Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BREAKING NYUUUUUZZZZZ.......: RAIS WA BURUNDI, PIERRE NKURUNZIZA AFARIKI DUNIA

 Rais wa Burundi ambaye anamaliza muda wake,  Pierre Nkurunziza (55) ameaga dunia leo wakati akipatiwa matibabu katika hospitali ya Karusi nchini humo, baada ya kupata Shinikizo la damu.
Taarifa hizo zimetolewa hivi punde na kituo cha Mtandao wa Serikali ya Burundi ikithibitisha kifo jioni hii. Hivi karibuni iliripotiwa kuumwa kwake katika mitandao mbalimbali ambapo kabla ya kuumwa aliweza kushiriki katika Uchaguzi Mkuu wa Nchi hiyo Mwezi Mei.
Tutaendelea kuwajuza kwa habari zaidi.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Rais wa Burundi , Pierre Nkurunziza ni nani?

Nkurunziza ni kiongozi wa zamani wa waasi ambaye alijisifu kuwa ameleta amani katika utawala wake nchini Burundi.

 

5 years ago

BBCSwahili

Pierre Nkurunziza aliyekuwa rais wa Burundi amezikwa Gitega

Pierre Nkurunziza azikwa Gitega huku mke wake akimuombeleza na kusema amekufa kwa amani

 

10 years ago

GPL

RAIS PIERRE NKURUNZIZA ASOGEZA MBELE UCHAGUZI WA WABUNGE BURUNDI

Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza. RAIS wa Burundi, Pierre Nkurunziza amesogeza mbele uchaguzi wa wabunge kwa siku 10 hadi Juni 5 mwaka huu kufuatia jaribio la mapinduzi. Mmoja wa waandamanaji akiwa kapiga magoti mbele ya askari polisi. Msemaji wa Rais, Willy Nyamitwe ameliambia Shirika la Habari la AFP kuwa kufuatia jaribio la mapinduzi la wiki iliyopita na vurugu zilizofuatia ni bora kusogeza mbele uchaguzi huo kwa muda....

 

5 years ago

BBCSwahili

5 years ago

BBCSwahili

Pierre Nkurunziza: Baraza la mawaziri lasema litaongoza Burundi hadi rais atakapoapishwa

Baraza la Mawaziri nchini Burundi limesema kuwa linaongoza nchi hadi rais mpya atakapoapishwa.

 

5 years ago

BBCSwahili

Domitien Ndayizeye aliyekuwa rais wa Burundi asikitishwa na kifo cha Pierre Nkurunziza

Bwana Ndayizeye alisalia madarakani hadi aliporithiwa na Pierre Nkurunziza Agosti 26, 2005.

 

5 years ago

BBCSwahili

Pierre Nkurunziza: Nani anaiongoza Burundi baada ya kifo cha Nkurunziza?

Zaidi ya saa 48 baada ya kifo cha ghafla cha rais wa Burundi Pierre Nkurunziza kumekuwa na sintofahamu kuhusu ni nani atakayechukuwa hatamu ya uongozi.

 

5 years ago

BBCSwahili

Pierre Nkurunziza:Duru za kuaminika zathibitisha kifo cha Rais wa Burundi kimetokana na Covid 19

Duru za karibu na rais Pierre Nkurunziza zimethibitisha kuwa kiongozi huyo wa Burundi amefariki baada ya kuambukizwa virusi vya corona.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani