Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Obama alaani utamaduni wa ghasia za bunduki

Obama amesema hali hii imetosha sasa nchini humo na kuwa lazima wananchi wachukue hatua kuhakikisha kuwa watu hawapati bunduki kwa urahisi

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Obama alaani mauaji ya mateka wa Japan

Japan Hostages
Rais wa Marekani Barack Obama amelaani kile alichokitaja kuwa mauaji ya kikatili ya mmoja wa raia wa Japan aliyekuwa akishikiliwa mateka na wanamgambo wa Islamic State Haruna Yukawa.

Rais Obama pia alitaka mateka mwingine anayeshikiliwa na wanamgambo hao mwandishi wa habari Kenji Goto kuachiliwa mara moja

Kwa njia ya video Goto alionekana kwenye mitandao akishika mkononi picha ya maiti ya bwan Yukawa.

Mapema wataalamu mjini Tokyo na Marekani walisema kuwa wanatathmini ukweli wa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Obama alaani mauji ya mateka wa Japan

Rais wa Marekani amelaani kile alichokitaja kuwa mauaji ya kikatili ya raia wa Japan aliyekuwa akishikiliwa mateka na IS

 

10 years ago

BBCSwahili

Rais Obama alaani mauaji ya mwandishi

Rais Barack Obama amesema kuwa Marekani haitatishwa na mauaji wa mwandishi mwingine Mmarekani na kundi la Islamic State.

 

11 years ago

GPL

MICHELLE OBAMA NAYE ALAANI UTEKAJI WASICHANA NIGERIA

Michelle Obama (pichani) naye ameungana na maelfu ya watu duniani kulaani kitendo kilichofanywa na kikundi cha Boko Haram cha kuwateka na kuwaficha wasichana zaidi ya 200 nchini Nigeria, ambao hadi sasa hawajulikani waliko.

 

9 years ago

Dewji Blog

Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo kuendelea kushirikiana na wadau katika kuendeleza Utamaduni

pinda

Waziri Mkuu mstaafu Mizengo Pinda (kushoto) akifungua kituo cha utamaduni wa China nchini Tanzania mapema hii leo jijini Dar es Salaam, katikati ni Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel na kulia ni Mkurugenzi wa Utamaduni toka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Hermas Mwansoko.

pinda 2

Baadhi ya wanafunzi wa Kitanzania wanaojifunza lugha ya Kichina katika kituo cha Utamaduni wa China nchini Tanzania wakiimba nyimbo kwa lugha ya...

 

10 years ago

Mtanzania

JK alaani mauaji ya albino

jakayaNa Elizabeth Hombo, Dar es Salaam
RAIS Jakaya Kikwete amesema anasikitishwa na kitendo kilichoibuka upya cha mauaji ya albino baada ya hali kuwa tulivu mwaka 2011.
Amesema kutokana na hali hiyo amekubali kukutana na viongozi wa Chama cha Watu Wenye Ulemavu wa Ngozi nchini (Albino), ili kuweza kusikiliza maoni yao juu ya namna bora ya kumaliza tatizo hilo.
Rais Kikwete alitoa kauli hiyo jana katika hotuba yake ya mwisho wa mwezi, ambapo alisema ni lazima jamii ilaani vikali mauaji dhidi ya...

 

10 years ago

Vijimambo

Zwelithini alaani mashambulio AK




Goodwill Zwelithini, Mflame wa Zulu
Mfalme wa kabila la Zulu, Goodwill Zwelithini, ameelezea kama jambo la aibu mashambulio dhidi ya raia wa mataifa mengine yanayofanyika nchini Afrika Kusini, ambayo tayari yamesababisha vifo vya watu saba.Mwaandishi habari wa BBC mjini Durban mahala ambapo mfalme huyo alitoa matamshi hayo anasema kuwa hata ingawa anakanusha kuwa amenukuliwa visivyo, matamshi yake dhidi ya raia wa kigeni imesababisha athari mbaya.
Amesema kuwa umma uliwapigia kelele mabalozi...

 

11 years ago

Mwananchi

Machali alaani uamuzi wa kamati

Mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, Moses Machali amesema kitendo cha Kamati Maalumu la kumshauri Mwenyekiti wa Muda wa Bunge hilo kupendekeza kuwa chombo hicho ndicho kitakachoamua utaratibu wa upigaji wa kura na kupitisha uamuzi, kinapaswa kulaaniwa.

 

11 years ago

Habarileo

Alaani utekaji wasichana Nigeria

Balozi Seif Ali IddMAKAMU wa Pili wa Rais Zanzibar, Balozi Seif Ali Idd amesema Serikali inaungana na Chama cha Majaji Wanawake Duniani (IAWJ) kulaani vitendo vya ukatili na utekaji kwa wasichana nchini Nigeria.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani