Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CHADEMA YASIKITISHWA NA TAARIFA ZA UFISADI KATIKA UKAGUZI WA FEDHA ZA SERIKALI 2013/2014

Upotevu wa shilingi trilioni 1.151 Serikali kuu pekee hauvumiliki. Makusanyo yote yaliyotokana na kuongezeka kwa kodi 2013/14 yameyeyuka CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa za ufisadi wa kutisha uliofanyika kwenye matumizi ya fedha za umma kama ilivyobainishwa kwenye ripoti za ukaguzi wa fedha kwa mwaka 2013/2014 zilizotolewa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Zitto Kabwe, MB

TAARIFA YA KAMATI KUFUATIA MATOKEO YA UKAGUZI MAALUM WA MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI KATIKA AKAUNTI YA TEGETA ESCROW ILIYOKUWA KATIKA BENKI KUU YA TANZANIA

TAARIFA YA KAMATI KUFUATIA MATOKEO YA UKAGUZI MAALUM WA MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI KATIKA AKAUNTI YA TEGETA ESCROW ILIYOKUWA KATIKA BENKI KUU YA TANZANIA

View this document on Scribd

 

11 years ago

Michuzi

HOTUBA YA WAZIRI WA FEDHA MHESHIMIWA OMAR YUSSUF MZEE KUHUSU MAPENDEKEZO YA MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA SERIKALI KWA MWAKA WA FEDHA 2014/15 KATIKA BARAZA LA WAWAKILISHI

WAZIRI WA FEDHA  WA ZANZIBAR MHESHIMIWA OMAR YUSSUF MZEE AKIINGIIA KATIKA UKUNBU WA BARAZA LA  WAWAKILISHI LEO

 

10 years ago

Mwananchi

Chadema kuanza operesheni mpya kudai fedha za ufisadi

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesema kitaendesha operesheni mpya nchi nzima ikilenga kuhamasiaha wananchi kudai kurejeshwa kwa fedha zote ambazo zimeporwa katika kashfa mbalimbali za ufisadi badala ya kuachia wahusika wajiuzulu nafasi zao au wengine kufichwa.

 

5 years ago

Michuzi

SERIKALI YA MAPINDUZI ZANZIBAR YASIKITISHWA NA BAADHI YA WATENDAJI WA TAASISI YA ARDHI KUTOKUWA WAAMINIFU KATIKA MAJUKUMU YAO

Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar inasikitishwa na tabia ya baadhi ya Watendaji wa Taasisi zinazosimamia masuala ya Ardhi Nchini kuendelea kutokuwa waaminifu katika utekelezaji wa majukumu yao kitendo ambacho huongeza migogoro ndani ya Jamii Nchini.

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alitoa masikitiko hayo wakati akijibu Hoja za Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi kufuatia Hotuba ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara yake aliyoiwasilisha katika Kikao cha Bajeti cha...

 

10 years ago

Dewji Blog

Waziri wa Fedha afanya ukaguzi wa matumizi wa mashine za EFD katika maduka mkoani Dodoma

SONY DSC

Mh.Waziri wa Fedha Saada M. Salum (MB) akimsikiliza msimamizi wa duka la Salome Furniture wakati akijitetea baada ya kukutwa anafanya biashara bila ya kutumia mashine ya EFD.

Mh.Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum amefanya ukaguzi wa ghafla katika baadhi ya maduka Mkoani Dodoma ili kuona kama maelekezo ya Serikali kuhusu matumizi ya mashine za EFD yanatekelezwa ipasavyo.

Katika ukaguzi huo ambao ulihusisha maduka ya kuuza thamani za majumbani,nguo na maduka ya kuuza bidhaa mchanganyiko (Min...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani