CHAVITA KUADHIMISHA WIKI YA VIZIWI DUNIANI
Ofisa wa jinsia na Maendeleo kutoka makao makuu ya Chama cha Viziwi Tanzania (Chavita), Lupia Mwaisaka,(kushoto) akizungumza kwa kutumia ishara ya mikono. Kulia kwake ni baadhi ya viongozi wenzake wa chama hicho wakiwa kwenye mkutano huo. Jane Malumbo (kulia) ambaye ni mkalimani wa kutafsiri lugha ya alama aliyokuwa akizungumza, Lupia Mwaisaka, akirekodiwa na wanahabari mbele ya viongozi hao.… ...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziCHAVITA YASIKITISHWA NA USHIRIKI MDOGO WA VIZIWI KATIKA UCHAGUZI MKUU
9 years ago
MichuziDKT SEIF MGENI RASMI KILELE CHA SIKU YA VIZIWI DUNIANI
Hayo yamesemwa na Afisa Jinsia na Maendeleo kutoka Chama cha Viziwi Tanzania (CHAVITA) Bi. Lupi Mwaisaka Maswanya alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam.
Bi. Mwaisaka amesema kuwa lengo la maadhimisho hayo ni kujenga mwamko wa jamii...
10 years ago
Tanzania Daima06 Dec
Waenda Zanzibar kuadhimisha wiki ya anga
MWENYEKITI wa Kamati ya Maandalizi siku ya Usafiri wa Anga, Mtesigwa Maugo amesema wamewawezesha wanafunzi 20 kutoka shule tofauti za msingi jijini hapa kwenda Zanzibar kutembea wakati wa maadhimisho ya...
10 years ago
MichuziWiki ya Umoja wa Mataifa kuadhimisha miaka 69 yazinduliwa
10 years ago
GPLTANZANIA, UNESCO KUADHIMISHA WIKI YA UKOMBOZI AFRIKA
11 years ago
MichuziPPF YAMWAGA MISAADA TEMEKE HOSPITAL KUADHIMISHA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI
10 years ago
Dewji Blog04 Dec
Tanzania yaungana na mataifa mengine kuadhimisha miaka 70 ya usafiri wa anga duniani
Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi Dkt. Shaaban Mwinjaka akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari jana jijini Dar es salaam kuhusu maadhimisho ya miaka 70 ya Usafiri wa anga duniani yanayoendelea nchini na namna Serikali kupitia Mamlaka ya Anga Tanzania (TCAA) ilivyojipanga kuhakikisha usalama wa ndege na abiria wanaotumia anga la Tanzania.
Tanzania inaungana na nchi nyingine duniani kuadhimisha siku ya kimataifa ya usafiri wa anga, (International Civil Aviation Day) ambayo huadhimishwa...
10 years ago
MichuziWAFANYAKAZI WA BENKI YA NBC WAJITOLEA DAMU KUADHIMISHA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI