Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nani Anasema Ujamaa Ulishindikana?

Na Daniel Mbega KAMA kuna kitu ambacho Mwalimu Nyerere alikiabudu – mbali ya Mungu kupitia katika imani yake ya Kikatoliki – ni Siasa ya Ujamaa na Kujitegemea iliyozaliwa ndani ya Azimio la Arusha, ambayo aliendelea kuihubiri na kuitetea kwa nguvu zake zote hadi kikomo cha uhai wake. Kila alikokwenda daima alitembea na Biblia pamoja na Azimio la Arusha, akiamini kwamba misingi ambayo TANU iliiweka kwenye azimio hilo Februari 5, 1967 pale Arusha ilikuwa mizuri na ingeendelea kuwa mizuri ikiwa...

KwanzaJamii

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

IYOBO: NANI ANASEMA AUNT MZEE?

Imelda mtema Kafunguka! Dansa wa mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ ambaye ni mwandani wa staa wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel Grayson,   amewatolea uvivu baadhi ya watu wanaomsema Aunt kuwa ni mzee kwa kuwa amempita umri, jambo ambalo hakubaliani nalo. Dansa wa mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ Moses Iyobo akiwa na mpenzi wake Aunt Ezekiel Grayson Akizungumza na mwanahabari wetu, Iyobo...

 

10 years ago

Michuzi

nani anasema TBC HAWAPO ONLINE?

BOFYA HAPA http://www.tbc.go.tz/

 

11 years ago

Mwananchi

Nani anasema Sh300,000 kwa siku hazitoshi?

Hata kabla ya kupita wiki moja tangu Bunge Maalumu la Katiba kuanza rasmi shughuli zake, wajumbe wake wameendelea na vituko kiasi cha kutupa wasiwasi kama kweli wengi wa wajumbe hao wanastahili kutuwakilisha katika chombo hicho kufanya kazi ya kihistoria ya kutunga Katiba Mpya.

 

9 years ago

IPPmedia

To revive 'some' principles of Ujamaa


IPPmedia
To revive 'some' principles of Ujamaa
IPPmedia
Alliance for Change and Transparency (ACT-Wazalendo) presidential candidate Anna Mghwira stresses a point during an exclusive interview with The Guardian in Dar es Salaam yesterday. Alliance for Change and Transparency (ACT-Wazalendo) ...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Eti CCM kuboresha ujamaa na kujitegemea!

USIFIKICHE macho yako kudhani unayosoma si sahihi. Huna sababu ya kutilia shaka kichwa cha makala haya kwani ni maelezo ya Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (Bara), Phillip Mangula kwa...

 

11 years ago

Mwananchi

CCM kuboresha misingi ya Ujamaa na kujitegemea

>Chama cha Mapinduzi (CCM), kimesema kitaendelea kuboresha misingi ya Ujamaa na Kujitegemea ikiwa ni mwendelezo wa jitihada zake za kuleta maendeleo na usawa nchini.

 

10 years ago

TheCitizen

A CHAT FROM LONDON: A peek at an early 1960s Ujamaa village in Ruvuma

>There was a young Tanzanian speaking articulately and attracting the attention at the Owl Bookshop, London.  Soft spoken and well dressed, the young student wore a light grey coat with immaculate trousers.  When Mwalimu Nyerere retired in 1985, the gentleman would have been a toddler. A baby.

 

10 years ago

Vijimambo

KWA WALE TULIEKULIA VIJIJI VYA UJAMAA HIZI NDIYO ZETU

Kwani hata baiskeli kwetu ilikuwa ni shida kuweza kuruhusiwa kuendesha basi tulijiliwaza kupitia humu kiroho safi.

 

10 years ago

Mwananchi

NANI NI NANI URAIS: Peter Mziray, Rais Mtendaji APPT-Maendeleo

Historia yake Peter Mziray ni Rais Mtendaji wa Chama cha APPT Maendeleo, Mwenyekiti wa Baraza la Vyama vya Siasa na kitaaluma ni mtaalamu wa mifugo na uchumi wa kilimo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani