Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Albino wapambana wakienda kwa Rais Kikwete

Hali ya sintofahamu ilitokea jana baada ya wanachama wa Chama cha Albino Tanzania (Tas) kumshambulia kiongozi wao, Ernest Kimaya wakati wakiwa njiani kuelekea Ikulu ambako Rais Jakaya Kikwete aliwaita kwa mazungumzo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mtanzania

Polisi, albino wapambana Dar

Kamishna Suleiman Kova

Kamanda wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Kamishna Suleiman Kova

NA SHABANI MATUTU

JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limetumia mabomu ya machozi kuwatawanya watu wenye ulemavu wa ngozi (albino), waliokuwa wakizuia gari la polisi lililokuwa limebeba mtuhumiwa wa kutishia kuua albino kwa maneno.

Tukio hilo lilitokea jijini Dar es Salaam jana, ambako albino hao walivamia gari hilo na kuwataka askari polisi wamshushe ndani ya gari mtuhumiwa huyo aliyetambulika kwa jina la Ombeni...

 

10 years ago

BBCSwahili

Rais Kikwete:Mauaji ya Albino ni fedheha

Serikali ya Tanzania imeahidi kufanya jitihada kukomesha vitendo vya mauaji dhidi ya jamii ya Albino

 

10 years ago

Michuzi

Rais Kikwete awasili Arusha kuongoza maadhimisho ya Siku ya Albino

Mwenyekiti wa Chama Cha Albino Tanzania Bwana Ernest Kimaya akimkaribisha Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro(KIA) muda mfupi baada ya kuwasili jana  jioni.Rais Kikwete atakuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya siku ya kimataifa wa Albino itakayofanyika leo katika uwanja wa michezo wa Sheikh Amri Abeid. Kushoto ni Bwana Godson Mollel mwenyekiti wa Chama cha Albino Mkoa wa Arusha. Picha na Freddy Maro

 

10 years ago

Michuzi

RAIS JAKAYA KIKWETE KUWA MGENI RASMI MAADHIMISHO YA SIKU YA ALBINO ARUSHA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Kikwete anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye maadhimisho ya Siku ya Albino kitaifa yatayofanyika Juni 13,mwaka huu kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha.
Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake leo,Mkuu wa Mkoa wa Arusha,Felix Ntibenda alisema wamepata fursa ya kuwa wenyeji kutokana na kutokua na matukio ya ukatili wa watu wenye ulemavu wa ngozi kutokana na takwimu za mkoa wapo Albino 199.
“Mkoa  una jumla ya watu wenye...

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE AKUTANA NA VIONGOZI WA CHAMA CHA ALBINO TANZANIA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO

Viongozi wa Chama Cha Albino Tanzania wakiwasili Ikulu jijini Dar es salaam leo Alhamisi Machi 5, 2015 kuonana na Rais Jakaya Mrisho Kikwete aliyewakaribisha ili kuwasikiliaza matatizo yao na kujadiliana nao mikakati ya namna ya kukomesha ukatili na mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi nchini​Rais Kikwete akisalimiana na ​Viongozi wa Chama Cha Albino Tanzania Ikulu jijini Dar es salaam leo Alhamisi Machi 5, 2015 alipowakaribisha ili kusikiliza matatizo yao na kujadiliana nao mikakati ya...

 

10 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AKUTANA NA VIONGOZI WA CHAMA CHA ALBINO TANZANIA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO‏

Viongozi wa Chama Cha Albino Tanzania wakiwasili Ikulu jijini Dar es salaam leo Alhamisi Machi 5, 2015  kuonana na Rais Jakaya Mrisho Kikwete aliyewakaribisha ili kuwasikiliaza matatizo yao na kujadiliana nao mikakati ya namna ya kukomesha ukatili na mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi nchini​.
Rais Kikwete akisalimiana na ​Viongozi wa Chama Cha Albino Tanzania Ikulu jijini Dar es salaam leo Alhamisi Machi...

 

10 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete apokea salamu za kheri kutoka kwa Rais Obama

D92A4464

Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mh.Liberata Mulamula akiwasilisha kwa Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete salamu za kumtakia kheri na afya njema kutoka kwa Rais wa Marekani Barack Obama leo  jijini Baltimore, Maryland, Marekani.

D92A4470

jk3

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisoma salamu maalumu za kumtakia kheri na afya njema  kutoka kwa Rais Barack Obama wa Marekani leo jijini Baltimore,  Maryland, Marekani.

jk13

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Balozi Liberata Mulamula na ujumbe wake wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani