Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Raia Nigeria walalamikia ‘sheria ya mtandao’

Raia wa Nigeria wamekuwa wakilalamika katika mitandao ya kijamii kupinga mswada wa sheria mpya ambao wanasema lengo lake ni kunyima watu uhuru wa kujieleza.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MAKALA YA SHERIA: JE WAJUA SHERIA INAKURUHUSU RAIA KUKATAA KUKAMATWA NA ASKARI TARATIBU ZINAPOKIUKWA ?

Na  Bashir  Yakub.Siku  zote  wananchi  wamekuwa    wakililalamikia jeshi  la polisi  kwa  namna  linavyoendesha  shughuli  zake hasa wakati  wa  ukamataji (arrest). Matumizi  ya  nguvu, ubabe    na  kutofuata  sheria    na  taratibu  maalum  limekuwa  ndio  tatizo  kubwa  kwa  wananchi  dhidi  ya  askari.  
Sio  siri  askari wamekuwa  wakitumia  nguvu  na  ubabe  mno  katika  kuwakamata raia.  Hata  pale pasipo  na  haja  yoyote  ya  kutumia  nguvu    bado  wao  wamekuwa  wakilazimisha...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Walimu walalamikia sheria mpya ya mafao

CHAMA cha Walimu Tanzania (CWT), Manispaa ya Ilala, Dar es Salaam, kimelalamikia sheria mpya ya mafao ya wastaafu kuwa ni ya kinyonyaji, haistahili kuanza kutumika bila kufanyiwa marekebisho kwa kushirikiana...

 

9 years ago

StarTV

Wafanya usafi walalamikia madereva wanaokiuka sheria

 

Baadhi ya wanawake wanaofanya usafi katika jiji la Mwanza wamewalalamikia madereva wanaokiuka sheria za usalama barabarani kwa kuendesha magari wakiwa wamelewa na wengine kuendesha kwa mwendo kasi licha ya kuwekewa alama za usalama barabarani.

Katikati ya jiji la Mwanza jua ni kali, usafi wa barabara unaendelea ambao ni miongoni mwa vigezo vya maendeleo kwa sababu mazingira safi ambayo yanapunguza magonjwa lakini hali hiyo inadaiwa kuhatarisha usalama wa wanawake hao wakati wa kufagia...

 

10 years ago

BBCSwahili

Wapinzani walalamikia uchaguzi Nigeria

Upinzani nchini Nigeria umekosoa hatua ya kuahirishwa kwa uchaguzi hadi mwishoni mwa Mwezi March.

 

10 years ago

Michuzi

MAKALA YA SHERIA: NAMNA YA KUWASHITAK ASKARI WANAOWABAMBIKIZA KESI RAIA

Na   Bashir   Yakub.
Hapa kwetu Tanzania  habari ya kubambakiziana kesi ni kama mtindo. Mara nyingi matendo haya yamekuwa yakifanywa na watu wenye uwezo  kifedha dhidi ya wasio na fedha  pia kati ya  maofisa wa polisi na raia. Mtu kwasababu ana pesa au cheo anaweza kuamua  kumfungulia yeyote mashtaka.  Watu wengi wako magerezani kwa kubambikizwa kesi, hili wala sio siri tena. Siseme walio mahabusu, hao nao hawana idadi. Inasikitisha mno. Ni wazi kuwa wengi wao wamefikia huko aidha kwa...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Raia wa Yemen ahukumiwa kwa kuingia nchini kinyume cha sheria

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemuhukumu Hassan Said Awadh (48), raia wa Yemen kulipa faini ya sh 300,000 au kwenda jela miaka mitatu kwa makosa mawili ikiwamo kuingia nchini kinyume...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Raia wa Nigeria wakutwa na milipuko Tanga

JESHI la Polisi mkoani hapa linawashikilia watu watatu wakiwemo raia wawili wa Nigeria kwa kosa la kukutwa na milipuko nane waliyokuwa wameihifadhi nyumbani kwa mwenyeji wao aliyejulikana kwa jina moja...

 

10 years ago

BBCSwahili

Raia wa Nigeria wapinga posho za wabunge

Raia wa Nigeria wametoa hisia zao za ghadhabu kufuatia ripoti kuwa wabunge kujipa mamilioni ya dola ikiwemo pesa ya mavazi.

 

10 years ago

BBCSwahili

Nigeria:Raia watakiwa kuwa waangalifu

Rais wa Nigeria Goodluck Jonathan amewataka watu wote nchini Nigeria kuwa waangalifu ili kuepuka mashambulizi ya kigaidi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani