Uchaguzi mkuu CUF waiva
SAFU mpya ya uongozi wa Taifa ya Chama cha Wananchi (CUF) inatarajiwa kupatikana mwezi huu katika uchaguzi utakaofanyika wiki ijayo, jijini Dar es Salaam.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-ksmOm5Zogvo/VkCGzFLkIII/AAAAAAAIE_Q/p-lV-eQ7aTY/s72-c/IMG_3540.jpg)
WAJUMBE WA BARAZA LA WAKILISHI WA CUF ZANZIBAR WAMEPINGA MATOKEO YA UCHAGUZI MKUU WA ZANZIBAR KUFUTWA
Wajumbe 27 wa baraza hilo wamewasili jijini Dar es Salaam kuzungumza na waandishi wa habari juu ya kizungumkuti cha matokeo ya uchaguzi kufutwa huku wakiwa wenyewe hatambui hatua hiyo.
Akizungumza mmoja wa wajumbe wa Baraza la Wawakilishi,...
9 years ago
Dewji Blog13 Sep
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu aitembelea NEC kuona maandalizi ya Uchaguzi Mkuu Oktoba 25, 2015
Naibu Katibu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) na Mkuu wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA), Dk. Sisti Chriati akimpatia maelezo Katibu Mkuu ofisi ya Waziri Mkuu Bw. Frolence Turuka akimpatia maelekezo juu ya NEC inavyoweza kutunza kumbukumbu za wananchi mapema jana alipoitembelea kuona maandalizi ya Uchaguzi Mkuu ambapo alishuhudia vifaa mbalimbali vya Uchaguzi vikiwasili na Kupokelewa katika ofisi ya NEC kitengo cha Daftari Bohari Kuu jijini Dar es Salaam.
Vifaa mbalimbali...
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-q0xCtNigswU/VfSlvTq2VnI/AAAAAAABlxE/N41mk93CnoM/s72-c/11223558_1465389910437173_7959874733452473066_o.jpg)
KATIBU MKUU OFISI YA WAZIRI MKUU BW. FROLENCE TURUKA AITEMBELEA NEC KUONA MAANDALIZI YA UCHAGUZI MKUU OKTOBA 25, 2015
![](http://4.bp.blogspot.com/-q0xCtNigswU/VfSlvTq2VnI/AAAAAAABlxE/N41mk93CnoM/s640/11223558_1465389910437173_7959874733452473066_o.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-2wbNUQWxs8w/VfSlycBQWUI/AAAAAAABlxM/kATyAIcFBF8/s640/11930774_1465390323770465_1602462128218917504_o.jpg)
9 years ago
Mzalendo Zanzibar22 Aug
Mpambano waiva
Waziri wa Ujenzi, Dk John Magufuli (CCM) na Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa (CHADEMA). Na Waandishi wa Nipashe 20th August 2015 Dk Magufuli (CCM) na Lowassa anayewania urais chini ya kivuli cha Umoja wa Katiba […]
The post Mpambano waiva appeared first on Mzalendo.net.
9 years ago
Mwananchi31 Oct
CUF: Hatutarudia uchaguzi wa Zanzibar
10 years ago
Tanzania Daima20 Nov
CUF yasikitishwa kuvurugwa uchaguzi
CHAMA cha Wananchi (CUF) kimesikitishwa na kitendo cha Serikali ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kuvuruga uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa makusudi na kuandaa machafuko kwa kutunga kanuni zisizotekelezeka. Pia...
9 years ago
GPL15 Sep
10 years ago
MichuziPRESS CLUB ZNZ YAFANYA UCHAGUZI NA KUSISITIZWA MAADILI KUELEKEA UCHAGUZI MKUU
10 years ago
Michuzi25 Apr