MVUA ZAWATESA WAKAZI WA KISASA, DODOMA
![](http://api.ning.com:80/files/1D30FS3uScvRf3ugb0Aed5wAYAkg15ic8OdxJ5Q3p2FV9ckspotMUbvIW84gvz4v3NEgThdGjNlUJTzxaDmTQIcABfckE5Uq/MAFURIKO2.jpg)
MVUA zinazoendelea kunyesha mkoani Dodoma zimekuwa kero kwa wakazi wa eneo la Kisasa kufuatia nyumba zao kuwa katika mkondo wa maji. Wananchi wamekuwa wakiitupia lawama CDA iliyowauzia viwanja hivyo ambavyo vipo kwenye mkondo wa maji ambapo mvua zikinyesha hali inakuwa tete kama inavyoonekana pichani. (PICHA NA GLOBAL WHATSAPP 0753 715…
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/NILch8FjIRE/default.jpg)
Wakazi wa mkoa wa Iringa wagundua dawa ya kuzuia mvua za mawe pamoja na mvua za upepo mkali
Waumi ni wa pentekoste mkoani Singida wamefanya ibada maalumu ya kumuombea Rais Magufuli ili aendelee kutumbua majipu: https://youtu.be/1dRmKUcqGHg
Waumini wa dini ya kiislamu wajitoa kusaidia wasiojiweza katika kuadhimisha sikukuu ya kuzaliwa Mtume Muhammad (S.A.W) https://youtu.be/-sI1j96PQ4E
Viongozi wa kamati ya Shehia visiwani Unguja...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-P2qiopCGtTQ/VDG4UiO2-TI/AAAAAAAGoJM/81rDX6TEwrE/s72-c/1.jpg)
WAKAZI WA DODOMA WASAMBAZA UPENDO WA KUTOSHA NDANI YA TAMASHA LA FIESTA MKOANI DODOMA
![](http://1.bp.blogspot.com/-P2qiopCGtTQ/VDG4UiO2-TI/AAAAAAAGoJM/81rDX6TEwrE/s1600/1.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-XjgVr8hRH6I/VDHP97QoYbI/AAAAAAAGoNE/DRSpW2L9ZwA/s1600/7.jpg)
Pichani ni kulia ni Msanii wa bongofleva AbdulKiba akiimba sambamba na kaka yake Alli Kiba ambaye amekuwa akifanya vyema katika anga ya muziki wa kizazi kipya kupitia nyimbo zake mbili alizoziachai hivi karibuni,ikiwemo MwanaDaisalama na Kimasomaso,
![](http://3.bp.blogspot.com/-q01ufSDEll8/VDJOCTrlcuI/AAAAAAACsT0/Xpoq0k0Ow9Y/s1600/IMG_3191.jpg)
11 years ago
Habarileo01 Jan
Wakazi mikoa ya Kusini waonywa kuhusu mvua
MAMLAKA ya Hali ya Hewa nchini(TMA) imehadharisha wakazi wa mikoa ya Kusini, kutokana na kile ilichosema utabiri unaonesha kuanzia mwezi huu hadi Machi, itapata mvua juu ya wastani zinazoweza kusababisha mafuriko.
11 years ago
GPLMVUA ZAANZA KUWAPA HOFU WAKAZI WA JIJI
11 years ago
GPLADHA YA MVUA INAVYOWATESA WAKAZI WA JIJINI DAR
11 years ago
Mwananchi07 Mar
Mvua zawaweka roho juu wakazi Dar
11 years ago
GPLMVUA YASABABISHA KERO KWA WAKAZI WA JIJINI DAR
10 years ago
Vijimambo10 years ago
GPLMVUA YAGEUKA KERO KUBWA KWA WAKAZI WA DAR