JK alaani mauaji ya albino
Na Elizabeth Hombo, Dar es Salaam
RAIS Jakaya Kikwete amesema anasikitishwa na kitendo kilichoibuka upya cha mauaji ya albino baada ya hali kuwa tulivu mwaka 2011.
Amesema kutokana na hali hiyo amekubali kukutana na viongozi wa Chama cha Watu Wenye Ulemavu wa Ngozi nchini (Albino), ili kuweza kusikiliza maoni yao juu ya namna bora ya kumaliza tatizo hilo.
Rais Kikwete alitoa kauli hiyo jana katika hotuba yake ya mwisho wa mwezi, ambapo alisema ni lazima jamii ilaani vikali mauaji dhidi ya...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog23 Feb
Mkurugenzi Alex Msama amwaga misaada kwa vituo vya watoto yatima, alaani mauaji ya Albino yanayoendelea nchini
Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion inayoandaa Tamasha la Pasaka Bw. Alex Msama akikabidhi vyakula mbalimbali kwa Halima Ramadhan Mlezi wa kituo cha kulelea watoto yatima cha Mwadaliwa kilichopo Tegeta jijini Dar es salaam mwishoni mwa wiki iliyopita, ikiwa ni moja ya misaada inayotolewa katika vituo mbalimbali vya kulelea watoto yatima wakati wa msimu huu wa maadalizi ya Tamasha la Pasaka linalotimiza miaka 15 tangu lianzishwe.
Tamasha hilo Litafanyika jijini Dar es salaam Aprili 7...
10 years ago
BBCSwahili03 Sep
Rais Obama alaani mauaji ya mwandishi
10 years ago
BBCSwahili03 Jul
Buhari alaani mauaji ya Boko Haram
10 years ago
Vijimambo25 Jan
Obama alaani mauaji ya mateka wa Japan
![](http://ichef.bbci.co.uk/news/ws/660/amz/worldservice/live/assets/images/2015/01/24/150124173701_japan_is_hostage_640x360_bbc_nocredit.jpg)
Rais wa Marekani Barack Obama amelaani kile alichokitaja kuwa mauaji ya kikatili ya mmoja wa raia wa Japan aliyekuwa akishikiliwa mateka na wanamgambo wa Islamic State Haruna Yukawa.
Rais Obama pia alitaka mateka mwingine anayeshikiliwa na wanamgambo hao mwandishi wa habari Kenji Goto kuachiliwa mara moja
Kwa njia ya video Goto alionekana kwenye mitandao akishika mkononi picha ya maiti ya bwan Yukawa.
Mapema wataalamu mjini Tokyo na Marekani walisema kuwa wanatathmini ukweli wa...
9 years ago
Global Publishers17 Dec
Jaji  Bomani Alaani  Mauaji na Ukatili kwa Wakulima na Wafugaji
Jaji Bomani akisoma taarifa yake kwa wanahabari (hawapo pichani).
…Akitoa ufafanuzi wa jambo.
Wanahabari wakichukua matukio katika hafla hiyo.
MWANASHERIA Mkuu Mstafu wa Serikali, Jaji Mark Bomani amelaani vitendo vya mauaji dhidi ya watu na mifugo.
Akizungumza na wanahabari leo jijini Dar es Salaam, Jaji Bomani amesema kuwa hivi karibuni kumejitokeza wimbi la vikundi vya watu vinavyofanya vitendo vya ukatili hususani upande wa wafugaji na wakulima kugombania mashamba na hatimaye kuuana...
10 years ago
Mwananchi07 Mar
MAUAJI ALBINO: Albino: Adhabu ya kifo sawa
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/n7Vr5lDn5dE/default.jpg)
10 years ago
Uhuru Newspaper11 Mar
MAUAJI YA ALBINO
Wapiga ramli 225 wanaswa na polisi
NA MWANDISHI WETU
JUHUDI za kukomesha matukio ya kihalifu ya kuwaua watu wenye ulemavu wa ngozi ‘Albino’, zimeanza kuzaa matunda baada ya Jeshi la Polisi kuwashikilia wapiga ramli 225.
Kushikiliwa kwa wapiga ramli hao kunatokana na operesheni inayoendeshwa na polisi ya kupambana na vitendo vya kikatili ili kuhakikisha matukio hayo hayaendelei kutokea.
Taarifa iliyotolewa jana mjini Dar es Salaam na Msemaji wa Jeshi la Polisi, Advera Bulimba, ilisema wapiga...
10 years ago
VijimamboKongamano la mauaji ya albino