Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CUF yasikitishwa kuvurugwa uchaguzi

CHAMA cha Wananchi (CUF) kimesikitishwa na kitendo cha  Serikali ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kuvuruga uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa makusudi na kuandaa machafuko kwa kutunga kanuni zisizotekelezeka. Pia...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

CUF yasikitishwa na matukio ya mabomu katika maeneo ya Mkunazini na Michenzani, Unguja

Na Hassan Hamad, OMKR Chama Cha Wananchi CUF, kimeelezea kusikitishwa na matukio ya kuwatia hofu wananchi na kuhatarisha amani ya nchi. Akizungumza na waandishi wa habari katika ofisi za Chama hicho Mtendeni Zanzibar, Naibu Katibu Mkuu wa CUF Zanzibar Nassor Ahmed Mazrui, ameyataja matukio hayo kuwa ni pamoja na milipuko inayoelezwa kuwa ni mabomu katika maeneo ya Mkunazini na Michenzani. Ameyataja matukio mengine kuwa ni uvamizi uliofanywa katika kisiwa cha Tumbatu ambao ulipelekea nyumba...

 

9 years ago

Mwananchi

Marekani yasikitishwa na tamko la ZEC kufuta uchaguzi Z’bar

Serikali ya Marekani imesema imestushwa na tamko lililotolewa na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar ambapo ametamka kusudio lake la kufuta matokeo ya uchaguzi wa urais wa Zanzibar.

 

9 years ago

Michuzi

CHAVITA YASIKITISHWA NA USHIRIKI MDOGO WA VIZIWI KATIKA UCHAGUZI MKUU

Mkurugenzi Mtendaji wa Chama cha Viziwi Tanzania (CHAVITA), Bw. Dickson Mveyange (kulia) akiongea na Waandishi wa Habari (hawapo pichani) kuhusu tathmini ya ushiriki wa Viziwi kwenye Uchaguzi Mkuu wa Taifa Tanzania Bara uliofanyika 25 Oktoba, 2015. Mkutano uliofanyika katika Ukumbi wa Idara ya Habari(MAELEZO) Jijini Dar es Salaam 24 Novemba, 2015. Mshauri Mwelekezi Elimu ya Uraia kwa Watu wenye Viziwi, Bw. Novath Rukwago (Kushoto) akijibu baadhi ya maswali toka kwa Waandishi wa Habari...

 

9 years ago

Mwananchi

Maalim Seif awataka Wazanzibari wasikubali kuvurugwa, watulie

“Kazi tayari tupe kinuramgongo”, yaani “kazi imekwisha tupe malipo”, ni wimbo uliotawala mkutano kati ya Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad na wajumbe wa kamati za utendaji za wilaya na majimbo, mkutano mkuu na wafuasi wa chama hicho Kisiwani Pemba jana.

 

11 years ago

Habarileo

Uchaguzi mkuu CUF waiva

SAFU mpya ya uongozi wa Taifa ya Chama cha Wananchi (CUF) inatarajiwa kupatikana mwezi huu katika uchaguzi utakaofanyika wiki ijayo, jijini Dar es Salaam.

 

9 years ago

Mwananchi

CUF: Hatutarudia uchaguzi wa Zanzibar

“Hatuwezi kurudia uchaguzi,” alisema Taslima. “Tunachofahamu ni kuwa uchaguzi umefutwa kinyume na sheria, hivyo ZEC ibatilishe uamuzi wake na kuendelea kutangaza matokeo ya majimbo yaliyobaki ili mshindi ajulikane.”

 

9 years ago

StarTV

CUF yasema haina mpango wa kurejea uchaguzi

Uongozi wa baraza kuu la chama cha wananchi CUF limesema halina mpango wa kurejea uchaguzi mkuu uliofutwa na mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi Zanzibar kwani kufutwa kwake hakukuzingatia katiba na sheria za uchaguzi.

Wamesema wanachosubiri ni kuheshimu katiba na maamuzi ya jumuiya za kimataifa  kwa kukamilisha taratibu zilizobaki kwa tume na kumtangaza mshindi wa uchaguzi uliofanyika oktoba 25 mwaka huu.

 Akizungumza na wanahabari visiwani Zanzibar mwenyekiti wa kamati ya uongozi wa CUF Twaha...

 

9 years ago

GPL

CUF WAZIDI KUIBANA TUME YA UCHAGUZI ZANZIBAR

Kutoka kulia ni Mwakilishi Mteule wa Jimbo la Ole-Pemba, Hamad Massoud, Naibu Katibu Mkuu wa CUF, Serikali ya Zanzibar,Nassor Ahmed Mazrui na Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi wa chama hicho, Abbakar Khamis Bakar. Mmoja wa viongozi wa chama hicho akitoa ufafanuzi wa jambo mbele ya wanahabari (hawapo pichani).…

 

11 years ago

Michuzi

CUF chafanya uchaguzi wake Wilaya ya Mjini

 Katibu Mkuu wa CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akisalimiana na wanachama wakati akiwasili ukumbi wa Basra Mtoni Kidatu kwa ajili ya uchaguzi wa CUF Wilaya ya Mjini
 Katibu Mkuu wa CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad,  alipowasili ukumbi wa Basra Mtoni Kidatu kwa ajili ya uchaguzi wa CUF Wilaya ya Mjini
 Naibu Katibu Mkuu wa CUF Zanzibar Hamad Massoud Hamad akizungumza wakati akifungua mkutano mkuu wa uchaguzi Wilaya ya Mjini katika ukumbi wa Basra Mtoni Kidatu.
Baadhi ya wajumbe wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani