Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAAFISA ELIMU WILAYA WAFUNDWA KUHUSU BRN

Mkuu wa Kitengo cha Utekelezaji cha MIradi ya Matokeo Makubwa Sasa (BRN) katika Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi, Grace Hoka akitoa maelezo kuhusu miradi ya elimu kwa Maafisa Elimu Wilaya (hawapo Chuo cha Adem mjini Bagamoyo leo.Meneja wa Sekta ya Elimu katika Kitengo cha Rais cha Usimamizi wa Miradi ya Matokeo Makubwa Sasa (BRN), Jenifa Mhando akitoa maelezo kuhusu BRN na miradi ya elimu kwa Maafisa Elimu Wilaya (hawapo pichani) katika kikao chao kilichomalizika kwenye Chuo...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Walimu wafundwa kwenda na kasi ya BRN

OFISI ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), itaendelea kuimarisha mafunzo kwa walimu ili wafikie viwango vya kwenda na kasi ya Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN) inayotekelezwa katika Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi.

 

5 years ago

Michuzi

MAAFISA WA BUNGE WATOA ELIMU KUHUSU JUMUIYA YA MADOLA (CPA)


 Afisa wa Bunge Ndg. Dastan Mpelumbe akifafanua jambo walipokuwa wakitoa Elimu kwa Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Dodoma kuhusu Shughuli zinazofanya na Umoja wa Mabunge ya Jumuiya ya Madola (CPA) kama sehemu ya kusherehekea siku ya Kimataifa ya Jumuiya ya Madola Jijini Dodoma. (Picha na Ofisi ya Bunge) Mwakilishi wa Bunge la Vijana la CPA anayeiwakilisha Tanzania Ndg. Hamisi Hincha akifafanua jambo walipokuwa wakitoa Elimu kwa Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Dodoma kuhusu Shughuli...

 

5 years ago

Michuzi

OFISA ELIMU NYASA AWACHARUKIA WALIMU WAKUU NA MAAFISA ELIMU KATA



Ofisa Elimu msingi Wilaya ya Nyasa Bw. Said Kalima akiongea na Walimu wakuu na Maafisa Elimu kata wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa jana, Katika ukumbi wa Kasimu Majaliwa ulioko katika shule ya Sekondari Mbamba-bay wilayani hapa.Amewaagiza walimu hao kufundisha kwa bidii na kutomvumilia mwalimu mzembe na kupandisha ufaulu ufikie asilimia mia moja kwa Wilaya ya nyasa,kuanzia mwaka huu 2020 na kuendelea.

……………………………………………………………………………………….

Ofisa Elimu Msingi wa Wilaya ya Nyasa Said Kalima,...

 

10 years ago

Michuzi

NAIBU MTENDAJI MKUU PDB/BRN ATAKA MAAFISA KILIMO KUWA WABUNIFU

Naibu Mtendaji Mkuu wa Ofisi ya Rais-Ufuatiliaji wa Utekelezaji wa Miradi (PDB) inayosimamia Mpango wa BRN, Bw. Peniel Lyimo akisisitiza jambo wakati wa kikao kazi na maafisa kilimo kilichoanza Dar es Salaam leo Jumatatu ambapo aliwataka kuwa wabunifu, kutatua changamoto za kisekta na kushirikishana na wataalamu wengine ili malengo ya BRN katika kilimo yafanikiwe.Mkuu wa Kitengo cha Ufuatiliaji wa Utekelezaji wa Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN) katika Wizara ya Kilimo, Bw. January...

 

11 years ago

GPL

MKUU WA WILAYA YA MAKETE AFUNGA WARSHA YA MAAFISA KILIMO WILAYA YA MAKETE‏

Mkuu wa wilaya ya Makete Mh. Josephine Matiro (katikati) akisisitiza jambo wakati akifunga mafunzo ya siku 3 kwa maafisa ugani wilayani hapo yaliyotolewa na TAHA hii leo, kushoto ni mwakilishi wa shirika la TAHA Bw. Manfred Bitala na kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Makete Bw. Iddi Nganya.  Miongoni mwa bwana shamba… ...

 

11 years ago

GPL

MKUU WA WILAYA YA MAKETE AFUNGA WARSHA YA MAAFISA KILIMO WILAYA YA MAKETE

Mkuu wa wilaya ya Makete Mh. Josephine Matiro (katikati) akisisitiza jambo wakati akifunga mafunzo ya siku 3 kwa maafisa ugani wilaya hapo yaliyotolewa na TAHA hii leo, kushoto ni mwakilishi wa shirika la TAHA Bw. Manfred Bitala na kulia ni mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Makete Bw. Iddi Nganya.…

 

10 years ago

Michuzi

MADEREVA WAFUNDWA NA TANROADS KUHUSU MZANI WA KISASA WA VIGWAZA

Eng. Japhet Kivuyo kutoka kitengo cha mzani wa Vigwaza mkoani Pwani akifafanua jambo kwa waandishi wa habari waliotembelea mzani huo jana jijini Dar es salaam.Taa ya mzani wa Vigwaza ikielekeza gari lililobeba mzigo mzito kupinda kushoto kwa ajili ya ukaguzi wa kina. Changamoto kubwa iliyopo madereva hawafati taratibu za taa na wengine hawazielewi.Kamera zilizounganishwa na Wakala wa Barabara nchini (TANROADS) eneo la mzani wa Vigwaza zikirekodi matukio mbalimbali yanayotokea katika eneo...

 

10 years ago

Michuzi

MAFUNDI SANIFU (TEMESA) WAFUNDWA KUHUSU USIMAMIZI NA UKAGUZI WA MAZINGIRA, MOROGORO

Mkurugenzi wa Idara ya Tathmini ya Athari ya Mazingira kutoka Baraza la Taifa la kuhifadhi Mazingira (NEMC), Eng. Ignance Mchallo akielezea kuhusu Sheria ya Mazingira ya mwaka 2004 kwa mafundi sanifu wa Wakala wa Ufundi na Umeme TEMESA. Mafundi Sanifu wakifanya tathmini na ukaguzi wa mazingira katika karakana ya TEMESA mjini Morogoro wakati wakiwa katika mafunzo ya tathmini, usimamizi na ukaguzi wa mazingira. Ofisa Manunuzi wa Wizara ya Ujenzi, Bw. Shukuru Sikunjema akipokea cheti kutoka kwa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Haki elimu yakosoa BRN Tanzania

Mpango wa BRN ulioanzishwa na serikali ya Tanzania kwa ajili ya kuleta matokeo ya haraka,haujafanikiwa katika sekta ya elimu,

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani