KYSHER, PROF JAY WAPETA KWENYE KURA ZA MAONI UBUNGE, WEMA SEPETU, WASTARA WAANGUKA
![](http://2.bp.blogspot.com/-4A0Y8sFnLoI/VbX9JWDCy_I/AAAAAAABS04/F0iDY0TCrkM/s72-c/pr-559x520.jpg)
Weekend hii kulikuwa kuna heka heka ya uchaguzi wa kura za maoni ndani ya vyama mbalimbali, ili kuwezesha kupatikana kwa wawakilishi wao katika ngazi mbalimbali uchaguzi mkuu 2015.Mwaka huu tumeona pia muamko mkubwa kwa wasanii, na wadau kadhaa kujitosa kwenye medani za siasa.Taarifa ikufikie kuwa tayari wasanii kadhaa wameshajua hatma yao weekend hii, katika upande wa wasanii Wema Sepetu, Khadija “Kysher” Shaaban, Wastara Juma waliokuwa wakiwania kuwakilisha mikoa mbalimbali Ubunge viti...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo27 Jul
Weekend ya uchaguzi: Msanii Ksher kapita kwenye Ubunge, Wastara na Wema Sepetu hawakupata za kutosha
![](http://i0.wp.com/millardayo.com/wp-content/uploads/2015/07/Ksher-1.jpg?resize=503%2C474)
2015 tumeshuhudia mastaa mbalimbali wa kike na wa kiume Tanzania wakitangaza nia ya kuingia bungeni akiwemo mwimbaji wa Taarab Mzee Yusuf, Profesa Jay, Steve Nyerere na kwa Wanawake waliojitokeza kuziwania nafasi za Ubunge wa viti maalum ni pamoja na waigizaji Wema Sepetu na Wastara, na msanii wa bongofleva Ksher.Wema Sepetu na Wastara hawakupita kutokana na kukosa kura za kutosha lakini Khadija Shaaban (Ksher) amepita tena ambapo alithibitisha hayo na wakati mwingi kwenye maneno yake ya...
10 years ago
Vijimambo08 Aug
Professor Jay kapita kura za maoni Ubunge huu hapa
![](http://i2.wp.com/millardayo.com/wp-content/uploads/2015/08/PROFESSOR-JAY.jpg?resize=504%2C362)
Sasa leo Agosti 7, 2015 amekutana na ripota wa TZA na kupiga naye stori kuhusiana na mchakato wa kura za maoni jinsi ulivyofanyika.
![](http://i0.wp.com/millardayo.com/wp-content/uploads/2015/08/PROFESSOR-JAY-22.jpg?resize=522%2C404)
10 years ago
Bongo Movies24 Jul
Picha: Wema Sepetu Akiwa Kwenye Harakati za Ubunge Huko Singida
Hizi ni baadhi ya picha za staa wa Bongo Movies, Wema Sepetu zinazo ‘trend’ leo hii mtandaoni kwa hapa bongo zikimuonyesha staa huyu aliyetitos kuwania nafasi ya ubunge wa viti maalum kupitia chama cha mapinduzi CCM mkoa wa Singida.
Kila la Kheri Madam
10 years ago
Mwananchi21 Jul
Mwakyembe, Malila wapeta kura za maoni Chadema
10 years ago
Mwananchi07 Aug
Wabunge 51 waanguka kura za maoni
10 years ago
Mwananchi03 Aug
Mawaziri watano waanguka kura za maoni
10 years ago
Mwananchi05 Aug
Kabaka, Nyangwine waanguka kura za maoni
9 years ago
Bongo511 Nov
Masanja aangukia pua kwenye kura za maoni ya ubunge Ludewa
![Masanja Mkandamizaji](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Masanja-Mkandamizaji-300x194.png)
Mchekeshaji, Masanja Mkandanizaji ameangukia pua katika kura za maoni za ubunge katika jimbo la Ludema baada ya kupata kura chache.
Kwa mujibu wa gazeti la Mwananchi, Deo Ngalawa aliwashinda makada wenzake tisa waliokuwa wakiwania nafasi hiyo kwa kupata kura 537 akifuatiwa na mdogo wa marehemu Filikunjombe, Philip aliyepata kura 501.
Makada wengine ni Edgar Lugome, Johnson Mgimba, Emmanuel Mgaya maarufu Masanja Mkandamizaji (19), James Mgaya (72), Jackob Mpangala (3), Evaristo Mtitu (21)...
10 years ago
Habarileo05 Aug
Waziri mwingine, wabunge 4 waanguka kura za maoni CCM
SIKU mbili baada ya mawaziri watano kushindwa katika kura za maoni ya ubunge ndani ya CCM, waziri mwingine, Gaudentia Kabaka anayeshughulikia Kazi na Ajira, naye amedondoshwa katika jimbo la Tarime Mjini.