali za kujenga na kuimarisha chama pamoja na kukagua utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM 2010. Msafara wa Katibu Mkuu ukielekea Mtwara mjini. Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Mh. Makinda apokelewa kwa Shangwe mjini Dodoma leo

Kikundi cha ngoma cha Lunyamila kikitoa Bururani kwa Mhe. Anne Makinda (wapili kulia) wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege mjini Dodoma leo,baada ya kushinda kiti cha urais wa mabunge SADC. Mh. Anne Makinda akipokea maua kutoka kwa baadhi ya maafisa wa Bunge waliofika uwanjani hapo kumpokea. Mhe.Anna Makinda akizungumza na waandishi wa habari kuhusu nafasi yake ya kuliongoza Bunge la SADECC mara baada ya kuwasili uwanja wa ndege Dodoma akitokea Zimbabwe kupitia Nchini Botswana leo.

 

10 years ago

GPL

MSHINDI WA TANZANIA MOVIE TALENTS (TMT) 2014, MWANAAFA MWINZAGO APOKELEWA KWA SHANGWE MKOANI KWAO MTWARA‏

Mara baada ya kutua katika uwanja wa ndege wa Mtwara, mshindi wa shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) 2014 Mwanaafa Mwinzago akitoa maneno ya shukrani kwa wakazi wa Mtwara waliojitokeza kuja kumpokea uwanja wa ndege wa Mtwara mapema jana. Vilevile alitoa shukrani zake zote kwa watanzania wote kwa kuweza kumpigia kura na kumfanya aibuke mshindi wa Milioni 50 za Tanzania katika fainali ya shindano la kusaka vipaji vya kuigiza...

 

10 years ago

Michuzi

MSHINDI WA TANZANIA MOVIE TALENTS (TMT) 2014, MWANAAFA MWINZAGO APOKELEWA KWA SHANGWE NA NDELEMO MKOANI KWAO MTWARA

Mara baada ya kutua katika Uwanja wa Ndege wa Mtwara, Mshindi wa Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) 2014 Mwanaafa Mwinzago akitoa Maneno ya Shukrani kwa Wakazi wa Mtwara waliojitokeza kuja Kumpokea uwanja wa Ndege wa Mtwara mapema Leo. Vilevile alitoa Shukrani zake zote kwa Watanzania Wote kwa Kuweza umpigia Kura na Kumfanya aibuke mshindi wa Milioni 50 za Tanzania katika fainali ya Shindano la  Kusaka vipaji vya Kuigiza lijulikanalo Kama Tanzania Movie Talents (TMT).Wapenzi, Mashabiki...

 

10 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA APOKELEWA KWA SHANGWE JIMBONI KWA NGELEJA LEO,AKAGUA MRADI MKUBWA WA MAJI

   Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akifafanua jambo alipokuwa akihutubia umati wa watu waliofurika kumsikiliza  katika uwanja wa CCM Wilaya ya Sengerema ambapo aliwaambia wakazi hao Chama Cha Mapinduzi kitasimamia haki na misingi kwani ndio chama pekee kinachojali watu.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Kinana akiwa ameambatana na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye wapo kwenye ziara ya Kukagua na kuimarisha uhai wa chama,Kukagua na kuhimiza utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM...

 

10 years ago

Dewji Blog

Kinana alakiwa kwa Shangwe Mtwara vijijini, atoa heshima kwenye kumbukumbu ya mnara wa shujaa Hamad Mzee

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na wananchi waliojitokeza kumpokea wakati akiwasili wilaya ya Mtwara kijijini.

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na wajumbe wa halmashauri kuu ya CCM wilaya ya Mtwara vijijini ,Katibu Mkuu wa CCM anazunguka nchi nzima kufuatilia utekelezaji wa ilani na kuimarisha chama chetu.

 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Ndugu Nape Nnauye akisisitiza wananchi wa kata ya Nanyamba kujiandikisha kwa ajili ya...

 

10 years ago

Michuzi

KINANA ATIKISA JIMBO LA ARUSHA MJINI,WANANCHI WAMPOKEA KWA SHANGWE.

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akijibu hoja mbali mbali zilizoletwa na kamati ya soko la  Kilombero ikiwa pamoja na kupandishiwa kodi bila utaratibu maalum.Ndugu Kinana anatarajia kuhutubia kesho katika mkutano wa hadhara ndani ya uwanja wa Sheikh Amri Abeid mjini humo. Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia wananchi wa Arusha kwenye soko la Kilombero ambapo walisalimu wananchi waliojitokeza kwa wingi. Wananchi na Wafanyabiashara mbalimbali katiko soko la...

 

10 years ago

Michuzi

KINANA ALAKIWA KWA SHANGWE MTWARA VIJIJINI, ATOA HESHIMA KWENYE MNARA WA SHUJAA HAMAD MZEE ALIYETUNGUA NDEGE MBILI ZA KIRENO KATIKA VITA VYA UKOMBOZI WA MSUMBIJI

 Wananachi wakimkaribisha Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana alipowasili Wilaya ya Mtwara Vijijini, wakati wa ziara yake ya kuimarisha uhai wa chama na kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa kwa kufuata Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2010 pamoja na kusikiliza kero za wananchi na kuzitafutia ufumbuzi. 

 Kinana akizungumza wakati wa mapokezi katika Kijiji cha Kibaoni, Mtwara Vijijini leo.
 Kinana akihutubia katika mkutano uliofanyika Katika Kijiji cha Nanguruwe, Wilaya Mtwara...

 

11 years ago

GPL

DIAMOND ATUA BONGO, APOKELEWA KWA SHANGWE

STAA wa Bongo Fleva, Nasib Abdul 'Diamond' alivyowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar Julai 10, 2014 na kupokelewa kwa shangwe na mashabiki wake pamoja na ndugu. Staa huyo alikuwa anarejea kutoka nchini Marekani alipokwenda kwa ajili ya zoezi la utoaji tuzo za BET.

 

10 years ago

Vijimambo

DIAMOND ATUA DAR, APOKELEWA KWA SHANGWE NA MAELFU


Diamond baada ya kutua kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar.

Mashabiki waliofika uwanja wa ndege kumpokea Diamond.

Diamond akipokelewa na mashabiki kwa shangwe.


MWANAMUZIKI Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' ametua nchini muda huu akitokea Afrika Kusini alipokwenda kushiriki zoezi la utoaji tuzo za Channel O ambapo alijinyakulia tuzo tatu kwa mpigo. Tuzo alizonyakua staa huyo ni pamoja na Most Gifted New Comer, Most Gifted Afropop na Most Gifted East kupitia wimbo wake wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani