MADEREVA WAFUNDWA NA TANROADS KUHUSU MZANI WA KISASA WA VIGWAZA
Eng. Japhet Kivuyo kutoka kitengo cha mzani wa Vigwaza mkoani Pwani akifafanua jambo kwa waandishi wa habari waliotembelea mzani huo jana jijini Dar es salaam.
Taa ya mzani wa Vigwaza ikielekeza gari lililobeba mzigo mzito kupinda kushoto kwa ajili ya ukaguzi wa kina. Changamoto kubwa iliyopo madereva hawafati taratibu za taa na wengine hawazielewi.
Kamera zilizounganishwa na Wakala wa Barabara nchini (TANROADS) eneo la mzani wa Vigwaza zikirekodi matukio mbalimbali yanayotokea katika eneo...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-J_lhZxzJHV8/VQWlO_Kzr7I/AAAAAAAHKg8/WqtRtW2_Evw/s72-c/unnamed%2B(8).jpg)
JUST IN: MZANI WA KISASA WA VIGWAZA WAANZA KAZI RASMI
10 years ago
VijimamboMakamu wa Rais akagua mzani wa Kisasa wa Vigwaza na kufungua barabara ya Msoga — Msolwa km 10
10 years ago
MichuziMakamu wa Rais akagua mzani wa Kisasa wa Vigwaza na kufungua barabara ya Msoga - Msolwa km 10
10 years ago
Dewji Blog18 Feb
Dkt. Bilal azindua Barabara ya Km 10 ya Msoga-Msolwa na kagua mzani mpya wa kisasa wa Vigwaza
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Waziri wa Ujenzi, Dkt. John Magufuli, Mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete na Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mhandisi. Evarist Ndikilo, kwa pamoja wakifunua kitambaa kuzindua rasmi Barabara ya Kilometa 10 ya lami ya Msoga-Msolwa, wakati wa hafla fupi ya uzinduzi huo iliyofanyika jana Feb 17, 2015 Msoga. (Picha na OMR).
Makamu wa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipanda mti wa...
10 years ago
MichuziMakamu wa Rais Dkt.Bilal akagua mzani wa Kisasa wa Vigwaza na kufungua barabara ya Msoga — Msolwa km 10
10 years ago
Habarileo02 Apr
‘Jifunzeni mzani wa Vigwaza’
WAKALA wa Barabara Tanzania (TANROADS) mkoani Pwani, umewataka wasafirishaji kusoma na kuzingatia maelekezo wanayopewa ili kutosababisha foleni ya magari katika mzani mpya wa Vigwaza ambao umejengwa kisasa kwa lengo la kupunguza foleni.
10 years ago
Vijimambo18 Feb
UKAGUZI WA MZANI WA VIGWAZA NA UFUNGUZI WA BARABARA YA MSOGA-MSOLWA KM10.
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/AksxxSSfLm0/default.jpg)
11 years ago
Tanzania Daima04 Jan
Madereva walalamikia mzani Singida
MADEREVA wa magari makubwa ya mizigo na abiria wamelalamikia mzani uliopo mjini Singida katika barabara kuu ya kutoka Mwanza kuelekea jijini Dar es Salaam kwa madai kuwa ni mbovu. Wakizungumza...