Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Walimu 18,000 wafundwa mtaala mpya la I, II

JUMLA ya walimu wa shule ya msingi 18,000 kutoka mikoa 14 nchini, leo wanaanza mafunzo yenye kulenga kuwajengea uwezo wa kufundisha Mtaala mpya wa Elimu ya Msingi Darasa la I na la II.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Walimu 18,000 kupigwamsasa Mtaala mpya wa Elimu

Jumanne-SaginiNa Debora Sanja, Dodoma
JUMLA ya walimu 18,000 wa shule za msingi kutoka mikoa 14 nchini wanatarajiwa kupatiwa mafunzo yenye lengo la kuwajengea uwezo wa kuweza kufundisha Mtaala mpya wa Elimu ya Msingi Darasa la kwanza na pili .
Mafunzo hayo yatatolewa na Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI) kwa kushirikiana na Taasisi ya Elimu Tanzania (TET).
Kwa mujibu wa Katibu Mkuu wa TAMISEMI, Jumanne Sagini, alisema mitaala ya mafunzo hayo imeandaliwa na TET kutokana na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Walimu Tabora wafundwa

WAHITIMU 175 wa Chuo cha Ualimu Tabora wameaswa kutumia mafunzo ya ualimu waliyopata kwa uadilifu na kamwe wasije kuwa mzigo kwa serikali na jamii. Meneja wa Mfuko wa PSPF Mkoa...

 

10 years ago

Habarileo

Walimu wafundwa kwenda na kasi ya BRN

OFISI ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), itaendelea kuimarisha mafunzo kwa walimu ili wafikie viwango vya kwenda na kasi ya Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN) inayotekelezwa katika Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi.

 

5 years ago

AnandTech

Folding@Home Reaches Exascale: 1,500,000,000,000,000,000 Operations Per Second for COVID-19

Folding@Home Reaches Exascale: 1,500,000,000,000,000,000 Operations Per Second for COVID-19  AnandTechView Full coverage on Google News

 

10 years ago

GPL

SERIKALI YATANGAZA AJIRA ZA WALIMU 30,000

Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Jumanne Sagini (kulia) akizungumza jambo. Dar es Salaam. Serikali imetangaza ajira mpya za walimu 31,056 wanaotakiwa kuanza kazi kuanzia Mei Mosi, mwaka huu.
Mbali na walimu, pia imetangaza ajira kwa mafundi sanifu wa maabara 10,625 ambao pia wataanza kazi sambamba na walimu hao.Akizungumza jana, Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa...

 

10 years ago

Mwananchi

Serikali kuajiri walimu 35,000 sekondari

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda amesema Serikali imepanga kuajiri walimu zaidi ya 35,000 kwa ajili ya shule za sekondari ili kukabiliana na tatizo la uhaba wa walimu nchini.

 

11 years ago

Habarileo

Walimu kumwagiwa ajira 26,000 Januari

Naibu Waziri wa Nchi, Tamisemi, anayeshughulikia Elimu, Kassim MajaliwaSERIKALI imetangaza kutoa ajira mpya 26,000 za walimu kuanzia Januari mwakani, ikiwa ni mpango endelevu wa kupunguza uhaba wa walimu katika shule za msingi na sekondari nchini.

 

10 years ago

Habarileo

Walimu 35,000 kuajiriwa mwaka huu

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda.WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda, amesema Serikali imepanga kuajiri walimu zaidi ya 35,000 kwa ajili ya shule za sekondari, ili kukabiliana na tatizo la uhaba wa walimu nchini.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani