Kongamano la mauaji ya albino
Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Al-Shaymaa Kwegyir, akizungumza na wanazuoni wa Chuo Kikuu cha Kumbukumbu cha Hubert Kairuki hawapo pichanai, katika kongamano la kujadili nini kifanyike kutokomeza mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi (albino) lililofanyika jana chuoni hapo. Kushoto ni Makamu Mkuu wa Chuo hicho Keto Mshigeni na Kulia ni Kokushubika Kairuki. Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Al-Shaymaa Kwegyir, katikati akiwa kwenye kongamano la wanazuoni wa Chuo Kikuu cha Kumbukumbu cha Hubert...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziMbunge wa Viti Maalum (CCM), Mhe. Al-Shaymaa Kwegyir, aizungumza na wanazuoni wa Chuo Kikuu cha Kumbukumbu cha Hubert Kairuki katika Kongamano la mauaji ya albino
hawapo pichani, katika kongamano la kujadili nini kifanyike kutokomeza mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi (albino) lililofanyika jana chuoni hapo. Kushoto ni Makamu Mkuu wa Chuo hicho Keto Mshigeni na Kulia ni Kokushubika Kairuki.
Na Mwandishi Wetu, Dar es SalaamMBUNGE wa Viti Maalum ambaye pia ni mlemavu wa ngozi (albino), Al -Shaimaa Kweigyir, amekemea vikali unyanyapaa unaofanywa na baadhi ya Watanzania juu ya jamii yenye ulemavu wa ngozi na kusema kwamba inawafanya watu hao waishi...
10 years ago
Mwananchi07 Mar
MAUAJI ALBINO: Albino: Adhabu ya kifo sawa
10 years ago
Michuzi10 years ago
Uhuru Newspaper11 Mar
MAUAJI YA ALBINO
Wapiga ramli 225 wanaswa na polisi
NA MWANDISHI WETU
JUHUDI za kukomesha matukio ya kihalifu ya kuwaua watu wenye ulemavu wa ngozi ‘Albino’, zimeanza kuzaa matunda baada ya Jeshi la Polisi kuwashikilia wapiga ramli 225.
Kushikiliwa kwa wapiga ramli hao kunatokana na operesheni inayoendeshwa na polisi ya kupambana na vitendo vya kikatili ili kuhakikisha matukio hayo hayaendelei kutokea.
Taarifa iliyotolewa jana mjini Dar es Salaam na Msemaji wa Jeshi la Polisi, Advera Bulimba, ilisema wapiga...
10 years ago
Mwananchi22 May
Mauaji ya albino Tanzania
10 years ago
Mtanzania03 Mar
JK alaani mauaji ya albino
Na Elizabeth Hombo, Dar es Salaam
RAIS Jakaya Kikwete amesema anasikitishwa na kitendo kilichoibuka upya cha mauaji ya albino baada ya hali kuwa tulivu mwaka 2011.
Amesema kutokana na hali hiyo amekubali kukutana na viongozi wa Chama cha Watu Wenye Ulemavu wa Ngozi nchini (Albino), ili kuweza kusikiliza maoni yao juu ya namna bora ya kumaliza tatizo hilo.
Rais Kikwete alitoa kauli hiyo jana katika hotuba yake ya mwisho wa mwezi, ambapo alisema ni lazima jamii ilaani vikali mauaji dhidi ya...
10 years ago
Mwananchi22 Sep
‘Kesi za mauaji ya albino ziharakishwe’
10 years ago
Uhuru NewspaperMauaji ya albino yavuka mipaka
NA MWANDISHI MAALUM, BLANTYREWAKATI Rais Jakaya Kikwete akitangaza vita na mtandao hatari unaojihusisha na utekaji na mauaji ya walemavu wa ngozi (albino), matukio hayo kwa sasa yameshika kasi nchini Malawi. Juzi, wakati akihutubia taifa katika hotuba yake ya mwisho wa mwezi, Rais Kikwete alisema serikali itahakikisha inasambaratisha mtandao huo na kuwataka watanzania wote kushiriki kwenye vita hiyo. Hata hivyo,...
10 years ago
Vijimambo22 Sep
Takwimu za mauaji ya albino zatisha
Shirikisho la Vyama vya Watu wenye Ulemavu Tanzania (Shivyawata), limeitaka serikali kupitisha adhabu ya kunyongwa kwa wale wanaohusika na mauaji ya Albino.
Akizungumza katika maadhimisho ya Siku ya Amani Kimataifa ya Albino jana jijini Dar es Salaam, Rais wa Chama cha Albino Tanzania (Tas), Joseph Tona, alisema kauli hiyo imetokana na ongezeko la idadi ya mauaji dhidi yao.
Kadhalika, takwimu za kutoka mwaka 2006 zinaonyesha kuwa...