Eti CCM kuboresha ujamaa na kujitegemea!
USIFIKICHE macho yako kudhani unayosoma si sahihi. Huna sababu ya kutilia shaka kichwa cha makala haya kwani ni maelezo ya Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (Bara), Phillip Mangula kwa...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi25 Jun
CCM kuboresha misingi ya Ujamaa na kujitegemea
10 years ago
Bongo Movies19 Sep
Uwiii! Eti, eti, Kajala anatumia nafasi ya kuonekana kwenye TV "kuvutia mabwana", Nora huyo karopoka
Muigizaji maarufu nchini aliyetamba mwanzoni mwa miaka ya 2000 Nora Nuru Nassoro aliyepotea kwa muda, ameibukia kwenye Runinga ya EATV na kumbutua staa mwenzake, Kajala Masanja kwamba, anatumia nafasi ya kuonekana kwenye filamu kujipatia wanaume kama si mabwana!
Akizungumza kupitia Kipindi cha Mkasi kinachoratibiwa na Mtangazaji Salama Jabir, Jumatatu iliyopita, Nora alisema fani ya uigizaji imevamiwa kwa sasa kwani kuna watu ambao wanaingia kwenye gemu ili wauze sura na kuonekana na...
9 years ago
IPPmedia04 Sep
To revive 'some' principles of Ujamaa
IPPmedia
IPPmedia
Alliance for Change and Transparency (ACT-Wazalendo) presidential candidate Anna Mghwira stresses a point during an exclusive interview with The Guardian in Dar es Salaam yesterday. Alliance for Change and Transparency (ACT-Wazalendo) ...
11 years ago
KwanzaJamii06 Aug
Nani Anasema Ujamaa Ulishindikana?
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-X634UbgI2ow/VD5EtyIg6RI/AAAAAAAGqk0/-cGDN7ph7XY/s72-c/ABG%2B1.jpg)
AFRICAN BARRICK YASAINI MKATABA WA KUENDELEZA NA KUBORESHA CHUO CHA MUHIMBILI ILI KUBORESHA TAALUMA YA UDAKTARI
Ushirikiano huu utawezesha wanafunzi wa idara hiyo kupata nafasi za kwenda kufanya masomo kwa vitendo yani (field practise) kwenye ofisi na migodi ya kampuni ya ABG, pia pesa hizo zitatumika kwenye kukarabati majendo na utoaji wa vifaa...
10 years ago
TheCitizen26 Dec
A CHAT FROM LONDON: A peek at an early 1960s Ujamaa village in Ruvuma
10 years ago
Habarileo05 Jan
RC ashauri waliopitia mafunzo JKT kujitegemea
MKUU wa mkoa Kigoma Issa Machibya amewataka walimu watarajiwa waliomaliza mafunzo katika kambi ya JKT Bulombora mkoani Kigoma kutumia mafunzo ya kujitegemea waliyopata wakati wa mafunzo kuanzisha miradi ya ujasiriamali ya kilimo ili kuongeza hali zao za kipato na kuimarisha uchumi wa familia zao.
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-TmP4RJaan5Q/VidK-ng9zNI/AAAAAAAIBcg/9aOtJ_MbLcA/s72-c/IMG_0403.jpg)
WAJENGEENI VIJANA UWEZO WA KUJITEGEMEA-MASAJU
![](http://4.bp.blogspot.com/-TmP4RJaan5Q/VidK-ng9zNI/AAAAAAAIBcg/9aOtJ_MbLcA/s640/IMG_0403.jpg)
Na Mwandishi wetu, Dar es SalaamWALIMU na viongozi wa shule mbalimbali nchini wamekumbushwa kutoa elimu itakayowajengea uwezo wanafunzi kujitegemea mbali na elimu ya nadharia na vitendo darasani pekee.
Rai hiyo imetolewa na Mwanasheria Mkuu wa serikali, Bw. George Masaju alipokuwa akiongea wakati wa mahafali ya 8 na maadhimisho ya miaka 10 ya shule ya Patrick Mission High School jijini Dar es Salaam hivi karibuni.
Bw....
10 years ago
VijimamboKWA WALE TULIEKULIA VIJIJI VYA UJAMAA HIZI NDIYO ZETU