Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AZINDUA BARABARA YA KM 10 YA MSOGA-MSOLWA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Waziri wa Ujenzi, Dkt. John Magufuli, Mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete na Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mhandisi. Evarist Ndikilo, kwa pamoja wakifunua kitambaa kuzindua rasmi Barabara ya Kilometa 10 ya lami ya Msoga-Msolwa, wakati wa hafla fupi ya uzinduzi huo iliyofanyika jana Feb 17, 2015 MsogaMakamu wa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipanda mti wa kumbukumbu baada ya...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Makamu wa Rais Dkt.Bilal akagua mzani wa Kisasa wa Vigwaza na kufungua barabara ya Msoga — Msolwa km 10

Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli kushoto akitoa maelezo kwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Mohamed Gharib Bilal kuhusu Mzani wa kisasa wa Vigwaza uliopo Mkoani Pwani ambao umekamilika kwa asilimia 99.8.Mzani wa Kisasa wa Vigwaza kama unavyoonekana. Mzani huu utapima magari kwa haraka zaidi kwa muda wa sekunde 30 kwa kila gari tofauti na mizani ya sasa inayotumia dakika moja na nusu mpaka mbili.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,...

 

10 years ago

Dewji Blog

Dkt. Bilal azindua Barabara ya Km 10 ya Msoga-Msolwa na kagua mzani mpya wa kisasa wa Vigwaza

8

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Waziri wa Ujenzi, Dkt. John Magufuli, Mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete na Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mhandisi. Evarist Ndikilo, kwa pamoja wakifunua kitambaa kuzindua rasmi Barabara ya Kilometa 10 ya lami ya Msoga-Msolwa, wakati wa hafla fupi ya uzinduzi huo iliyofanyika jana Feb 17, 2015 Msoga. (Picha na OMR).

9

Makamu wa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipanda mti wa...

 

10 years ago

Vijimambo

Makamu wa Rais akagua mzani wa Kisasa wa Vigwaza na kufungua barabara ya Msoga — Msolwa km 10

Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli kushoto akitoa maelezo kwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Mohamed Gharib Bilal kuhusu Mzani wa kisasa wa Vigwaza uliopo Mkoani Pwani ambao umekamilika kwa asilimia 99.8.Mzani wa Kisasa wa Vigwaza kama unavyoonekana. Mzani huu utapima magari kwa haraka zaidi kwa muda wa sekunde 30 kwa kila gari tofauti na mizani ya sasa inayotumia dakika moja na nusu mpaka mbili.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,...

 

10 years ago

Michuzi

Makamu wa Rais akagua mzani wa Kisasa wa Vigwaza na kufungua barabara ya Msoga - Msolwa km 10

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Mohamed Gharib Bilal akiwa na Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli pamoja na Mbunge wa Chalinze Ridhiwani Kikwete, akikata utepe kuashiria ufunguzi wa barabara ya Msoga-Msolwa km 10 iliyokamilika kujengwa kwa kiwango cha lami.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Mohamed Gharib Bilal akihutubia wananchi katika Mzani wa Vigwaza mara baada ya kuukagua.Mzani wa Kisasa wa Vigwaza kama unavyoonekana....

 

10 years ago

Dewji Blog

Makamu wa Rais Dkt. Bilal awajulia hali wananchi walioangukiwa na nyumba zao kwa upepo na mvua kubwa Msoga

4

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiongozana na Mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete (wa pili kulia), Waziri wa Ujenzi, Dkt. John Magufuli na baadhi ya Viongozi, wakati alipowasili Kitongoji cha Mnazi Mmoja, Msoga jana kwa ajili ya kuwafariji wananchi waliokubwa na maafa kwa kuangukiwa na nyumba zao kutokana na Mvua kubwa iliyoambatana na upepo mkali iliyonyesha juzi. Katika tukio hilo jumla ya watu 12 walijeruhiwa na jumla ya nyumba 128...

 

9 years ago

Dewji Blog

Makamu wa Rais Dkt. Bilal amwakilisha Rais Jakaya Kikwete, azindua HALOTEL TANZANIA

01

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal (katikati) akizungumza jambo na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda (kushoto) na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Mecky Sadick, wakati walipokuwa kwenye Hafla ya uzinduzi wa Mtandao mpya wa simu za Halotel Tanzania, iliyofanyika kwenye Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro jijini Dar es Salaam, jana usiku Okt 15, 2015. Picha na OMR

1

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na...

 

10 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL, AZINDUA MPANGO WA PILA 1 JIJINI DAR

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Ghariba Bilal akisalimiana na Ofisa mtendaji Mkuu wa kampuni ya Property International Abdulhalim Zahran, alipowasili Hoteli ya Hyatt Regency Dar es salaam kwa ajili ya kuzindua rasmi mpango wa PILA-1 “JENGA KWA MPANGO EPUKA MAKAAZI HOLELA” na Jarida linalotolewa kila wiki Property International Magazine. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Ghariba Bilal akihutubia Viongozi na watendaji wa...

 

11 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AZINDUA MFUKO WA UBUNIFU NA MAENDELEO YA WATU (HDIF)

  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akikata utepe kuzindua rasmi Mfuko wa Ubunifu na Maendeleo ya Watu, unaosimamiwa na Tume ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) wakati wa hafla hiyo iliyofanyika jijini Dar es Salaam, leo  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati wa hafla ya uzinduzi wa Mfuko wa Ubunifu na Maendeleo ya Watu, unaosimamiwa na Tume ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) wakati wa...

 

11 years ago

Dewji Blog

Makamu wa Rais Dkt. Bilal azindua mfuko wa elimu wa halmashauri ya mji wa Kibaha

1

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akivishwa Skafu na vijana wa Scout wa mji wa Kibaha, wakati alipowasili kwenye uwanja wa Mailimoja Kobaha, kwa ajili kuzindua Mfuko wa Elimu wa Halmashauri ya Mji wa Kibaha Mkoa wa Pwani, leo, Mei 31, 2014. (Picha na OMR).

2

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na baadhi ya viongozi wakati akiwasili uwanjani hapo.

3

 Baadhi ya wanafunzi wa shule mbalimbali za...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani