CWT:Tutaandamana kupinga sheria mpya ya mafao ya uzeeni
Chama cha Walimu (CWT) mkoani hapa kimetangaza kuwa kitafanya maandamano ya amani, iwapo rasimu ya mapendekezo ya sheria kuhusu mafao ya wastaafu ya mifuko ya pensheni itapitishwa na Bunge.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Dewji Blog29 Apr
Wastaafu watakiwa kuhakiki taarifa za mafao yao ya uzeeni
Meneja Uhusiano na Masoko kutoka Mfuko wa Pensheni wa PPF Bi. Lulu Mengele akiongea na waandishi wa Habari( Hawapo Pichani) kuhusu wastaafu kwenda kuhakiki taarifa za mafao katika Ofisi za Mfuko huo, wakati wa Mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Afisa Habari wa Idara ya Habari (MAELEZO) Bw. Frank Mvungi.
Baadhi ya waandishi wa Habari waliohudhuria Mkutano huo wakimsikiliza Meneja Uhusiano na Masoko kutoka Mfuko wa Pensheni wa...
10 years ago
Tanzania Daima16 Sep
Walimu walalamikia sheria mpya ya mafao
CHAMA cha Walimu Tanzania (CWT), Manispaa ya Ilala, Dar es Salaam, kimelalamikia sheria mpya ya mafao ya wastaafu kuwa ni ya kinyonyaji, haistahili kuanza kutumika bila kufanyiwa marekebisho kwa kushirikiana...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-veO808vm0Bs/VQLsOy2RBhI/AAAAAAAHKFI/9Ci7lQOHvsQ/s72-c/02.jpg)
MAAFISA WA MAMLAKA YA USIMAMIZI WA MAFAO YA UZEENI KENYA (RBA) WAFURAHISHWA NA HUDUMA ZA PPF
![](http://3.bp.blogspot.com/-veO808vm0Bs/VQLsOy2RBhI/AAAAAAAHKFI/9Ci7lQOHvsQ/s1600/02.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-4oIfkYCr_dw/VQLsPYCnWYI/AAAAAAAHKFQ/_ZsoopS6WNg/s1600/04.jpg)
11 years ago
Tanzania Daima23 Jul
CWT yapinga punguzo la mafao
CHAMA cha Walimu Tanzania (CWT) kimepinga vikali punguzo la mafao ya wastaafu wanachama wa Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSPF) na watumishi wanachama wa LAPF. Akizungumza na waandishi wa...
10 years ago
Dewji Blog17 Aug
CWT Singida yapinga rasimu ya Wizara ya kazi na ajira juu ya kuimarisha Mifuko ya Hifadhi za Jamii na kuboresha Viwango vya Mafao ya Pensheni kwa Wastaafu
Mwenyekiti wa CWT Mkoa wa Singida Aran Jumbe, akizungumza na waandishi wa habari kwenye ofisi za chama hicho kuhusiana na tamko la chama juu ya kupinga rasimu ya Wizara ya kazi na ajira juu ya kuimarisha Mifuko ya Hifadhi za Jamii na kuboresha Viwango vya Mafao ya Pensheni kwa Wastaafu.
Na Hillary Shoo, SINGIDA.
Chama cha Walimu CWT kimetoa tamko la kupinga rasimu ya Wizara ya kazi na ajira juu ya kuimarisha Mifuko ya Hifadhi ya Jamii na kuboresha Viwango vya Mafao ya Pensheni kwa...
11 years ago
Habarileo06 Aug
Kanuni mpya za kukokotoa mafao
SERIKALI imetangaza kanuni mpya, mbazo zinatoa viwango sawa vya vikokotoa kwa mifuko yote ya hifadhi ya jamii, ambapo sasa watalipwa asilimia 72.5 kutoka asilimia 60-67 kwa baadhi ya mifuko iliyokuwa ikilipwa awali. Pia, kiwango cha chini cha pensheni, kimeongezwa kwa mifuko ambayo haikuwa na kiwango cha chini.
11 years ago
Uhuru Newspaper22 Jul
Mpango mpya wa mafao wakataliwa
NA RABIA BAKARI
BAADHI ya vyama vya wafanyakazi nchini, vimepinga mchakato wa serikali ulioanza wa mapendekezo ya kuimarisha Mifuko ya Hifadhi ya Jamii, unaokwenda sambamba na mapendekezo ya kupunguza viwango vya sasa vya mafao kupitia Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA).
Vimesema mchakato huo unakiuka haki za wafanyakazi kwa kuwa muda mrefu wafanyakazi nchini wamekuwa wakilalamikia mapato madogo kutokana na kodi kubwa inayotozwa kwenye mishahara yao pamoja na...
9 years ago
Mzalendo Zanzibar16 Sep
Kesi ya kupinga sheria ya mtandao
Dar es Salaam. Mchakato wa usikilizwaji wa kesi ya Sheria ya Makosa ya Uhalifu wa Kimtandao umeanza, huku Mahakama Kuu nchini ikiipa Serikali siku 14 kuwasilisha mahakamani hapo majibu yake ya utetezi kuhusiana na kesi hiyo.Kesi […]
The post Kesi ya kupinga sheria ya mtandao appeared first on Mzalendo.net.
11 years ago
BBCSwahili26 Feb
Wazuiwa kupinga sheria ya mavazi mafupi