Walimu 18,000 kupigwamsasa Mtaala mpya wa Elimu
Na Debora Sanja, Dodoma
JUMLA ya walimu 18,000 wa shule za msingi kutoka mikoa 14 nchini wanatarajiwa kupatiwa mafunzo yenye lengo la kuwajengea uwezo wa kuweza kufundisha Mtaala mpya wa Elimu ya Msingi Darasa la kwanza na pili .
Mafunzo hayo yatatolewa na Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI) kwa kushirikiana na Taasisi ya Elimu Tanzania (TET).
Kwa mujibu wa Katibu Mkuu wa TAMISEMI, Jumanne Sagini, alisema mitaala ya mafunzo hayo imeandaliwa na TET kutokana na...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo13 Apr
Walimu 18,000 wafundwa mtaala mpya la I, II
JUMLA ya walimu wa shule ya msingi 18,000 kutoka mikoa 14 nchini, leo wanaanza mafunzo yenye kulenga kuwajengea uwezo wa kufundisha Mtaala mpya wa Elimu ya Msingi Darasa la I na la II.
10 years ago
Michuzi12 Apr
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-kdGVxZ2sC74/XkxEfiZS6AI/AAAAAAALeGc/4VbDWTkmuhEeUyHfzWiDLzYBPaxkagCpQCLcBGAsYHQ/s72-c/IMG_75271AA-1024x682.jpg)
OFISA ELIMU NYASA AWACHARUKIA WALIMU WAKUU NA MAAFISA ELIMU KATA
![](https://1.bp.blogspot.com/-kdGVxZ2sC74/XkxEfiZS6AI/AAAAAAALeGc/4VbDWTkmuhEeUyHfzWiDLzYBPaxkagCpQCLcBGAsYHQ/s640/IMG_75271AA-1024x682.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/02/IMG_75321AA-1024x682.jpg)
Ofisa Elimu msingi Wilaya ya Nyasa Bw. Said Kalima akiongea na Walimu wakuu na Maafisa Elimu kata wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa jana, Katika ukumbi wa Kasimu Majaliwa ulioko katika shule ya Sekondari Mbamba-bay wilayani hapa.Amewaagiza walimu hao kufundisha kwa bidii na kutomvumilia mwalimu mzembe na kupandisha ufaulu ufikie asilimia mia moja kwa Wilaya ya nyasa,kuanzia mwaka huu 2020 na kuendelea.
……………………………………………………………………………………….
Ofisa Elimu Msingi wa Wilaya ya Nyasa Said Kalima,...
5 years ago
AnandTech26 Mar
Folding@Home Reaches Exascale: 1,500,000,000,000,000,000 Operations Per Second for COVID-19
10 years ago
Habarileo21 Feb
Walimu 35,000 kuajiriwa mwaka huu
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda, amesema Serikali imepanga kuajiri walimu zaidi ya 35,000 kwa ajili ya shule za sekondari, ili kukabiliana na tatizo la uhaba wa walimu nchini.
11 years ago
Habarileo23 Dec
Walimu kumwagiwa ajira 26,000 Januari
SERIKALI imetangaza kutoa ajira mpya 26,000 za walimu kuanzia Januari mwakani, ikiwa ni mpango endelevu wa kupunguza uhaba wa walimu katika shule za msingi na sekondari nchini.
10 years ago
Mwananchi21 Feb
Serikali kuajiri walimu 35,000 sekondari
10 years ago
GPLSERIKALI YATANGAZA AJIRA ZA WALIMU 30,000
9 years ago
BBCSwahili02 Oct
Walimu 245,000 kukosa mshahara Kenya