Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


magufuli atambulishwa kwa wakazi wa DODOMA

Mgombea wa Urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi Mhe.John Pombe Magufulu pamoja na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye wakiwasalimia wananchi waliojitokeza kwenye uwanja wa Jamhuri mjini DodomaMhe. Magufuli akiwapa mikono wananchi waliojitokeza kwa wingi kuja kumsalimia na kumuona mgombea huyo wa CCM.Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasalimu wananchi wa Dodoma kwenye uwanja wa Jamhuri mjini DodomaMgombea wa Urais wa CCM Mhe. John Magufuli akizungumza wakazi wa Dodoma ikiwa sehemu yake...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

WAKAZI WA DODOMA WASAMBAZA UPENDO WA KUTOSHA NDANI YA TAMASHA LA FIESTA MKOANI DODOMA

Msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka THT,Rachael akitumbuiza jukwaani pamoja na mcheza shoo wake mbele ya mashabiki wa tamasha la Fiesta 2014 lililofanyika ndani ya uwanja wa Jamhuri,mkoani Dodoma usiku wa kumkia leo.
Pichani ni kulia ni Msanii wa bongofleva AbdulKiba akiimba sambamba na kaka yake Alli Kiba ambaye amekuwa akifanya vyema katika anga ya muziki wa kizazi kipya kupitia nyimbo zake mbili alizoziachai hivi karibuni,ikiwemo MwanaDaisalama na Kimasomaso,Mkali mwingine wa muziki wa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mamia ya wakazi wa Dodoma wajitokeza kwa wingi katika semina ya ujasiriamali kuhusu biashara ya mtandao

Mamia ya wakazi wa mkoa wa Dodoma na mikoa ya jirani juzi jumanne tarehe 7 /04/2015  karume DAY walijitokeza kwa wingi kwa semina kuhusu biashara ya mtandao ambayo ni biashara ambayo ya karne ya 21 na kuendelea kukua kwa kasi duniani pia hapa nchini na kuwezesha kutengeneza mamilionea kwa wingi bila kujali kiwango chao cha elimu wala kipato na pia huanza kwa mtaji kidogo na bila mkopo toka benki. Mfanyabiashara wa kimataifa na mjasiriamali aliyefanikiwa katika biashara ya mtandao dada...

 

9 years ago

StarTV

Wakazi wa Manyara wamshauri Dk. Magufuli kutozitekeleza kwa pupa ahadi zake

Baadhi ya wakazi wa mkoa wa Manyara wamemshauri rais mpya wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Dokta JohnMagufuli kutofuata mashinikizo ya baadhi ya watu ya kumtaka atekeleza ahadi zake kwa pupa.

Wamesema kuwa shinikizo la kutaka atekeleze ahadi zake haraka haraka inaweza kusabisha baadhi ya ahadi hizo kutekelezwa kwa ubora usiostahili.

Wakazi hao wa mkoa wa Manyara wametoa kauli hiyo leo mara baada ya dokta John Magufuli kuapishwa kuwa rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania.

Askofu mkuu wa...

 

9 years ago

StarTV

Wakazi Longido washerehekea kwa maandamano ya amani kuapishwa rais Magufuli

Wakazi wa mkoa wa Arusha wamesherehekea kwa namna mbalimbali kuapishwa kwa Rais mpya wa Tanzania Dakta John Pombe Magufuli, ambapo huko Wilayani Longido eneo la mpakani mwa Tanzania na Kenya, wafugaji wa jamii ya kimaasai wamefanya maandamano ya amani kumpongeza kiongozi huyo. Kituo hiki kimefika katika maeneo mbalimbali ya Longido na kushuhudia wananchi wakiwa wanafuatilia matangazo ya moja kwa moja yaliyokuwa yakirushwa na vituo mbalimbali vya televisheni kutoka uwanja wa Taifa Jijini Dar...

 

10 years ago

Vijimambo

WAKAZI WA JIJI LA MWANZA WAIPOKEA CCM KWA MIKONO MIWILI, WASEMA MAGUFULI NI RAIS AJAYE

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na wakazi wa jiji la Mwanza na vitongoji vyake katika uwanja wa Fraisha kwenye mkutano wa hadhara wa Kampeni za CCM zilizohudhuriwa na Maelfu ya watu.Picha na Cathbert Kajuna wa Kajunason Blog.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na wakazi wa jiji la Mwanza na vitongoji vyake katika uwanja wa Fraisha kwenye mkutano wa hadhara wa Kampeni za CCM zilizohudhuriwa na...

 

10 years ago

Vijimambo

MKURUGENZI WA MISS TANZANIA USA MA WINNY CASEY ATAMBULISHWA KWA BALOZI WA CAMEROON NCHINI MAREKANI

Mkurugenzi wa Miss Africa USA na Miss Cameroon Lady Kate akipata picha ya pamoja na mkurugenzi wa Miss Tanzania USA Ma Winny Casey (kulia) siku Lady Kate alipomtambulisha Ma Winny Casey kwa Balozi wa Cameroon nchini Marekami kwenye hafla ndogo iliyofanyika nyumbani kwa Mhe.Jpseph B. C. Foe AtanganaMkurugenzi wa Miss Africa USA na Miss Cameroon Lady Kate akiongea machache kwenye hafla hiyo.Walimbende wa Miss USA Pageant wakimsikiliza mmoja wa waratibu wa mashindano hayo.
H.E. Joseph B. C. Foe...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani