Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rais Obama alaani mauaji ya mwandishi

Rais Barack Obama amesema kuwa Marekani haitatishwa na mauaji wa mwandishi mwingine Mmarekani na kundi la Islamic State.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Obama alaani mauaji ya mateka wa Japan

Japan Hostages
Rais wa Marekani Barack Obama amelaani kile alichokitaja kuwa mauaji ya kikatili ya mmoja wa raia wa Japan aliyekuwa akishikiliwa mateka na wanamgambo wa Islamic State Haruna Yukawa.

Rais Obama pia alitaka mateka mwingine anayeshikiliwa na wanamgambo hao mwandishi wa habari Kenji Goto kuachiliwa mara moja

Kwa njia ya video Goto alionekana kwenye mitandao akishika mkononi picha ya maiti ya bwan Yukawa.

Mapema wataalamu mjini Tokyo na Marekani walisema kuwa wanatathmini ukweli wa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Rais Obama akerwa na mauaji Marekani

Rais Barack Obama amesema mauaji kwa misingi ya ubaguzi wa rangi ni kitisho kwa demokrasia ya Marekani

 

10 years ago

Mtanzania

JK alaani mauaji ya albino

jakayaNa Elizabeth Hombo, Dar es Salaam
RAIS Jakaya Kikwete amesema anasikitishwa na kitendo kilichoibuka upya cha mauaji ya albino baada ya hali kuwa tulivu mwaka 2011.
Amesema kutokana na hali hiyo amekubali kukutana na viongozi wa Chama cha Watu Wenye Ulemavu wa Ngozi nchini (Albino), ili kuweza kusikiliza maoni yao juu ya namna bora ya kumaliza tatizo hilo.
Rais Kikwete alitoa kauli hiyo jana katika hotuba yake ya mwisho wa mwezi, ambapo alisema ni lazima jamii ilaani vikali mauaji dhidi ya...

 

9 years ago

BBCSwahili

Obama alaani utamaduni wa ghasia za bunduki

Obama amesema hali hii imetosha sasa nchini humo na kuwa lazima wananchi wachukue hatua kuhakikisha kuwa watu hawapati bunduki kwa urahisi

 

10 years ago

BBCSwahili

Obama alaani mauji ya mateka wa Japan

Rais wa Marekani amelaani kile alichokitaja kuwa mauaji ya kikatili ya raia wa Japan aliyekuwa akishikiliwa mateka na IS

 

9 years ago

MillardAyo

Rais Obama alivyoangusha machozi baada ya kuumizwa na mauaji ya silaha.. (+Video)

Ishu ya matukio mfululizo ya mauaji Marekani yakihusishwa matumizi ya silaha yamekuwa yakitawala vichwa vya habari za Marekani na duniani.. mjadala ukaibuliwa kwamba kuna sababu zote za msingi itengenezwe sheria ya kudhibiti matumizi ya silaha. Japo kumekuwa na mvutano mkubwa kuhusu Bunge la Marekani kupitisha sheria hiyo, jana January 5 2015 Rais wa Marekani alijikuta […]

The post Rais Obama alivyoangusha machozi baada ya kuumizwa na mauaji ya silaha.. (+Video) appeared first on...

 

10 years ago

BBCSwahili

Buhari alaani mauaji ya Boko Haram

Rais wa Nigeria ametaja mauaji ya watu 150 kama ukatili na ukiukwaji wa kibinadamu.

 

11 years ago

GPL

MICHELLE OBAMA NAYE ALAANI UTEKAJI WASICHANA NIGERIA

Michelle Obama (pichani) naye ameungana na maelfu ya watu duniani kulaani kitendo kilichofanywa na kikundi cha Boko Haram cha kuwateka na kuwaficha wasichana zaidi ya 200 nchini Nigeria, ambao hadi sasa hawajulikani waliko.

 

9 years ago

Global Publishers

Jaji  Bomani Alaani  Mauaji na Ukatili kwa Wakulima na Wafugaji

 

1.Jaji Bomani akisoma taarifa yake kwa wanahabari (hawapo pichani).Jaji Bomani akisoma taarifa yake kwa wanahabari (hawapo pichani).2.Mwanasheria mstaafu wa  serikali, Jaji Mack Bomani akitoa ufafanuzi wa jambo kwa wanahabari (pichani hawapo).…Akitoa ufafanuzi wa jambo.3.Wanahabari wakichukua tukio hilo.Wanahabari wakichukua matukio katika hafla hiyo.

MWANASHERIA  Mkuu  Mstafu wa Serikali, Jaji Mark Bomani amelaani vitendo vya mauaji dhidi ya watu  na mifugo.

Akizungumza na wanahabari leo jijini Dar es Salaam, Jaji Bomani amesema kuwa hivi karibuni kumejitokeza wimbi la vikundi vya watu vinavyofanya vitendo vya ukatili hususani upande wa wafugaji na wakulima kugombania mashamba na hatimaye kuuana...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani