Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Marekani yasikitishwa na tamko la ZEC kufuta uchaguzi Z’bar

Serikali ya Marekani imesema imestushwa na tamko lililotolewa na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar ambapo ametamka kusudio lake la kufuta matokeo ya uchaguzi wa urais wa Zanzibar.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Lipumba aishukia ZEC kufuta uchaguzi Zanzibar

Mwenyikiti Mstaafu wa Chama cha Wananchi Cuf, Prof Ibrahim Lipumba amesema Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jecha Salum Jecha amekiuka sheria kwa  kusitisha utangazaji wa matokeo kwani inaweza kuleta mgogoro wa kisiasa.

 

11 years ago

BBCSwahili

Marekani yasikitishwa na umoja Palestina

Marekani inasema imesikitishwa na makubaliano kati ya makundi makuu Palestina ya kuiunda serikali ya Umoja.

 

10 years ago

Tanzania Daima

CUF yasikitishwa kuvurugwa uchaguzi

CHAMA cha Wananchi (CUF) kimesikitishwa na kitendo cha  Serikali ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kuvuruga uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa makusudi na kuandaa machafuko kwa kutunga kanuni zisizotekelezeka. Pia...

 

9 years ago

Dewji Blog

Breaking News: Matokeo ya uchaguzi Zanzibar yamefutwa na Tume ya Uchaguzi Zanzibar ZEC na uchaguzi utarudiwa baada ya siku 90

am4

Hii ni kutokana na takwimu za kisiwa cha Pemba zimekuwa ni tofauti na watu waliojiandikisha katika daftari la wapiga kura ndio kitu kilichopelekea mashaka na kuahirisha uchaguzi.

Taarifa hiyo imedhibitishwa na Mwenyekiti  wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jecha Salim Jecha (Pichani) katika mkutano wake na waandishi wa habari hivi punde.

 

10 years ago

Mtanzania

ZEC yawapiga msasa vijana Z’bar

Na Is-haka Omar, Zanzibar
TUME ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) imewataka vijana kutambua haki yao ya kushiriki kwa ukamilifu katika Uchaguzi Mkuu ikiwa ni pamoja na kuhakikisha wanalinda amani ya nchi.
Rai hiyo ilitolewa jana na Kamishna wa ZEC, Ayoub Bakar Hamad, katika Kongamano la Vijana na Uchaguzi mjini Unguja.
Alisema utafiti mbalimbali unaonyesha kuwa katika uchaguzi uliopita kundi la vijana limekuwa likitumiwa wanasiasa kuvuruga uchaguzi na kukiuka taratibu zilizowekwa na tume...

 

9 years ago

Michuzi

CHAVITA YASIKITISHWA NA USHIRIKI MDOGO WA VIZIWI KATIKA UCHAGUZI MKUU

Mkurugenzi Mtendaji wa Chama cha Viziwi Tanzania (CHAVITA), Bw. Dickson Mveyange (kulia) akiongea na Waandishi wa Habari (hawapo pichani) kuhusu tathmini ya ushiriki wa Viziwi kwenye Uchaguzi Mkuu wa Taifa Tanzania Bara uliofanyika 25 Oktoba, 2015. Mkutano uliofanyika katika Ukumbi wa Idara ya Habari(MAELEZO) Jijini Dar es Salaam 24 Novemba, 2015. Mshauri Mwelekezi Elimu ya Uraia kwa Watu wenye Viziwi, Bw. Novath Rukwago (Kushoto) akijibu baadhi ya maswali toka kwa Waandishi wa Habari...

 

10 years ago

Mwananchi

Malumbano haya ya Maalim Seif na ZEC yanaitia doa Z’bar

Juzi, Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad aliitisha mkutano na waandishi wa habari, Dar es Salaam na kutoa tuhuma nzito dhidi ya Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) akidai kuwa iliandikisha na kuruhusu watu wasiostahili zaidi ya 10,000 kupiga kura katika Uchaguzi Mkuu wa 2010, kati ya hao, 8,507 wakiwa ni marehemu.

 

10 years ago

BBCSwahili

Marekani kufuta kazi baadhi ya wanajeshi

Vyombo vya habari nchini Marekani vimeripoti kuwa jeshi la marekani limethibitisha kupunguza wanajeshi wake

 

9 years ago

Mwananchi

Kufuta uchaguzi ni kukaribisha machafuko

Matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa Zanzibar uliofanyika Oktoba 25, yamefutwa. Uamuzi huo unaifanya Zanzibar kuwa miongoni mwa nchi ambazo matokeo ya uchaguzi yaliyoelekea kuvipa ushindi vyama vya upinzani kufutwa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani