Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MTATURU ASEMA UCHAGUZI WA 2020 VUMBI LA USHINDI KWA CCM LITATIMKA.

MBUNGE wa Singida Mashariki Miraji Mtaturu (pichani) amesema katika uchaguzi mkuu wa Octoba mwaka huu vumbi la ushindi Kwa Chama Cha Mapinduzi(CCM) litatimka kutokana na utendaji mzuri wa Rais Dkt John Magufuli.Mtaturu amesema hayo Mei 15 bungeni jijini Dodoma wakati akichangia bajeti ya wizara ya Fedha na mipango.“Ukiangalia vyama vingine ni kama vikundi vya kutafuta maslahi yao binafsi,lakini CCM tangu Uhuru tumeendelea kuongoza nchi hii na kwa hakika tutaona vumbi litakavyotimka katika...

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Uchaguzi Marekani 2020: Biden arejea kwa ushindi

Kampeni za Joe Biden zimerejea kwa ushindi lakini inawezekana Bernie Sanders ndiye atakayechukua kinyang'anyiro cha ushindi.

 

11 years ago

Michuzi

KAMPENI ZA UCHAGUZI JIMBO LA KALENGA,CCM YAJIDHATITI KWA USHINDI WA KISHINDO

Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM),Wilayani Mufindi,Ndugu Miraji Mtaturu akimnadi Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kalenga kwa tiketi ya chama hicho,Ndugu Godfrey Mgimwa mapema leo jioni mbele ya wanakijji cha Mfukulembe,(hawapo pichani),kata ya Ifunda,Iringa vijijini mkoani humo. Mgombea Ubunge Jimbo la Kaleta (CCM),Ndugu Godfrey Mgimwa akiwahutubia wakazi wa Kijiji cha Mabikimitali,kata ya Ifunda katika jimbo hilo,mkoani Iringa leo jioni.Godfrey amewaomba wananchi hao kumuamini na kumpa...

 

10 years ago

Michuzi

DKT. MAGUFULI AWAPONGEZA CCM CHATO KWA USHINDI MKUBWA UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA

Mbunge wa Chato ambaye pia ni Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli akiwasalimia baadhi ya Wajumbe waa Chama cha Mapinduzi CCM waliofika katika hafla ya kupongezwa baada ya kupata ushindi mkubwa katika uchaguzi wa Serikali za mitaa uliofanyika hivi karibuni.Mbunge wa Chato ambaye pia ni Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli akihutubia mamia wa wanachama wa CCM wilaya ya Chato waliojitokeza katika mkutano huo wa kupongezana.Mbunge wa Chato ambaye pia ni Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli...

 

10 years ago

Vijimambo

JUMUIYA YA WAZAZI YA CCM KATA YA SINZA YAWASHUKURU WANACHAMA WAKE KWA KUKIPA USHINDI KATIKA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA


 Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Kinondoni, Salum Madenge akiwahutubia wanaccm wa Kata ya Sinza katika mkutano wa hadhara wa kuwashukuru kufuatia kukipa ushindi chama hicho kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika hivi karibuni. Katibu wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Dar es Salaam, Ally Cholaje akihutubia katika mkutano huo.
 Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuph Mwenda (kulia), akielezea mafanikio ya maendeleo ya wilaya hiyo pamoja na...

 

11 years ago

Michuzi

KAMPENI ZA UCHAGUZI JIMBO LA KALENGA:CCM YAZIDI KUJIHAKIKISHIA USHINDI

 Mgombea ubunge Jimbo la Kalenga kupitia CCM, Godfrey Mgimwa (32), akiwapungia wananchi huku akiwa amebebwa alipowasili kwenye mkutano wa kampeni katika Kijiji cha Mangalali,  Kata ya Ulanda, Iringa Vijijini leo mchana.  Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Mwigulu Nchemba akiongoza msafara wa mgombea ubunge wa Jimbo la Kalenga, Godfrey Mgimwa aliyebebwa walipowasili kwenye mkutano wa kampeni katika Kijiji cha Mangalali.  Mgimwa akiungana na wanakijiji kucheza ngoma ya asili ya kabila la Wahehe...

 

5 years ago

Michuzi

RATIBA KAMILI YA MCHAKATO WA KUWAPATA WAGOMBEA WA CCM WA NAFASI YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NA RAIS WA ZANZIBAR KWA AJILI YA UCHAGUZI MKUU WA MWAKA 2020



1.0.     URAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

NA

TAREHE

SHUGHULI/MAELEZO

1

15 – 30/06/2020

Kuchukua na kurejesha fomu. Mwisho wakurudisha fomu ni tarehe 30/6/2020 Saa 10:00 jioni.

2

15 – 30/06/2020

Kutafuta wadhamini Mikoani.

VIKAO VYA UCHUJAJI

3

06 – 07/07/2020

Kikao cha Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya Taifa.

4

08/07/2020

Kikao cha Kamati ya Usalama na Maadili Taifa.

5

09/07/2020

Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa: Kufikiria na kutoa Mapendekezo yake kwa Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa...

 

10 years ago

Michuzi

CCM TABORA YAWATUNUKU VYETI MAKADA WAKE WALIOKISAIDIA CHAMA HICHO KUPATA USHINDI UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA

Katibu wa CCM mkoa wa Tabora Bi.Jannat Kayanda akimkabidhi cheti mmoja kati ya makada wa chama hicho Bw.Emmanuel Mwakasaka waliokisaidia kupata ushindi wakati wa uchaguzi wa Serikali za mitaa,vijiji na vitongoji wilaya ya Tabora mjini ambapo CCM ilipata ushundi mkubwa dhidi ya vyama vya upinzani.

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

5 years ago

Michuzi

Tume ya Uchaguzi imekutana na vyama vya siasa kujadili na kupitisha kanuni na maadili kwa uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani 2020



Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Mstaafu
Semistocles Kaijage, akizungumza katika Mkutano wa NEC na Vyama vya Siasa kujadili na kupitisha Kanuni na Maadili ya Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani mwaka 2020, Mkutano ambao umefanyika loe 27, Mei 2020, JNICC Jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Mstaafu Semistocles Kaijage, akifafanua hoja zilizotolewa na Washiriki wa Mkutano wa NEC na Vyama vya Siasa kujadili na kupitisha Kanuni na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani