Dkt. Bilal azindua Barabara ya Km 10 ya Msoga-Msolwa na kagua mzani mpya wa kisasa wa Vigwaza
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Waziri wa Ujenzi, Dkt. John Magufuli, Mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete na Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mhandisi. Evarist Ndikilo, kwa pamoja wakifunua kitambaa kuzindua rasmi Barabara ya Kilometa 10 ya lami ya Msoga-Msolwa, wakati wa hafla fupi ya uzinduzi huo iliyofanyika jana Feb 17, 2015 Msoga. (Picha na OMR).
Makamu wa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipanda mti wa...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziMakamu wa Rais Dkt.Bilal akagua mzani wa Kisasa wa Vigwaza na kufungua barabara ya Msoga — Msolwa km 10
10 years ago
VijimamboMakamu wa Rais akagua mzani wa Kisasa wa Vigwaza na kufungua barabara ya Msoga — Msolwa km 10
10 years ago
MichuziMakamu wa Rais akagua mzani wa Kisasa wa Vigwaza na kufungua barabara ya Msoga - Msolwa km 10
10 years ago
Vijimambo18 Feb
UKAGUZI WA MZANI WA VIGWAZA NA UFUNGUZI WA BARABARA YA MSOGA-MSOLWA KM10.
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-eLBiHqwzIfM/VORhenvFxpI/AAAAAAADZxw/C1e7UvhG8nY/s72-c/8.jpg)
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AZINDUA BARABARA YA KM 10 YA MSOGA-MSOLWA
![](http://4.bp.blogspot.com/-eLBiHqwzIfM/VORhenvFxpI/AAAAAAADZxw/C1e7UvhG8nY/s1600/8.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-pHmqkjI_2qU/VORhfGpWpLI/AAAAAAADZx4/2P2emOhsNN8/s1600/9.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/AksxxSSfLm0/default.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-J_lhZxzJHV8/VQWlO_Kzr7I/AAAAAAAHKg8/WqtRtW2_Evw/s72-c/unnamed%2B(8).jpg)
JUST IN: MZANI WA KISASA WA VIGWAZA WAANZA KAZI RASMI
Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara nchini TANROADS Eng. Patrick Mfugale ametangaza kuanza rasmi kwa majaribio ya kupima magari kwenye Mzani wa Kisasa wa Vigwaza mkoani Pwani ambapo majaribio hayo yataendelea hadi siku ya tarehe 17/03/2015. Kwa mujibu wa Eng. Mfugale, mara baada ya majaribio kukamilika siku hiyo kituo cha Mzani wa Kibaha katafungwa rasmi na magari yataendelea kupimwa kwenye kituo kipya cha Vigwaza ambacho kina uwezo wa kupima gari moja likiwa linatembea kwa muda usiozidi...
10 years ago
MichuziMADEREVA WAFUNDWA NA TANROADS KUHUSU MZANI WA KISASA WA VIGWAZA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/OcxvxG4wHxZTZ8ThfrcIJ5wY5mLjHmvb9N9WlUcRKj*bBRo-T6XF*Ltk28xpJztiPeAbO9oRzeHKOkom4ZIg5puviqYIHQuh/MAGU1.jpg?width=650)
MAGUFULI AKAGUA MIZANI YA KISASA YA VIGWAZA MKOANI PWANI PAMOJA NA UJENZI WA BARABARA YA KIBAMBA-KWEMBE-MAKONDEKO
Mhandisi kutoka Wakala wa Barabara Nchini TANROADS Ndugu Kileo akimuonesha Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli jinsi Mzani mpya wa Vigwaza utakavyokuwa ukipima magari wakati yakitembea tofauti na mizani mingine nchini.
Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia kazi ya ujenzi inayofanyika katika Chuo Kikuu cha Muhimbili kilichopo katika eneo la Mloganzila Kibamba nje kidogo ya Jiji...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania