CHADEMA wakubali sababu badala ya kutafuta visingizio
ZIPO sababu na vipo visingizio. Visingizio ni vitu au ni mambo yale ambayo tunayalaumu ili tu kukwepa kukilaumu kile hasa kinachohusika na matatizo yetu. Kwa mfano, mtu akiambiwa kuwa barabara...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-jIKk2mJPDRs/U-kBfc3ZzSI/AAAAAAAF-m0/CbKDD2LsYRA/s72-c/download.jpg)
MBUNGE WA CHADEMA AELEZA SABABU ZA KUREJEA BUNGENI
![](http://4.bp.blogspot.com/-jIKk2mJPDRs/U-kBfc3ZzSI/AAAAAAAF-m0/CbKDD2LsYRA/s1600/download.jpg)
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-r8FmsELRVAg/Xkvf2Q89LzI/AAAAAAALd4o/yg56ItPY5W4AM7_lC8Ot9pfY2ygPdVuJwCLcBGAsYHQ/s72-c/0.jpg)
ALIYEKUWA KATIBU MKUU CHADEMA DK.MASHINJI ATUA CCM ...ATOA SABABU
Na Said Mwishehe,Michuzi Blogu ya jamii
AMETUA CCM!Hivyo ndivyo unavyoweza kuelezea baada ya aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Dk.Vicent Mashinji kutangaza kujiunga na Chama Cha Mapinduzi(CCM).
DK.Mashinji aliyejiondoa Chadema Desemba mwaka 1919 amefikia uamuzi wa kujiunga CCM leo Februari 18, mwaka 2020 ambapo akitangaza uamuzi huo akiwa Ofisi ndogo za CCM zilizopo Lumumba jijini Dar es Salaam akiwa amepokelewa na Katibu wa Itikadi na Uenezi Humphrey...
9 years ago
StarTV09 Oct
Wazee Chadema wasema Kuhama kwa Kingunge kusiwe sababu ya kumkebehi
Baraza la Wazee wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA limekemea tabia ya kukebehi na kudhihaki kitendo alichokifanya kada mkongwe wa CCM Kingunge Ngombale Mwiru cha kukihama Chama hicho na kudai kuwa kila Mtanzania ana uhuru wa kujiamulia masuala yake binafsi.
Wamedai kuhama chama kusipokelewe kama dhambi bali ni ukomavu wa mtu katika demokrasia.
Katibu Mkuu wa Baraza la Wazee wa Chadema Rodriki Rutembeka anazungumza na waandishi kuhusu hali halisi inavyoendelea tangu Mzee Kingunge...
9 years ago
Habarileo31 Aug
Kerr aanza visingizio
KOCHA Mkuu wa timu ya Simba, Dylan Kerr amesema kuwa, kufungwa kwa timu yake na Jeshi la Kujenga Uchumi (JKU), mabao 2-0 kunatokana na wachezaji sita kutokuwemo katika kikosi hicho.
10 years ago
Habarileo27 Feb
RC: Hakuna visingizio ujenzi wa maabara
MKUU wa mkoa wa Pwani, Evarist Ndikilo amewataka wakuu wa wilaya mkoani humo kuhakikisha wanakamilisha ujenzi wa maabara za sayansi kwenye kata ifikapo Machi mwaka huu.
9 years ago
Mtanzania20 Nov
Mkwasa arudi na kifurushi cha visingizio
NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM
KOCHA Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’, Charles Boniface Mkwasa, amerudi na kifurushi cha visingizio, akifichua sababu zilizoiua timu hiyo na kupokea kipigo cha fedheha cha mabao 7-0 dhidi ya Algeria ‘The Desert Foxes’.
Stars ilipokea kipigo hicho kwenye mchezo wa raundi ya pili ya kufuzu Fainali za Kombe la Dunia 2018 nchini Urusi, kilichoifanya kutolewa kwa jumla ya mabao 9-2 kufuatia sare ya 2-2 ya mechi ya awali.
Akizungumza jijini Dar es...
10 years ago
Mwananchi23 Aug
Slaa: Rais Kikwete aache visingizio
9 years ago
Mtanzania15 Dec
Mpinzani wa Lema atoa visingizio lukuki
ELIYA MBONEA NA ABRAHAMU GWANDU, ARUSHA
ALIYEKUWA mgombea ubunge wa Arusha Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Philemon Mollel ‘Monaban’, ameibuka na madai mazito kwa Jeshi la Polisi kuwa walichangia kushindwa kwake na Godbless Lema wa Chadema.
Katika uchaguzi huo uliofanyika jijini hapa juzi, wapigakura 105,800 walijitokeza kati ya 317,814 waliojiandikisha ambapo kura halali zilikuwa 104,353 huku 1,447 zikiharibika.
Msimamizi wa uchaguzi ambaye pia ni Mkurugenzi wa Jiji la Arusha,...
9 years ago
Habarileo24 Oct
Kocha Toto Africans amwaga visingizio
KOCHA Mkuu wa Toto Africans, Martin Grelics, amesema malengo ya klabu yake si kuzifunga Simba, Yanga wala Azam badala yake ni kuhakikisha inaendelea kubaki kwenye ligi ili apate muda wa kukiboresha kikosi hicho.