Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAAFISA WA MAMLAKA YA USIMAMIZI WA MAFAO YA UZEENI KENYA (RBA) WAFURAHISHWA NA HUDUMA ZA PPF

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Vupe Ligate, (kulia), na Meneja Miundombinu ya IT wa Mfuko huo, Gilbert W. Chawe, (katikati), wakimsikiliza afisa mwandamizi kutoka Mamlaka ya Usimamizi Mifuko ya Hifadhi ya Jamii, (SSRA), Rehema Kabongo, wakati wa ziara ya Maafisa kutoka Mamlaka ya Usimamizi Mafao ya Uzeeni, nchini Kenya, (RBA), kwenye makao makuu ya PPF barabara ya Samora/Morogoro jijini Dar es Salaam.Maafisa toka Mamlaka ya Usimamizi wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii,...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

Wastaafu watakiwa kuhakiki taarifa za mafao yao ya uzeeni

pix 1

Meneja Uhusiano na Masoko kutoka Mfuko wa Pensheni wa PPF Bi. Lulu Mengele akiongea na waandishi wa Habari( Hawapo Pichani) kuhusu wastaafu kwenda kuhakiki taarifa za mafao katika Ofisi za Mfuko huo, wakati wa Mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Afisa Habari wa Idara ya Habari (MAELEZO) Bw. Frank Mvungi.

IMG_5963

Baadhi ya waandishi wa Habari waliohudhuria Mkutano huo wakimsikiliza Meneja Uhusiano na Masoko kutoka Mfuko wa Pensheni wa...

 

10 years ago

Mwananchi

CWT:Tutaandamana kupinga sheria mpya ya mafao ya uzeeni

Chama cha Walimu (CWT) mkoani hapa kimetangaza kuwa kitafanya maandamano ya amani, iwapo rasimu ya mapendekezo ya sheria kuhusu mafao ya wastaafu ya mifuko ya pensheni itapitishwa na Bunge.

 

10 years ago

Michuzi

PPF YAWANOA WAAJIRI KUHUSIANA NA HUDUMA ZAKE MPYA IKIWEMO PPF TAARIFA APP

Prof. Betria Mapunda ambae amemwakilisha Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar Es salaam akifungua semina iliyoandaliwa na Mfuko wa Pensheni wa PPF kwa Waajiri kwa lengo la Kutoa elimu juu ya huduma zitolewazo na mfuko huo wa Pensheni wa PPF katika ukumbi wa Seaescape, Uliopo Mbezi Beach Jijini Dar Es Salaam.Meneja wa Kanda ya Kinondoni wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Bi Zahara Kayugwa akitoa mada wakati wa semina iliyoandaliwa na Mfuko wa Penhsheni wa PPF kwaa Waajiri wa Makampuni na mashirika...

 

9 years ago

Michuzi

WAZIRI WA FEDHA SAADA MKUYA SALUM AZINDUA BODI YA PPF NA MAFAO MAPYA YA MFUKO

 Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum, (kushoto), akimkabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi milioni moja, mwanachama wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Sara Haule ikiwa ni malipo ya fao la uzazi wakatinwa uzinduzi wa bodi mpya ya PPF, sambamba na uzinduzi wa fao hilo la uzazi, Jumanne Agosti 25, 2015.

 Waziri Saada Mkuya Salum akitoa hotuba ya uzinduzi.

KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.

 

9 years ago

Vijimambo

WAZIRI WA FEDHA, SAADA MKUYA SALUM AZINDUA BODI MPYA YA PPF NA MAFAO MAPYA YA MFUKO HUO

 Waziri wa Fedha, Saada Mkuya Salum akitoa hotuba ya uzinduzi wa Bodi Mpya ya PPF na Mafao Mapya ya Mfuko huo Dar es Salaam jana. Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum, (kushoto), akimkabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya sh. milioni moja, mwanachama wa mfuko huo, Sara Haule kama malipo ya fao la uzazi katika hafla ya uzinduzi wa bodi hiyo sanjari  na uzinduzi wa fao  la uzazi.
 Waziri Fedha, Saada Mkuya akipeana mkono wa pongezi Mwanachama wa mfuko huo , Caroline Kiswaga, baada ya kumkabidhi...

 

9 years ago

Dewji Blog

Waziri wa Fedha, Saada Mkuya Salum azindua bodi mpya ya PPF na mafao mapya ya mfuko huo

Waziri wa Fedha, Saada Mkuya Salum akitoa hotuba ya uzinduzi wa Bodi Mpya ya PPF na Mafao Mapya ya Mfuko huo Dar es Salaam jana.

2

Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum, (kushoto), akimkabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya sh. milioni moja, mwanachama wa mfuko huo, Sara Haule kama malipo ya fao la uzazi katika hafla ya uzinduzi wa bodi hiyo sanjari  na uzinduzi wa fao  la uzazi.

Waziri Fedha, Saada Mkuya akipeana mkono wa pongezi Mwanachama wa mfuko huo, Caroline Kiswaga, baada ya...

 

10 years ago

Michuzi

Wananchi wa mkoa wa Shinyanga wafurahishwa na huduma za matibabu ya madaktari bingwa katika Hospitali ya Rufaa

Wananchi wa mkoa wa Shinyanga wameelezea kufurahishwa kwao na huduma za matibabu zinazotolewa na madaktari bingwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa huo.
Wakizungumza na mwandishi wetu aliyetembelea katika hospitali hiyo, mmoja wa wazee waliopata huduma ya matibabu ya ugonjwa wa moyo Bi. Salu Shinge amesema amekuwa akisumbuliwa na maumivu ya moyo kwa muda mrefu lakini baada ya kuonana na Daktari bingwa siku ya Jumatatu na kuanza kutumia dawa, hali yake imbadilika na kwamba anajisikia...

 

10 years ago

Michuzi

Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), yajipanga kuikabili Ebola

Mganga Mkuu wa Zahanati ya TPA, Dkt. Mkunde Mlay akifungua mafunzo ya namna ya kukabiliana na Ebola kwa Wafanyakazi wa Bandari ya Dar es Salaam wa vitengo vya afya, zimamoto na ulinzi. Mafunzo hayo yalitolewa hivi karibuni bandarini hapo na madaktari wa Hospitali ya Taifa Muhimbili.Dkt. Juma Mfinanga wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, akieleza jambo kwa wafanyakazi wa Bandari ya Dar es Salaam namna ya kukabiliana na Ebola. Mfano wa vazi maalumu la kujikinga na maambukizi ya virusi vya Ebola...

 

9 years ago

Michuzi

UTEUZI WA MWENYEKITI NA WAJUMBE WA BODI YA MAMLAKA YA USIMAMIZI WA WANYAMAPORI TANZANIA (TAWA)

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAWIZARA YA MALIASILI NA UTALII TAARIFA KWA UMMA UTEUZI WA MWENYEKITI NA WAJUMBE WA BODI YA MAMLAKA YA USIMAMIZI WA WANYAMAPORI TANZANIA (TAWA)
Wizara ya Maliasili na Utalii inapenda kuujulisha umma kuwa, Bodi mpya ya Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania  (Tanzania Wildlife Authority -TAWA),  imeteuliwa rasmi kuanzia tarehe 09 mwezi  Septemba, 2015. Katika uteuzi huo, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amemteua...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani