CUF yasikitishwa na matukio ya mabomu katika maeneo ya Mkunazini na Michenzani, Unguja
![](http://2.bp.blogspot.com/-5ln_SJR9x5k/VjUHmqxWkTI/AAAAAAAID0E/TP3i2VDzrVU/s72-c/unnamed%2B%252814%2529.jpg)
Na Hassan Hamad, OMKR Chama Cha Wananchi CUF, kimeelezea kusikitishwa na matukio ya kuwatia hofu wananchi na kuhatarisha amani ya nchi. Akizungumza na waandishi wa habari katika ofisi za Chama hicho Mtendeni Zanzibar, Naibu Katibu Mkuu wa CUF Zanzibar Nassor Ahmed Mazrui, ameyataja matukio hayo kuwa ni pamoja na milipuko inayoelezwa kuwa ni mabomu katika maeneo ya Mkunazini na Michenzani. Ameyataja matukio mengine kuwa ni uvamizi uliofanywa katika kisiwa cha Tumbatu ambao ulipelekea nyumba...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziTimu ya Jimbo la Mkunazini Yaingia Nusu Fainali Kombe la Bonaza la Masauni Cup Unguja
10 years ago
Tanzania Daima20 Nov
CUF yasikitishwa kuvurugwa uchaguzi
CHAMA cha Wananchi (CUF) kimesikitishwa na kitendo cha Serikali ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kuvuruga uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa makusudi na kuandaa machafuko kwa kutunga kanuni zisizotekelezeka. Pia...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-KRjKHmERqpU/VZqTKj1dMSI/AAAAAAAHnUk/pg6ndeyG-AA/s72-c/Screen%2BShot%2B2015-07-06%2Bat%2B5.36.52%2BPM.png)
9 years ago
MichuziCHAVITA YASIKITISHWA NA USHIRIKI MDOGO WA VIZIWI KATIKA UCHAGUZI MKUU
10 years ago
StarTV28 Jan
Polisi yatawanya wafuasi wa CUF kwa mabomu.
Na Glory Matola,
Dar es Salaam.
Jeshi la Polisi limelazimika kulipua mabomu ya machozi kuwatawanya wafuasi wa Chama cha Wananchi CUF waliojiandaa kuandamana hadi Viwanja vya Zakhiem Mbagala jijini Dar es Salaam ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya kumbukumbu ya mauaji ya baadhi ya wafuasi wake huko Zanzibar.
Pamoja na mabomu hayo, Jeshi hilo pia lilimkamata Mwenyekiti wa chama hicho Profesa Ibrahimu Lipumba, baadhi ya wanachama na mwandishi wa habari wa gazeti la Jambo Leo na kupelekwa kituo...
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-KRjKHmERqpU/VZqTKj1dMSI/AAAAAAAHnUk/pg6ndeyG-AA/s72-c/Screen%2BShot%2B2015-07-06%2Bat%2B5.36.52%2BPM.png)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/jEI2iEfKUOh3fJeyAYB-Ke57WMVpcUh0sl66MJDXDvzaEcaXLfFvd-*H5VknQ*5M75eEmkkd5T0EPg-leiOSquvURXFcJwwJ/cdm.jpg)
CHADEMA YASIKITISHWA NA TAARIFA ZA UFISADI KATIKA UKAGUZI WA FEDHA ZA SERIKALI 2013/2014
10 years ago
Mwananchi28 Jan
Mabomu yarindima Dar:Ni wakati polisi wakizuia maandamano ya CUF