Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Grooveback Nite with DJ Peter Moe... @ East 24-Arcade(Mikocheni) Kila Jmosi Kama Kawaida!

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

6TH ANNIVERSARY YA GROOVEBACK 2014 NA WINDHOEK DRAUGHT PARTY NDANI YA THE ARCADE HOUSE.

  Dj KT kutoka Tanzania akiwa anaangusha bonge la moja Burudani .....  Hakuna kulala full ku party ... DJ Pinye Mkali kutoka nchini Kenya .. akiangusha Burudani ... Hii ilikuwa hatare sana Mashabiki walifurahia Burudani hii ya nguvu. Twende Dj Pinye.... Dj Crusia Toni kutoka Nchini Kenya akiendelea na Burudani ya Nguvu ... Party inaendela.... Picha zaidi BOFYA HAPA

 

10 years ago

GPL

6TH ANNIVERSARY YA GROOVEBACK 2014 NA WINDHOEK DRAUGHT PARTY NDANI YA THE ARCADE HOUSE.

 Dj JB akiendelea kumwaga Burudani ya nguvu ya ngoma za Zamani na kukuna nyoyo za watu wengi waliofika katika Sherehe hiyo.
 Dj Pierra Kutoka Nchini Kenya nae hakuwa nyuma kuendeleza Burudani ya Muziki kwa ajili ya Kusherekea Grooveback Party iliyotimizia…

 

9 years ago

MillardAyo

Christmas sio kila mtu anasherehekea, hawa hapa watakuwa kazini kama kawaida Uingereza..

December 25 huwa ni siku ambayo wakristo wengi duniani wanaungana kwa pamoja kusherehekea sikukuu ya Christmas, japo sikukuu inawahusu wakristo lakini huwa ni siku ya mapumziko kwa ujumla kwa watu wote bila kujali dini zao. Sasa nimekutana na hii stori kutoka Uingereza, labda nikufahamishe tu kwamba kama ikitokea December 25 2015 utakuwa na jukumu au […]

The post Christmas sio kila mtu anasherehekea, hawa hapa watakuwa kazini kama kawaida Uingereza.. appeared first on TZA_MillardAyo.

 

10 years ago

Vijimambo

6TH ANNIVERSARY GROOVEBACK PARTY 2014 YAFANA NA BIA YA WINDHOEK DRAUGHT NDANI YA THE ARCADE HOUSE

Meneja Biashara wa Bia ya Windhoek Joseph Boniface akielezea kuhusiana na Grooveback Party ambayo wao wamekuwa wadhamini wakuu kwa mwaka 2014 katika kutimiza miaka sita ya Grooveback Wa pili kushoto ni Msimamizi  wa Windhoek Salum Kabanda akielezea ni jinsi gani wanavyotoa fursa kwa vijana na kuweza kuitumia hususani kwa wanamuziki ambapo wanaandaa matamasha mbalimbali na kuweza kuwa wadhamini wakuu hivyo kuwapa changamoto vijana kwa kuweza kuandaa michanganuo mbalimbali ya kazi kuifikisha...

 

10 years ago

Vijimambo

DJ PETER MOE ATUA NCHINI MAREKANI


Dj Peter Moe akiwa kwenye moja ya Hotel aliyafikia alipokua Washington, DC alipokua amekuja kwa kazi maalum nchini Marekani
Dj Peter Moe akipata picha ya kumbukumbu

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani