Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Professor Jay kapita kura za maoni Ubunge huu hapa

Stori ninayotaka kukusogezea ni hii kutoka kwa mkongwe wa Hip Hop Joseph Haule aka Professor Jay ambaye wiki zilizopita alishinda kura za maoni kupitia chama cha Demokrasia na Maendeleo katika Jimbo la mikumi Morogoro.
Sasa leo Agosti 7, 2015 amekutana na ripota wa TZA na kupiga naye stori kuhusiana na mchakato wa kura za maoni jinsi ulivyofanyika.
‘Namshukuru Mungu kura za maoni zimeenda vizuri, niwapongezi tu watu wa CHADEMA kwa kutimiza demokrasia na tuliweza kupga kura na nimeweza kuibuka...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

KYSHER, PROF JAY WAPETA KWENYE KURA ZA MAONI UBUNGE, WEMA SEPETU, WASTARA WAANGUKA

 Weekend hii kulikuwa kuna heka heka ya uchaguzi wa kura za maoni ndani ya vyama mbalimbali, ili kuwezesha kupatikana kwa wawakilishi wao katika ngazi mbalimbali uchaguzi mkuu 2015.Mwaka huu tumeona pia muamko mkubwa kwa wasanii, na wadau kadhaa kujitosa kwenye medani za siasa.Taarifa ikufikie kuwa tayari wasanii kadhaa wameshajua hatma yao weekend hii, katika upande wa wasanii Wema Sepetu, Khadija “Kysher” Shaaban, Wastara Juma waliokuwa wakiwania kuwakilisha mikoa mbalimbali Ubunge viti...

 

9 years ago

Bongo5

Jose Chameleone ampongeza Professor Jay kwa kushinda ubunge

Mwanamuziki wa Uganda, Jose Chameleone amempongeza rafiki na msanii mwenzake Joseph Haule a.k.a Professor Jay kwa kusinda ubunge jimbo la Mikumi katika uchaguzi uliofanyika Oct.25. Professor na Chameleone waliwahi kushirikiana katika remix ya wimbo wa ‘Ndivyo Sivyo’ miaka kadhaa iliyopita, pamoja na wimbo mwingine uitwao ‘Kwaajili Yako’ ambao Professor alimshirikisha mkali huyo kupitia studio yake […]

 

10 years ago

Mwananchi

10 years ago

Michuzi

NYALANDU ASHINDA KURA ZA MAONI UBUNGE CCM SINGIDA KASKAZINI

WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, ameibuka na ushindi wa kishindo katika kura za maoni ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kuwania ubunge Jimbo la Singida Kaskazini.
Nyalandu, ambaye alikitetea nafasi hiyo aliwashinda wagombea wenzake saba waliojitokeza kupambana naye, ambapo aliongoza kwenye kata zote za jimbo hilo na kuwaacha mbali wapinzani wake.
Mwanasiasa huyo kijana na mwenye ushawishi mkubwa, aliongoza katika Kata za Ikhanoda, Msange, Itaja, Mwasauya, Mrama, Maghojoa,...

 

9 years ago

Bongo5

Masanja aangukia pua kwenye kura za maoni ya ubunge Ludewa

Masanja Mkandamizaji

Mchekeshaji, Masanja Mkandanizaji ameangukia pua katika kura za maoni za ubunge katika jimbo la Ludema baada ya kupata kura chache.

Masanja Mkandamizaji

Kwa mujibu wa gazeti la Mwananchi, Deo Ngalawa aliwashinda makada wenzake tisa waliokuwa wakiwania nafasi hiyo kwa kupata kura 537 akifuatiwa na mdogo wa marehemu Filikunjombe, Philip aliyepata kura 501.

Makada wengine ni Edgar Lugome, Johnson Mgimba, Emmanuel Mgaya maarufu Masanja Mkandamizaji (19), James Mgaya (72), Jackob Mpangala (3), Evaristo Mtitu (21)...

 

10 years ago

Michuzi

MAGANGA KUMNYIMA USINGIZI Dr.MUKANGARA KURA ZA MAONI UBUNGE KIBAMBA

MTIA nia kwa nafasi ya ubunge jimbo jipya la Kibamba kupitia tiketi ya CCM, Bw.Stanslaus Justine Maganga(26) ametangaza kuwania nafasi ya ubunge katika jimbo hilo.
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo  Mhe Dr. Fenella Ephrahim Mukangara nae pia ni moja kati ya makada wa chama cha mapinduzi(ccm) wanaothubutu kutia nia kuwania kiti cha ubunge katika jimbo la Kibamba kupitia chama hiko.
Hali ya kisiasa jimboni humo imepamba moto baada ya watia nia hao wawili kuimarisha ngome zao kwa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Maganga kumnyima usingizi Dr. Mukangara kura za maoni Ubunge Kibamba

IMG-20150628-WA0124(1)

Mtia nia kwa nafasi ya ubunge jimbo jipya la Kibamba kupitia tiketi ya CCM, Bw.Stanslaus Justine Maganga (26) (Pichani) ametangaza kuwania nafasi ya ubunge katika jimbo hilo.

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo  Mhe Dr. Fenella Ephrahim Mukangara nae pia ni moja kati ya makada wa chama cha mapinduzi(ccm) wanaothubutu kutia nia kuwania kiti cha ubunge katika jimbo la Kibamba kupitia chama hiko.

Hali ya kisiasa jimboni humo imepamba moto baada ya watia nia hao wawili kuimarisha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani