Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SEMINA YA WATENDAJI WA BRN YAFUNGULIWA LEO

Naibu Mtendaji Mkuu, Ofisi ya Rais-Usimamizi wa Utekelezaji wa Miradi (Presidents Delivery Bureau - PDB) inayosimamia Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (Big Results Now! - BRN), Bw. Peniel Lyimo, akifungua semina ya siku nne, ya tathmini ya Utekelezaji wa BRN kwa Mwaka wa kwanza; inayohusisha watendaji kutoka wizara na sekta mbalimbali zinazotekeleza BRN. Semina hiyo imefunguliwa leo Jumatatu jijini Dar es Salaam. Sehemu ya washiriki wakifuatilia mada katika semina hiyo ya tathmini...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

SEMINA YA BRN KWA WAKURUGENZI WA WIZARA NA TAASISI YAFANYIKA LEO JIJINI DAR

Mtendaji Mkuu wa Ofisi ya Rais-Usimamizi wa Utekelezaji wa Miradi (PDB) inayosimamia Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN), Omari Issa akizungumza wakati wa kikao kilichowakutanisha watendaji waandamizi wa wizara na taasisi mbalimbali zinazotekeleza Mpango huo.Mkurugenzi wa Ukusanyaji Mapato na Sekta za Kiuchumi katika PDB, Bw. Lawrence Mafuru akizungumza wakati wa semina ya kutathmini utekelezaji wa BRN iliyohusisha watendaji waandamizi wa wizara na taasisi mbalimbali zinazohusika na...

 

11 years ago

Habarileo

Walimu walalamikia posho ya semina BRN

WALIMU wa zaidi ya 100 wa shule za msingi saba za Kata ya Buigiri wilayani Chamwino wamelalamikia posho ya ushiriki katika semina ya Mabadiliko Makubwa Sasa (BRN). Semina hiyo iliandaliwa kwa ajili ya kuleta uelewa kwa walimu hao.

 

10 years ago

Michuzi

BENKI YA CRDB YAFANYA SEMINA KWA WATENDAJI WA HALMASHAURI ZA NYANDA ZA JUU KUSINI

Waziri wa Afrika Mashariki Dk. Harrison Mwakyembe ambaye alikuwa amgeni rasmi katika semina kwa viongozi wa Halmashauri za Kanda za Nyanda za Juu Kusini  akifungua rasmi semina hiyo.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akitoa hotuba yake wakati wa semina kwa viongozi wa Halmashauri za Kanda za Nyanda za Juu Kusini.
Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Beki ya CRDB, Tully Mwambapa akimkaribisha Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei kutoa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Tunisia:Makavazi yafunguliwa leo

Makavazi ya Bardo nchini Tunisia, yanafunguliwa tena leo Jumanne, juma moja pekee baada ya magaidi kushambulia watalii wa kigeni na kuwauwa 20 kati yao

 

10 years ago

Michuzi

Balozi Seif Ali Iddi afunga Semina ya Siku Nne ya Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi pamoja na watendaji Wakuu wa Serikali

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiifunga Semina ya Siku Nne ya Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi pamoja na watendaji Wakuu wa Serikali juu ya uchambuzi wa Bajeti na Masuala ya Uchumi iliyokuwa ikifanyika katika ukumbi wa Z. Ocean Hoteli Chuwini Wilaya ya Magharibi “A”. Baadhi ya Wajumbne wa Baraza la Wawakilishi wakifuatilia Hotub a ya Balozi Seif hayupo pichani wakati akiifunga semina ya uchamguzi wa Bajeti na masuala yua Uchumi.
BOFYA HAPA KWA PICHA NA HABARI...

 

10 years ago

Michuzi

WARSHA YA MABADILIKO YA TABIA YA INCHI YAFUNGULIWA MJINI BAGAMOYO LEO

  Mgeni Rasmi,  Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bwana Sazi Salula akifungua Warsha kuhusu mipango ya kuhimili mabadiliko ya Tabia Nchi iliyofanyika mjini Bagamoyo. Warsha hiyo imeandaliwa na Ofisi ya Makamu na kushirikisha Wadau kutoka Taasis mbalimbali za Serikali na Sekta Binafsi. Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Mazingira toka Ofisi ya Makamu wa Rais Bwana Richard Muyungi akimkaribisha Mgeni Rasmi kufungua Warsha hiyo.   Baadhi ya Wadau waliohudhuria Semina hiyo wakimsikiliza kwa...

 

10 years ago

Michuzi

MASHINDANO YA SAFARI POOL NGAZI YA MKOA YAFUNGULIWA LEO MKOANI IRINGA

Afisa Utamaduni wa Manispaa ya Iringa, Carlous Mbinda akizungumza kwenye hafla ya kukabidhi kiti cha kubebea wagonjwa kilichotolewa na kilichotolewa na Chama cha mchezo wa Pool Mkoa wa Iringa(IPA) katika hosptali Halimashauri ya Manispaa ya Iringa ikiwa ni sehemu ya uzinduzi wa mashindano ya mchezo wa Pool ngazi ya Mkoa yaliyoanza jana mkoani humoyajulikanayo kama “Safari Lager Pool Competition 2014” ngazi ya Mkoa. Mganga mfawidhi wa Hospitali ya Halimashauri ya Wilaya ya Iringa,...

 

10 years ago

Michuzi

Mashindano ya Safari Pool Taifa yafunguliwa rasmi mjini Moshi,Kilimanjaro leo

Katiba Tawala wa Wilaya ya Moshi mjini,Remida Ibrahim(wa pili kulia) akicheza kuashilia uzinduzi wa fainali za mashindano ya Pool Taifa yajulikanayo kama “Safari National Pool Competition 2014” yanayofanyika katika Ukumbi wa Kuringe Mkoani Kilimanjaro.Kutoka kushoto ni Katibu wa chama cha Pool Taifa(TAPA), Amos Kafwinga,Meneja wa Bia ya Safari Lager, Oscar Shelukindo na Makamu Mwenyekiti wa TAPA, Fred Mushi. Baadhi ya Wachezaji wa Pool wakiwa na zawadi mbalimbali wakielekea Hospitali ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani