Rais Kikwete:Mauaji ya Albino ni fedheha
Serikali ya Tanzania imeahidi kufanya jitihada kukomesha vitendo vya mauaji dhidi ya jamii ya Albino
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/n7Vr5lDn5dE/default.jpg)
10 years ago
Habarileo14 Jun
Kikwete akemea mauaji ya albino
RAIS Jakaya Kikwete amewasihi Watanzania kuacha kuua watu wenye ulemavu wa ngozi (albino), badala yake wawalinde kwani ni aibu kwa baadhi ya watu kuwaua au kushiriki kuwaua wenzao kwa nia ya kujipatia fedha.
10 years ago
Mwananchi04 Mar
MAONI: Tumsaidie Rais kudhibiti na kukomesha mauaji ya albino
>Rais Jakaya Kikwete kwenye hotuba yake ya mwisho wa mwezi amezungumzia tatizo la mauaji ya albino, akisema Serikali imelipa uzito mkubwa suala la kudhibiti na kukomesha mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi au kukatwa baadhi ya viungo vyao wenyewe wakiwa hai.
10 years ago
Mwananchi07 Mar
MAUAJI ALBINO: Albino: Adhabu ya kifo sawa
>Mbunge wa Lindi Mjini, Salum Barwany amemwomba Rais Jakaya Kikwete kusaini hukumu ya kunyongwa hadi kufa inayowakabili watu wanne waliopatikana na hatia ya kumuua mtu mwenye ulemavu wa ngozi.
10 years ago
Mwananchi06 Mar
Albino wapambana wakienda kwa Rais Kikwete
Hali ya sintofahamu ilitokea jana baada ya wanachama wa Chama cha Albino Tanzania (Tas) kumshambulia kiongozi wao, Ernest Kimaya wakati wakiwa njiani kuelekea Ikulu ambako Rais Jakaya Kikwete aliwaita kwa mazungumzo.
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-ikX9ci3Eivk/VXt-SyBo3EI/AAAAAAAHfJA/kCC-6uaj7X4/s72-c/unnamed%2B%252850%2529.jpg)
Rais Kikwete awasili Arusha kuongoza maadhimisho ya Siku ya Albino
![](http://3.bp.blogspot.com/-ikX9ci3Eivk/VXt-SyBo3EI/AAAAAAAHfJA/kCC-6uaj7X4/s640/unnamed%2B%252850%2529.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-WKyM3IlQ0Lo/VXhgJiWEEDI/AAAAAAAHehE/ENJaSUJ9Q_8/s72-c/unnamed%2B%252821%2529.jpg)
RAIS JAKAYA KIKWETE KUWA MGENI RASMI MAADHIMISHO YA SIKU YA ALBINO ARUSHA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Kikwete anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye maadhimisho ya Siku ya Albino kitaifa yatayofanyika Juni 13,mwaka huu kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha.
Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake leo,Mkuu wa Mkoa wa Arusha,Felix Ntibenda alisema wamepata fursa ya kuwa wenyeji kutokana na kutokua na matukio ya ukatili wa watu wenye ulemavu wa ngozi kutokana na takwimu za mkoa wapo Albino 199.
“Mkoa una jumla ya watu wenye...
Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake leo,Mkuu wa Mkoa wa Arusha,Felix Ntibenda alisema wamepata fursa ya kuwa wenyeji kutokana na kutokua na matukio ya ukatili wa watu wenye ulemavu wa ngozi kutokana na takwimu za mkoa wapo Albino 199.
“Mkoa una jumla ya watu wenye...
11 years ago
GPLRAIS KIKWETE AZINDUA MABANGO YA KUHAMASISHA WANANCHI KUPIGA VITA MAUAJI YA TEMBO, FARU
Moja ya mabango yaliyozinduliwa na Rais Jakaya Kikwete usiku wa kuamkia leo katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam kwa ajili ya kuhamasisha wananchi kupiga vita mauaji ya Tembo na Faru nchini. Hafla hii ilifanyika muda mfupi kabla Rais Kikwete hajapanda ndege kuelekea London, Uingereza, kuhudhuria mkutano wa kimataifa wa kupanga mikakati ya kupambana na ujangili na biashara haramu ya meno ya...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania