UKAGUZI WA MZANI WA VIGWAZA NA UFUNGUZI WA BARABARA YA MSOGA-MSOLWA KM10.
Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na baadhi ya viongozi mbalimbali waliohudhuria kwenye ukaguzi wa mzani wa Vigwaza uliofanywa na Makamu wa Rais Dkt. Mohammed Gharib Bilal. Ukaguzi huo uliambatana na ufunguzi wa barabara ya Msoga-Msolwa yenye urefu wa Km 10 Chalinze mkoani Pwani.
Makamu wa Rais Dkt. Mohammed Gharib Bilal akisalimiana viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili kwenye ukaguzi wa mzani wa Vigwaza. Wa tatu kulia ni Waziri ya Ujenzi Dkt. Magufuli akitoa...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboMakamu wa Rais akagua mzani wa Kisasa wa Vigwaza na kufungua barabara ya Msoga — Msolwa km 10
10 years ago
MichuziMakamu wa Rais akagua mzani wa Kisasa wa Vigwaza na kufungua barabara ya Msoga - Msolwa km 10
10 years ago
Dewji Blog18 Feb
Dkt. Bilal azindua Barabara ya Km 10 ya Msoga-Msolwa na kagua mzani mpya wa kisasa wa Vigwaza
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Waziri wa Ujenzi, Dkt. John Magufuli, Mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete na Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mhandisi. Evarist Ndikilo, kwa pamoja wakifunua kitambaa kuzindua rasmi Barabara ya Kilometa 10 ya lami ya Msoga-Msolwa, wakati wa hafla fupi ya uzinduzi huo iliyofanyika jana Feb 17, 2015 Msoga. (Picha na OMR).
Makamu wa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipanda mti wa...
10 years ago
MichuziMakamu wa Rais Dkt.Bilal akagua mzani wa Kisasa wa Vigwaza na kufungua barabara ya Msoga — Msolwa km 10
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-eLBiHqwzIfM/VORhenvFxpI/AAAAAAADZxw/C1e7UvhG8nY/s72-c/8.jpg)
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AZINDUA BARABARA YA KM 10 YA MSOGA-MSOLWA
![](http://4.bp.blogspot.com/-eLBiHqwzIfM/VORhenvFxpI/AAAAAAADZxw/C1e7UvhG8nY/s1600/8.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-pHmqkjI_2qU/VORhfGpWpLI/AAAAAAADZx4/2P2emOhsNN8/s1600/9.jpg)
10 years ago
Habarileo02 Apr
‘Jifunzeni mzani wa Vigwaza’
WAKALA wa Barabara Tanzania (TANROADS) mkoani Pwani, umewataka wasafirishaji kusoma na kuzingatia maelekezo wanayopewa ili kutosababisha foleni ya magari katika mzani mpya wa Vigwaza ambao umejengwa kisasa kwa lengo la kupunguza foleni.
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-J_lhZxzJHV8/VQWlO_Kzr7I/AAAAAAAHKg8/WqtRtW2_Evw/s72-c/unnamed%2B(8).jpg)
JUST IN: MZANI WA KISASA WA VIGWAZA WAANZA KAZI RASMI
10 years ago
MichuziMADEREVA WAFUNDWA NA TANROADS KUHUSU MZANI WA KISASA WA VIGWAZA
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/AksxxSSfLm0/default.jpg)