Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wastaafu watakiwa kuhakiki taarifa za mafao yao ya uzeeni

pix 1

Meneja Uhusiano na Masoko kutoka Mfuko wa Pensheni wa PPF Bi. Lulu Mengele akiongea na waandishi wa Habari( Hawapo Pichani) kuhusu wastaafu kwenda kuhakiki taarifa za mafao katika Ofisi za Mfuko huo, wakati wa Mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Afisa Habari wa Idara ya Habari (MAELEZO) Bw. Frank Mvungi.

IMG_5963

Baadhi ya waandishi wa Habari waliohudhuria Mkutano huo wakimsikiliza Meneja Uhusiano na Masoko kutoka Mfuko wa Pensheni wa...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

CWT:Tutaandamana kupinga sheria mpya ya mafao ya uzeeni

Chama cha Walimu (CWT) mkoani hapa kimetangaza kuwa kitafanya maandamano ya amani, iwapo rasimu ya mapendekezo ya sheria kuhusu mafao ya wastaafu ya mifuko ya pensheni itapitishwa na Bunge.

 

10 years ago

Michuzi

MAAFISA WA MAMLAKA YA USIMAMIZI WA MAFAO YA UZEENI KENYA (RBA) WAFURAHISHWA NA HUDUMA ZA PPF

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Vupe Ligate, (kulia), na Meneja Miundombinu ya IT wa Mfuko huo, Gilbert W. Chawe, (katikati), wakimsikiliza afisa mwandamizi kutoka Mamlaka ya Usimamizi Mifuko ya Hifadhi ya Jamii, (SSRA), Rehema Kabongo, wakati wa ziara ya Maafisa kutoka Mamlaka ya Usimamizi Mafao ya Uzeeni, nchini Kenya, (RBA), kwenye makao makuu ya PPF barabara ya Samora/Morogoro jijini Dar es Salaam.Maafisa toka Mamlaka ya Usimamizi wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii,...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wastaafu wataka mafao

WASTAAFU wa iliyokuwa Tanganyika Packers, wameitaka serikali kuwalipa mafao yao kabla ya kuruhusu Shirika la Nyumba (NHC), kubomoa nyumba zao. Wakizungumza na Tanzania Daima jijini Dar es Salaam jana, wazee...

 

10 years ago

Habarileo

Wezi mafao ya wastaafu kukiona

Waziri wa Fedha, Saada Mkuya SalumSERIKALI imewakemea watumishi wake wanaoiba fedha za mafao ya wastaafu, kwa kushirikiana na benki zinakopitishwa au kuhifadhiwa, na kusema kuwa, itawachukulia hatua za kisheria, ikiwa ni pamoja na kuwafukuza kazi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mafao ya pensheni ya wastaafu juu

KILIO cha muda mrefu cha wastaafu kutofautina mafao ya pensheni  katika Mifuko ya Hifadhi ya Jamii, sasa kimepatiwa majibu baada ya Serikali kuamua kuanzisha fomula mpya ya kukokotoa. Fomula hiyo mpya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Serikali yakana wastaafu kupunjwa mafao

SERIKALI imesema madai kuwa mafao yanayolipwa kwa wastaafu sio sahihi hayana ukweli wowote. Naibu Waziri wa Fedha na Uchumi, Adam Malima, alieleza hayo bungeni jana alipokuwa akijibu swali la Mbunge...

 

11 years ago

Mwananchi

Talgwu yapinga mafao ya wastaafu kupunguzwa

Chama cha Wafanyakazi wa Serikali za Mitaa Tanzania (TALGWU), kimepinga uamuzi wa Serikali kupunguza mafao ya wastaafu serikalini na kutishia kuchukua hatua za kisheria iwapo utaratibu wa zamani hautarejeshwa.

 

10 years ago

Michuzi

SSRA yatoa ufafanuzi kuhusu Kanuni No. 13 ya mafao ya wastaafu

Mkuu wa Kitengo na Uhusiano na Uhamasishaji cha Mamlaka ya Udhibiti na Usimamizi wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Sarah Kibonde, akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, wakati mamlaka hiyo, ilipokuwa ikitoa ufafanuzi kuhusu kanuni No. 13 ya mafao ya wastaafu. Kulia ni Ofisa Mwandamizi Tafiti, Tathmini na Sera wa SSRA, Joseph Mutashubilwa.  Mkurugenzi wa Sheria wa Mamlaka ya Udhibiti na Usimamizi wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Ngabo Ibrahim, akifafanua jambo kwa...

 

10 years ago

Michuzi

TAARIFA KWA UMMA: KUHAKIKI TAARIFA KATIKA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

Tunawatangazia wananchi wote waliojiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura kwa mfumo wa BVR kujitokeza katika vituo walipojiandikisha ili wahakiki taarifa zao. Ambako daftari la mpiga kura limebandikwa. (Display)  NA.MIKOATAREHE YA KUANZATAREHE YA KUMALIZA1Njombe, Iringa,  Mtwara, Lindi, Ruvuma, Katavi, Rukwa, Mbeya, Dodoma, Singida, Tabora, Kigoma, Kagera, Simiyu, Shinyanga, Geita, Mwanza, Mara, Manyara, Arusha, Kilimanjaro, Tanga na Morogoro.
07/08/201511/08/20152Pwani na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani