Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwakyembe, Malila wapeta kura za maoni Chadema

>Mkutano Maalumu wa Chadema Jimbo la Temeke umempitisha Bernard Mwakyembe kugombea ubunge katika jimbo hilo. Mwakyembe (33) alipata ushindi wa asilimia 66.7 kwa kuvuna kura 80 kati ya 120 katika mkutano uliotaka kuingia rabsha baada ya wajumbe kutoka Kata ya Sandari kuzuiwa kupiga kura kutokana na kutokidhi vigezo vya katiba.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

KYSHER, PROF JAY WAPETA KWENYE KURA ZA MAONI UBUNGE, WEMA SEPETU, WASTARA WAANGUKA

 Weekend hii kulikuwa kuna heka heka ya uchaguzi wa kura za maoni ndani ya vyama mbalimbali, ili kuwezesha kupatikana kwa wawakilishi wao katika ngazi mbalimbali uchaguzi mkuu 2015.Mwaka huu tumeona pia muamko mkubwa kwa wasanii, na wadau kadhaa kujitosa kwenye medani za siasa.Taarifa ikufikie kuwa tayari wasanii kadhaa wameshajua hatma yao weekend hii, katika upande wa wasanii Wema Sepetu, Khadija “Kysher” Shaaban, Wastara Juma waliokuwa wakiwania kuwakilisha mikoa mbalimbali Ubunge viti...

 

9 years ago

Dewji Blog

Waziri Mkuu hachaguliwi kwa kura za maoni wala kwa mitandao ya kijamii – Mwakyembe

Harrison-Mwakyembe1-620x308

Mbunge Mteule wa Jimbo la Kyela,  Dkt. Harrison Mwakyembe.

Na Lilian Lundo, MAELEZO-DODOMA

Mbunge Mteule wa Jimbo la Kyela,  Dkt. Harrison Mwakyembe amesema Waziri Mkuu wa Serikali ya Awamu ya Tano ya Tanzania  atatokana  na uteuzi utakaoidhinishwa na  Bunge na si taarifa zilizopo sasa katika mitandao ya kijamii.

Dkt. Mwakyembe ambaye amewahi kuwa Waziri wa Uchukuzi katika Serikali ya Awamu ya Nne, alisema kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi,  Waziri Mkuu anateuliwa na Rais ambaye...

 

9 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU ACHAGULIWI KWA KURA ZA MAONI WALA KWA MITANDAO YA KIJAMII - MWAKYEMBE

Na Lilian Lundo, MAELEZO, DODOMA
Mbunge Mteule wa Jimbo la Kyela,  Dkt. Harrison Mwakyembe (pichani) amesema Waziri Mkuu wa Serikali ya Awamu ya Tano ya Tanzania atatokana  na uteuzi utakaoidhinishwa na  Bunge na si taarifa zilizopo sasa katika mitandao ya kijamii.Dkt. Mwakyembe ambaye amewahi kuwa Waziri wa Uchukuzi katika Serikali ya Awamu ya Nne, alisema kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi,  Waziri Mkuu anateuliwa na Rais ambaye huwasilisha jina hilo kwa Spika wa Bunge na baadaye...

 

10 years ago

Raia Mwema

Kura za maoni Chadema Mbeya balaa

KURA za maoni, nafasi ya ubunge kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) mkoani Mbeya zime

Mwandishi Wetu

 

10 years ago

Mwananchi

Rushwa yaahirisha kura ya maoni Chadema

>Uchaguzi wa kura za maoni ndani ya Chadema katika Jimbo la Bariadi umeahirishwa baada ya kubainika kwa matukio yanayoashiria vitendo vya rushwa.

 

11 years ago

Mwananchi

Chadema ilivyopindua kura za maoni Kalenga

>Moja ya sifa za mwanasiasa ni kuwa mvumilivu na kukubaliana na mabadiliko hata kama yatachelewesha kasi ya kutimiza ndoto yake.

 

10 years ago

Michuzi

News alert: Stephen Wasira aongoza kura za maoni Kura ya Maoni CCM-Bunda Mjini

 Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika Mhe. Stephen Wasira akishangiliwa na wapiga kura wake baada ya kuibuka kidedea kwenye kura za maoni leo huko Bunda mjini. Matokea yalikuwa hivi:

Stephen Wasira 6, 429Robert Maboto  6, 206Christopher Sanya 1, 140Xavier Rugina 846Simon Odunga 547Magesa Mugeta 446Peres Magiri  385Brian Baraka 263

 Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika Mhe. Stephen Wasira akiwashukuru wapiga kura wake baada ya kuibuka kidedea kwenye kura za maoni leo huko Bunda...

 

10 years ago

Mwananchi

Wabunge Chadema waangukia katika kura za maoni

>Kura za maoni ndani ya Chadema zimeanza kuwa chungu kwa baadhi ya wabunge. Mbunge wa Mbulu, Mustapha Akoonay na mwingine wa Viti Maalumu, Susan Lyimo (Kinondoni) jana waliangukia pua, huku mwenzao wa Karatu, Mchungaji Israel Natse akitangaza kuachana na ubunge na kurejea katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT).

 

10 years ago

Mwananchi

Lembeli ashinda kura za maoni Chadema, Bulaya almanusura

>Wabunge wawili waliohama CCM hivi karibuni, James Lembeli na Ester Bulaya wamepitishwa katika kura za maoni kuwania ubunge kupitia chama chao kipya.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani