Walimu wafundwa kwenda na kasi ya BRN
OFISI ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), itaendelea kuimarisha mafunzo kwa walimu ili wafikie viwango vya kwenda na kasi ya Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN) inayotekelezwa katika Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziMAAFISA ELIMU WILAYA WAFUNDWA KUHUSU BRN
11 years ago
Tanzania Daima27 Apr
Walimu Tabora wafundwa
WAHITIMU 175 wa Chuo cha Ualimu Tabora wameaswa kutumia mafunzo ya ualimu waliyopata kwa uadilifu na kamwe wasije kuwa mzigo kwa serikali na jamii. Meneja wa Mfuko wa PSPF Mkoa...
10 years ago
Habarileo13 Apr
Walimu 18,000 wafundwa mtaala mpya la I, II
JUMLA ya walimu wa shule ya msingi 18,000 kutoka mikoa 14 nchini, leo wanaanza mafunzo yenye kulenga kuwajengea uwezo wa kufundisha Mtaala mpya wa Elimu ya Msingi Darasa la I na la II.
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-ihyCowxBCHI/VUx4lHZmSwI/AAAAAAAHWQQ/GT4rRgFcCg4/s72-c/unnamedM.jpg)
DAWASCO YATAKIWA KUENDANA NA KASI YA BRN
Ameyasema hayo jijini Dar es salaam katika kikao cha pamoja cha utambulisho wake kwa wafanyakazi wa Dawasco kilichowajumuisha wakurugenzi pamoja na wafanyakazi wa shirika hilo huku akisisitiza kuwa ...
11 years ago
Habarileo11 Dec
Walimu walalamikia posho ya semina BRN
WALIMU wa zaidi ya 100 wa shule za msingi saba za Kata ya Buigiri wilayani Chamwino wamelalamikia posho ya ushiriki katika semina ya Mabadiliko Makubwa Sasa (BRN). Semina hiyo iliandaliwa kwa ajili ya kuleta uelewa kwa walimu hao.
10 years ago
Habarileo21 Dec
Utoro wa walimu, wanafunzi wakwamisha BRN Kigoma
WAKATI Serikali ikiwa katika utekelezaji wa Matokeo Makubwa Sasa huku sekta ya elimu ikiwa ni moja ya sekta sita zinazotekeleza mpango huo imeelezwa kuwa utoro wa walimu na wanafunzi umeufanya mkoa Kigoma kushindwa kufikia malengo ya utekelezaji wa mpango huo.
9 years ago
Habarileo14 Nov
Walimu waagizwa kufuata kasi ya Rais
WALIMU wametakiwa kufanya kazi kwa ufanisi, ubunifu na maarifa kuendana na kauli mbiu ya Rais John Magufuli ya Hapa Kazi tu ili wanafunzi waelewe kinachofundishwa darasani bila ya kutegemea masomo ya ziada.
9 years ago
Habarileo15 Dec
Vijana wahimizwa kwenda na kasi ya Rais Magufuli
MBUNGE wa Songea Mjini, Leonidas Gama, amewataka vijana kuunga mkono hatua za Rais John Magufuli kuhimiza kasi ya uwajibikaji katika kazi kuleta maendeleo. Alitoa mwito huo jana mjini hapa alipozungumza na waendesha bodaboda ambao ni wafuasi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), katika Kata ya Ruhuwiko.
10 years ago
Habarileo10 Mar
Treni iendayo kasi kwenda Bara kuanza Aprili
SHIRIKA la Reli Tanzania (TRL) limetangaza nauli ya treni mpya ya Deluxe, zilizoidhinishwa na Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra), zitakazoanza kutumika mapema Aprili, mwaka huu.