Takataka zawawatisha wakazi Dodoma
NA PENDO MANGALA, DODOMA
WAKAZI wa maeneo ya Chang’ombe na Kizota katika Manispaa ya Dodoma, wapo hatarini kukumbwa na magonjwa ya mlipuko kutokana na kuzagaa kwa takataka karibu na maeneo wanayoishi.
MTANZANIA imebaini kuwapo kwa takataka hizo katika maeneo hayo ambazo zimesababisha mazingira hayo kuwa katika hatari ya kuambukiza magonjwa na kuwa tishio kwa wakazi wanaoendesha shughuli zao katika eneo hilo.
Mmoja wa wakazi wa Chang’ombe ambaye hakutaka kutajwa jina lake, alisema taka hizo...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-trxPV7yToyk/XnsGEQAAyPI/AAAAAAALk_A/CNJcKN367KgnJn14sfLoQBC1pvMZzUZfACLcBGAsYHQ/s72-c/7a57dca7-c661-4d35-878c-b02b35a5961c.jpg)
DC KATAMBI ALIAGIZA JIJI LA DODOMA KUMALIZA CHANGAMOTO YA TAKATAKA NDANI YA SAA 72
Charles James, Globu ya Jamii
KATIKA kuepukana na magonjwa ya mlipuko ikiwemo ugonjwa wa Kipindupindu, Jiji la Dodoma limeagizwa kuchukua hatua za haraka kwa kumaliza changamoto ya uchafu ambayo imekua ikilalamikiwa na wananchi wake.
Agizo hilo limetolewa na Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Mhe Patrobas Katambi leo wakati alipofanya ziara ya kukagua usafi wa mazingira katika mitaa na masoko mbalimbali ya jiji hilo.
Katika ziara yake hiyo, DC Katambi amebaini uwepo wa takataka nyingi kwenye mitaa...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-P2qiopCGtTQ/VDG4UiO2-TI/AAAAAAAGoJM/81rDX6TEwrE/s72-c/1.jpg)
WAKAZI WA DODOMA WASAMBAZA UPENDO WA KUTOSHA NDANI YA TAMASHA LA FIESTA MKOANI DODOMA
![](http://1.bp.blogspot.com/-P2qiopCGtTQ/VDG4UiO2-TI/AAAAAAAGoJM/81rDX6TEwrE/s1600/1.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-XjgVr8hRH6I/VDHP97QoYbI/AAAAAAAGoNE/DRSpW2L9ZwA/s1600/7.jpg)
Pichani ni kulia ni Msanii wa bongofleva AbdulKiba akiimba sambamba na kaka yake Alli Kiba ambaye amekuwa akifanya vyema katika anga ya muziki wa kizazi kipya kupitia nyimbo zake mbili alizoziachai hivi karibuni,ikiwemo MwanaDaisalama na Kimasomaso,
![](http://3.bp.blogspot.com/-q01ufSDEll8/VDJOCTrlcuI/AAAAAAACsT0/Xpoq0k0Ow9Y/s1600/IMG_3191.jpg)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/1D30FS3uScvRf3ugb0Aed5wAYAkg15ic8OdxJ5Q3p2FV9ckspotMUbvIW84gvz4v3NEgThdGjNlUJTzxaDmTQIcABfckE5Uq/MAFURIKO2.jpg)
MVUA ZAWATESA WAKAZI WA KISASA, DODOMA
10 years ago
Habarileo05 Apr
Polisi yawahakikishia ulinzi wakazi Dodoma
JESHI la Polisi mkoani Dodoma, limewahakikishia wananchi wake kuwa litaimarisha ulinzi katika maeneo yote, na kutaka wananchi kuwa makini na kuzingatia sheria za usalama barabarani wakati wa Sikukuu ya Pasaka.
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-hElb_rGp6VY/VaLFq8PSj0I/AAAAAAAAhLM/wfwYmUaGt54/s72-c/50.jpg)
magufuli atambulishwa kwa wakazi wa DODOMA
![](http://3.bp.blogspot.com/-hElb_rGp6VY/VaLFq8PSj0I/AAAAAAAAhLM/wfwYmUaGt54/s640/50.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-3GFmCbWBWXA/VaLFrjk7INI/AAAAAAAAhLU/Lf4USglXNsM/s640/52.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-HUOq6-MyDcA/VaLFxMBkN7I/AAAAAAAAhLc/07TbWvSLc5A/s640/56.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-nr_2Jwpj02c/VaLFxn7XAaI/AAAAAAAAhLg/dafq2Z2nUMc/s640/58.jpg)
9 years ago
StarTV15 Nov
Wakazi Dodoma wadai kutoridhishwa na Bunge lililomalizika
Baadhi ya wakazi wa mkoa wa Dodoma wamesema hawakuridhishwa na utendaji kazi wa Wabunge katika bunge lililomalizika na kuwataka Wabunge wapya na wale waliorudi katika awamu nyingine kufanya kazi kwa maslahi ya wananchi kwani baadhi ya wanaomaliza muda wao walionekana kutetea vyama vyao.
Bunge jipya linatarajiwa kuanza wiki ijayo ambapo kwa sasa tayari baadhi ya Wabunge wamekwishaanza kuwasili mkoani Dodoma kwa ajili ya vikao hivyo vya bunge la 11.
Wananchi hao wameyasema hayo...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/*EqvtGjmCN6PcR2cC3eoLbowv8OHGn3nAKWBsN5ItSUHqLvm8mp-lkbec4akBz6sNCKLsrU-9VJuhjS1T95y1B8l5NnS7tOZ/1.jpg?width=750)
SEMINA YA FURSA YAWAONYESHA NJIA WAKAZI WA DODOMA
10 years ago
Dewji Blog05 Mar
Kinana ahutubia wakazi wa Mpwapwa mkoani Dodoma
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa wilaya ya Mpwapwa kwenye uwanja wa mikutano Mnarani ambapo aliwaambia wananchi hao kuwa ahadi zilizoahidiwa na CCM zitatekelezwa kama ilivyopangwa.
![](http://3.bp.blogspot.com/-leGP3-9lOlA/VPc0tc6UGtI/AAAAAAAAXgQ/ZQyirfKYaL4/s1600/2.jpg)
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dodoma Mheshimiwa Adam Kimbisa akihutubia wananchi wa Mpwapwa mjini na kuwaambia katika uongozi wake atawapa nafasi wale watu wanaotakiwa na wananchi wenyewe kuwaongoza na kusema hakutokuwa na makosa ya kukata majina.
![](http://2.bp.blogspot.com/-rDiB7Kb_Lps/VPdB_b-sYkI/AAAAAAAAXgw/yEPXEKKYO0k/s1600/4.jpg)
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM...
11 years ago
Mwananchi17 Jan
Kichaa cha Mbwa: Ugonjwa unaowaathiri wakazi Dodoma