Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Picha/Video: Hakuna cha ustaa, muone Rihanna akikaguliwa airport kama raia wa kawaida

Unaweza kudhani mtu maarufu kama Rihanna hupita kwenye uwanja wa ndege bila kufanyiwa ukaguzi kama watu wengi, lakini sivyo. MailOnline imepata picha ya muimbaji huyo akipita kwenye kaunta za ukaguzi alipokuwa akisafiri kutoka Miami. Kama kawaida alitakiwa kuvua vidani vya thamani alivyokuwa amevaa pamoja na viatu vyake.

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

MillardAyo

FC Barcelona ushindi kama kawaida yao, Lionel Messi nae kwenye headlines za rekodi hii (+Pichaz&Video)

December 30 Ligi Kuu ya Hispania iliendelea kwa michezo 9 kupigwa katika viwanja mbalimbali, huu ni muendelezo wa mechi za Laliga ambapo ilikuwa imesimama kwa ajili ya mapumziko ya sikukuu ya Christmas, hivyo December 30 iliendelea kama kawaida. Miongoni mwa michezo iliyochezwa December 30 ni mechi kati ya FC Barcelona dhidi ya Real Betis. Huu ni […]

The post FC Barcelona ushindi kama kawaida yao, Lionel Messi nae kwenye headlines za rekodi hii (+Pichaz&Video) appeared first on...

 

10 years ago

GPL

USTAA UMEWASHINDA,WAPO KAMA HAWAPO!!!

Na Hamida Hassan
Wapo mabinti ambao waliingia kwenye fani ya uigizaji kwa mbwembwe, wakawika sana kwenye vyombo vya habari na kuunyemelea ustaa lakini ghafla wakayeyuka.Walipoibukia kwenye fani walionekana watakuwa tishio na kuwafunika wale wakongwe waliokuwa wakionekana wao ndiyo wao. Sasa hivi hawajulikani wako wapi na wanafanya nini. Skaina Ally Skaina Ally
Huyu alikuwa tishio sana miaka ya nyuma. Umbo lake tata, uzuri...

 

10 years ago

Bongo Movies

PICHA: Hakuna Mtu Anaweza Kuchukua Nafasi Yako Kama Upo Kwenye Nafasi Yako-Lulu

Hayo ni maneno ambayo mwigizaji Elizabeth Michael “Lulu” aliyaandika kwa lungha ya kingereza kabla ya kuzitupia picha hizo hapo juu.

“Cant Nobody Take Your Place If You're In Your Place...!”

Kiukweli, kama utaweka chuki zako pembeni, utakubaliana na mimi kuwa Lulu ni mwigizaji anaependa na kwenda na fasheni kuwashinda waigizaji wote wa hapa bongo.

Jionee picha hizo.

By Mzee wa Ubuyu

 

11 years ago

Mwananchi

Maduka Kariakoo sasa biashara kama kawaida

Hatimaye wafanyabiashara wa Kariakoo wamefungua maduka yao baada ya kufikiwa makubaliano kati ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na Jumuiya ya Wafanyabiashara Tanzania (JWT) ya kuunda kamati ya pamoja itakayoshughulikia matatizo yao.

 

11 years ago

GPL

MR. CHAMPIONI KAMA KAWAIDA YAKE AZIDI KUTAMBA MTAANI JIJINI DAR

Mr.Championi akimpatia zawadi msomaji wa Gazeti la Championi Jumamosi baada ya kumkuta nalo.…

 

11 years ago

GPL

MAN UTD KAMA KAWAIDA YAO, WALALA 2-1 KWA STOKE CITY

BAO: Charlie Adam (kushoto) akiifungia Stoke bao la pili dhidi ya Man Utd. Kulia ni Wyne Rooney. SAFI KIJANA WANGU: Kocha wa Stoke City, Mark Hughes akimpongeza mchezaji wake Charlie Adam baada ya kuishushia kipigo Man Utd.…

 

9 years ago

MillardAyo

Christmas sio kila mtu anasherehekea, hawa hapa watakuwa kazini kama kawaida Uingereza..

December 25 huwa ni siku ambayo wakristo wengi duniani wanaungana kwa pamoja kusherehekea sikukuu ya Christmas, japo sikukuu inawahusu wakristo lakini huwa ni siku ya mapumziko kwa ujumla kwa watu wote bila kujali dini zao. Sasa nimekutana na hii stori kutoka Uingereza, labda nikufahamishe tu kwamba kama ikitokea December 25 2015 utakuwa na jukumu au […]

The post Christmas sio kila mtu anasherehekea, hawa hapa watakuwa kazini kama kawaida Uingereza.. appeared first on TZA_MillardAyo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani