Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


USTAA UMEWASHINDA,WAPO KAMA HAWAPO!!!

Na Hamida Hassan
Wapo mabinti ambao waliingia kwenye fani ya uigizaji kwa mbwembwe, wakawika sana kwenye vyombo vya habari na kuunyemelea ustaa lakini ghafla wakayeyuka.Walipoibukia kwenye fani walionekana watakuwa tishio na kuwafunika wale wakongwe waliokuwa wakionekana wao ndiyo wao. Sasa hivi hawajulikani wako wapi na wanafanya nini. Skaina Ally Skaina Ally
Huyu alikuwa tishio sana miaka ya nyuma. Umbo lake tata, uzuri...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Soul for Real: Wapo kama hawapo

Wapo kama hawapo. Ndiyo neno rahisi unaloweza kulielezea kundi hili la ndugu wanne likijulikana kama Soul for Real, kabla ya kuboresha jina na kuwa Soul IV Real, lakini maana ikibaki palepale.

 

10 years ago

Bongo5

Picha/Video: Hakuna cha ustaa, muone Rihanna akikaguliwa airport kama raia wa kawaida

Unaweza kudhani mtu maarufu kama Rihanna hupita kwenye uwanja wa ndege bila kufanyiwa ukaguzi kama watu wengi, lakini sivyo. MailOnline imepata picha ya muimbaji huyo akipita kwenye kaunta za ukaguzi alipokuwa akisafiri kutoka Miami. Kama kawaida alitakiwa kuvua vidani vya thamani alivyokuwa amevaa pamoja na viatu vyake.

 

9 years ago

Mwananchi

UCHAMBUZI LIGI KUU BARA : Mtibwa; wapo wapo tu, wanaishi kwa mazoea

Msimu mwingine kwa Mtibwa Sugar. Ni rahisi kutabiri kwamba maisha yao yataendelea kuwa vile vile kama ilivyokuwa kwa msimu uliopita. Wapo katika Ligi kwa misimu 18 mfululizo tangu walipopanda Ligi Kuu mwaka 1996.

 

10 years ago

Michuzi

nani anasema TBC HAWAPO ONLINE?

BOFYA HAPA http://www.tbc.go.tz/

 

11 years ago

Michuzi

mafunzo ya siku tano (hawapo pichani) ya namna ya kukabiliana na makosa ya ukatili wa kijinsia na watoto

 Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Mery Nzuki, akitoa neno mbele ya washiriki wa semina ya mafunzo ya siku tano (hawapo pichani) ya namna ya kukabiliana na makosa ya ukatili wa kijinsia na watoto mafunzo yanayotolewa kwa maofisa na askari wa Jeshi la Polisi kutoka katika mkoa wa kipolisi wa Kinondoni jijini Dar es salaam ambapo mafunzo hayo yakiwa na lengo la kuwajengea uwezo na kuongeza ufanisi katika kazi. Baadhi ya washiriki wa semina ya mafunzo ya siku tano ya namna ya...

 

11 years ago

GPL

CHID BENZ NA USTAA PORI

NI bwana mdogo, lakini ana mwili mkakamavu wenye kumuonyesha kama kijana mwenye ubavu. Ana sauti nzuri ya kukwaruza akiwa nyuma ya Mic, ambayo kwa mashabiki wa Hip Hop za Kimarekani, wanaweza kumlinganisha na rapa Ja Rule! Namzungumzia Rashid Makwiro, maarufu kama Chid Benz, mtoto wa Ilala Maflet, aliyeingia katika anga la Bongo Fleva miaka michache iliyopita na kuteka mashabiki wengi kutokana na uwezo wake mkubwa wa kurap....

 

11 years ago

GPL

CATHY: USTAA KWENYE NDOA NI TATIZO

Na Rhoda Josiah MSANII maarufu katika tasnia ya filamu Bongo, Sabrina Rupia ’Cathy’ amewataka wasanii wenzake kutofanya ustaa kwenye ndoa zao kwani ndiyo chanzo cha kuvunjika kwa ndoa nyingi. Msanii maarufu katika tasnia ya filamu Bongo, Sabrina Rupia ’Cathy’. Akipiga stori na paparazi wetu, Cathy alisema kabla ya kuolewa lazima uwe na utayari wa kuolewa na kujuana kwa undani zaidi na mwenzio kabla...

 

11 years ago

GPL

NATASHA: USTAA KWENYE NDOA NI TATIZO

Stori: Gladness Mallya NENO! Mwigizaji wa kitambo Bongo, Suzan Lewis ‘Natasha’ amewataka wasanii wenzake kuachana na tabia ya kuingiza ustaa kwenye ndoa, jambo ambalo linasababisha kuwa na sifa mbaya ya kutodumu kwenye ndoa. Mwigizaji wa kitambo Bongo, Suzan Lewis ‘Natasha’ akiwa na mwanaye ,'Monalisa'. Akichonga na mwanahari wetu, Natasha alisema kuwa sababu ya ndoa za mastaa wengi kuvunjika ni...

 

9 years ago

GPL

BEN POL: USTAA ULINIFANYA NIITWE COKE STUDIO

Mkali wa R&B nchini, Benard Paul ‘Ben Pol. MKALI wa R&B nchini, Benard Paul ‘Ben Pol’ ameweka wazi sababu za kuitwa kwenye msimu mpya na wa tatu wa Coke Studio uliofanyika nchini Kenya wiki kadhaa zilizopita kuwa ustaa ulichangia kuitwa kwake. Akizungumza na Risasi Vibes, Ben Pol anayetamba na Wimbo wa Sophia alisema kuwa, hakuwa anajua kama atashiriki msimu huu mpya, lakini alishangaa kupigiwa simu na Coke...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani