Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Burundi:Rais Nkurunziza akemea mauaji

Rais wa Burundi,Pierre Nkurunziza amekemea mauaji ya aliyekuwa mkuu wa upelelezi nchini humo

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

CCM Blog

RAIS MAGUFULI ATANGAZA MAOMBOLEZO YA SIKU TATU YA KIFO CHA RAIS NKURUNZIZA WA BURUNDI

Pierre NkurunzizaIkulu, Chamwino.
Rais Dk. John Magufuli ametangaza maombolezo ya Kitaifa ya siku tatu kuanzia kesho Juni 13, 2020 kufuatia kifo cha Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza kilichotokea Juni 09, 2020 nchini Burundi.

Taarifa iliyotolewa na Ikulu jijini Dodoma imesema katika kipindi chote cha siku tatu za maombolezo hayo ambayo yataanza leo, hadi keshokuwa bendera zote zitapeperushwa nusu mlingoti.

Taarifa hiyo imesema, Rais Magufuli ameeleza kuwa Tanzania inatoa heshima hiyo kwa kifo...

 

5 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS SAMIA NA RAIS MSTAAFU AWAMU YA NNE DKT. KIKWETE WAIFARIJI FAMILIA YA NKURUNZIZA BURUNDI



Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete wakimjulia hali na kumfariji Mjane wa marehemu Rais  Pierre Nkurunziza wa Burundi Bibi Rev Denise Nkurunziza wakati alipofika nyumbani kwa marehemu Nkurunziza  Jijini Bujumbura Nchini Burundi jana jioni kwa...

 

5 years ago

CCM Blog

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA NA RAIS MSTAAFU AWAMU YA NNE DKT. KIKWETE WAIFARIJI FAMILIA YA NKURUNZIZA BURUNDI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akitia saini kitabu cha kumbukumbu ya maombolezo nyumbani kwa marehemu Rais  Pierre Nkurunziza wa Burundi wakati alipofika nyumbani kwa marehemu Nkurunziza  Jijini Bujumbura Nchini Burundi jana jioni kwa ajili ya kuitembelea na kuifariji familia akiwemo mjane na watoto wa marehemu ambapo amemuomba Mwenyezi Mungu kuwapa uvumilivu na kuwa na subira katika kipindi hiki cha maombolezo.Rais mstaafu, Jakaya Kikwete akitia...

 

5 years ago

BBCSwahili

Rais wa Burundi , Pierre Nkurunziza ni nani?

Nkurunziza ni kiongozi wa zamani wa waasi ambaye alijisifu kuwa ameleta amani katika utawala wake nchini Burundi.

 

10 years ago

BBCSwahili

Rais Nkurunziza aomba utulivu Burundi

Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza ameomba utulivu baada ya wapiganaji waliovalia magwanda ya kijeshi kumuua mmoja ya majenerali walio na ushawishi mkubwa serikalini.

 

10 years ago

Mwananchi

Waasi Burundi wapanga kumng’oa Rais Nkurunziza

Mmoja wa viongozi wa mapinduzi yaliyozimwa nchini Burundi hivi karibuni ya kutaka kumwondosha madarakani Rais Pierre Nkurunziza, amesema mikakati mingine inaendelea kupangwa ili kumng’oa kiongozi huyo madarakani.

 

5 years ago

BBCSwahili

Pierre Nkurunziza aliyekuwa rais wa Burundi amezikwa Gitega

Pierre Nkurunziza azikwa Gitega huku mke wake akimuombeleza na kusema amekufa kwa amani

 

5 years ago

Michuzi

BREAKING NYUUUUUZZZZZ.......: RAIS WA BURUNDI, PIERRE NKURUNZIZA AFARIKI DUNIA

 Rais wa Burundi ambaye anamaliza muda wake,  Pierre Nkurunziza (55) ameaga dunia leo wakati akipatiwa matibabu katika hospitali ya Karusi nchini humo, baada ya kupata Shinikizo la damu.
Taarifa hizo zimetolewa hivi punde na kituo cha Mtandao wa Serikali ya Burundi ikithibitisha kifo jioni hii. Hivi karibuni iliripotiwa kuumwa kwake katika mitandao mbalimbali ambapo kabla ya kuumwa aliweza kushiriki katika Uchaguzi Mkuu wa Nchi hiyo Mwezi Mei.
Tutaendelea kuwajuza kwa habari zaidi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani